Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2016 HAYA HAPA

MTEULE THE Serikali  imetangaza  matokeo  ya  mtihani  wa  darasa  la  7 kwa mwaka 2016  ambapo ufaulu  umeongezeka  kwa asilimia 2.52 na shule iliyoongoza kitaifa ni shule ya Msingi Kwema  ya  mkoani Shinyanga Bonyeza hapa >>>> chini http://necta.go.tz/matokeo/2016/psle/psle.htm

Wayne Rooney has been told to leave Manchester United if he wants to play first-team football on a regular basis.

MTEULE THE BEST Wayne Rooney has been told to leave Manchester United if he wants to play first-team football on a regular basis. The Sun  report that Jose Mourinho has told the United skipper’s advisers he cannot be guaranteed a starting spot as the manager attempts to return the Red Devils to their former glory. Rooney, who turned 31 on Monday, started the season as a key part of Mourinho’s plans, following the Portuguese's claim he will play as a striker - not in the midfield position he featured in last term. But having failed to start any of the last four league matches, his Old Trafford career now seems to be winding down, and talkSPORT have looked at eight possible replacements for Rooney. Click the right arrow, above, to see all the players United could call upon when Rooney finally leaves the club…

WANAMITINDO WANAOINGIZA MKWANJA MREFU

MTEULE THE BEST Tasnia ya urembo imekuwa ikitoa ajira kwa wasichana wengi na wengine hufanikiwa kimaisha kutokana na kazi hiyo, MTEULE THE BEST inakuletea orodha ya wanamitindo tatu bora wanaoingiza mkwanja mrefu zaidi duniani. Gisele Bundchen Mrembo huyu alizaliwa Brazil mwaka 1982, ni mwanamitindo pekee aliyefanikiwa na kuwa maarufu kwenye miaka ya 90 na mwaka 2011 aliingia kwenye orodha ya wanawake matajiri ulimwenguni akishikilia namba 16, kwa mwaka mrembo huyu analipwa dolla milioni 44. Doutzen Kroes Mrembo huyu alizaliwa mwaka 1985 mbali na kuwa mwanamitindo pia ni muigizaji maarufu nchini Netherland, ambapo aliwahi kuwa mtangazaji  wa Victoria’s TV show huko New York na kwa mwaka anaingiza zaidi ya dola milioni tisa kutokana na kazi yake ya uanamitindo. Adriana Lina Mrembo huyu alizaliwa mwaka 1981 huko nchini Brazil, tofauti na mitindo anajishughulisha pia na uigizaji pia aliwahi kushinda nafasi ya pili kwenye mashindano ya Ford Super Model of the...

ARSENAL YATAKATA KWA REKODI UINGELEZA

MTEULE THE BEST Ni muda wa kuweka historia katika mchezo huu wa soka na nyingi zikitoka kwa Cristiano Ronaldo na Lionel Messi haswa kila wanachofanya hawa watu zinakuwa rekodi , lakini sasa rekodi nzuri imehamia kwa Arsenal ya pale England mara baada ya kushinda mechi nyingi mfululizo. Timu hiyo imecheza michezo 23 kwa kipindi cha hivi karibuni kwa mashindano yote na imebahatiba kufungwa mchezo mmoja ambao ule wa Liverpool katika ufunguzi wa ligi kuu England EPL baada ya hapo katika michezo hiyo 23 wametoa sare 6 huku wakishinda michezo 16 na kupata ‘Clean Sheet’ 14. Magoli yaliyofungwa katika michezo hiyo ni 53 huku wakiruhusu magoli 16 kwa takwimu hizo inaonesha kuwa timu hiyo iko katika wakati mzuri kwa kipindi hiki, mashaka kwa wapenzi na mashabiki wa Arsenal huu mwezi tunaouingia ndio mwezi wao wa majeruhi kama wakiuvuka vizuri basi itakuwa ahueni kwao , maana kila mwaka ndio mwezi ambao unawasumbua sana kwa kupata wachezaji majeruhi.

China imeshikilia rekodi hii ya dunia kwenye biashara ya Smartphone!

MTEULE THE BEST  Biashara ya Simu za kisasa maarufu kama Smartphone au Simu Janja imeendelea kukua na kuongeza ushindani wa makampuni ya utengenezaji wa bidhaa hizo duniani kote. Leo October 26, 2016 mtu wangu nimeipata hii kuhusu nchi iliyofanya vizuri kwenye biashara ya Smartphone duniani. Ripoti iliyotolewa na kampuni ya GFK ya Ujerumani inaonesha kuwa, mpaka kufikia robo ya tatu ya mwaka huu, China imeongoza katika soko la simu za smartphone na kuendelea kukua zaidi, huku ikiongeza msukumo mkubwa wa ukuaji wa soko la simu hizo duniani. Ripoti hiyo inasema simu milioni 353 aina ya smartphone zimeshauzwa katika robo ya tatu ya mwaka huu duniani kote, na idadi hiyo imetajwa kuongezeka kwa asilimia 7.5 kuliko mwaka 2015 kwa wakati kama huo, huku simu milioni 113 kati ya hizo zikiuzwa katika soko la China pekee.

Colonel Mustafa -Dodoma Singida Video yafungiwa kenya

MTEULE THE BEST DODOMA SINGIDA KENYA MAARUFUKU KWENYE TV

GAB0N:Jean Ping, ametaka watu wasishirikiane na Ali Bongo

MTEULE THE BEST Image copyright GETTY IMAGES Kiongozi wa upinzani Gabon, Jean Ping, ametaka watu wasishirikiane na Ali Bongo kama kiongozi wa taifa baada ya uchaguzi wa Agosti uliokumbwa na mzozo. Kiongozi aliyepo sasa Bongo, alitangazwa mshindi wa uchaguzi huo, lakini Ping anasisitiza kuwa yeye ndiye aliyeshinda. Upinzani unasema watu kadhaa waliuawa katika ghasia za baada ya uchaguzi. Image copyright AFP Image caption Jean Ping Jean Ping ametia saini taarifa yake kama 'rais mteule' - wadhifa usiotambuliwa, na tume ya uchaguzi nchini. Kiongozi huyo wa upinzani ameshutumu alichokitaja kuwa mapinduzi ya kijeshi katika uchaguzi dhidi yake. Anataka raia wote wa Gabon wanaompinga rais Ali Bongo wajumuike na kushirikiana katika kumtenga kimataifa. Bwana Ping ametaka pia Bongo aidhinishiwe vikwazo na viongozi wengine kadhaa akiwemo mkuu wa mahakama ya katiba iliyopinga malalmiko aliyowasilisha kupinga uchaguzi huo. Lakini hatakama kuna wasiwasi wa kimataifa kuhusu...