Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili 17, 2016

MUNGU NI MWEMA

Habari yako NDUGU msomaji na mfatiriaji  wa hii blogger napenda kukuambia mambo matatu muhimu maishani itakusaidia sana 1:Mungu ni mwema  Mungu ni msaada wapekee maishani mwetu Mungu anatulinda kila siku anatupenda sana  tuache dhambi tumrudie muumba wetu anatuitaji 2.Mungu alituumba kwa lengo gani aswa Mungu alituumba ilitumtumikie akituumba ili tumuabudu alituumba ili tufa ye mambo mazuri hapa duniani name  malipo yote mbinguni  3.TUFANYE NINI TUUPATE KIPATA MBINGU TUFANYE HAYA A.TUUACHE KUTENDA MAOVU Tuzingatie nakuzitimiza amri za Mungu na amri za kanisa  Tuzidi kumuomba Mungu Mungu anatupenda Ukimaliza kusoma comment Amina share na marafiki

Jedwali la msimamo wa ligi ya EPL baada ya mechi za jana

Nambari Klabu Mechi Mabao Alama 1 Leicester 34 26 73 2 Tottenham 33 35 65 3 Man City 33 28 60 4 Arsenal 33 22 60 5 Man Utd 33 10 56 6 West Ham 33 12 53 7 Southampton 34 10 51 8 Liverpool 32 9 51 9 Stoke 33 -6 47 10 Chelsea 33 4 44 11 Everton 33 9 41 12 Watford 33 -5 41 13 Bournemouth 34 -16 41 14 West Brom 33 -9 40 15 Swansea 34 -11 40 16 Crystal Palace 34 -7 39 17 Norwich 34 -25 31 18 Sunderland 33 -18 30 19 Newcastle 33 -26 28 20 Aston Villa 34 -42 16

The number of people who were confirmed dead following a massive earthquake that shattered Ecuador hit the 233 Colored They're afraid That number will double.

The number of people who were confirmed dead following a massive earthquake that shattered Ecuador hit the 233 Colored They're afraid That number will double. That nation President Rafael Correa said in a brief speech Be troops ten thousand (10,000) have been sent to help rescue operations colors. Moreover Police 3,500 mothers will also help save lives and they joined the stoppage of Hilo national epidemic. That quake shook them free Large areas of the southern coast of Ecuador was the level of 7.8 Richter On tests. Vice President That country has declared State of alert in the regions of school in the country, and officials of the emergency services have been sent to help. His epicenter was approximately 27 kilometers from the coast to the city of Muisne called the city which does not have to Movie Many residents. Senior officers Wanahofia Be That number increased mortality might For six Country Than That that is the epicenter of the quake coastal town of Muisne Yes b...

Idadi ya watu waliothibitishwa kufariki kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lililoikumba Ecuador imegonga 233

Idadi ya watu waliothibitishwa kufariki kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lililoikumba Ecuador imegonga 233 na kunahofu idadi hiyo itaongezeka maradufu. Rais wa taifa hilo Rafael Correa amesema katika hotuba fupi kuwa wanajeshi elfu kumi (10,000) wametumwa kusaidia na shughuli za uokozi. Aidha Polisi 3,500 pia watajiunga nao kusaidia kuokoa maisha ya majeruhi wa janga hilo la kitaifa. Tetemeko hilo kubwa lililotikisa maeneo ya Kusini mwa pwani ya Ecuador lilikuwa la kiwango cha 7.8 kwenye vipimo vya Richter. Makamu wa rais wa nchi hiyo ametangaza hali ya tahadhari katika mikoa sita nchini humo, huku maafisa wa huduma za dharura wamepelekwa kusaidia . Kitovu chake kilikuwa takriban kilomita 27 kutoka kwa mji wa pwani uitwao Muisne mji ambao kwa kawaida hauna wakaazi wengi. Maafisa wakuu wanahofia kuwa idadi hiyo ya vifo huenda ikaongezeka kwani maeneo ya mashambani mbali na kitovu cha tetemeko hilo yaani mji wa pwani wa Muisne ndiyo yameanza kutoa taarifa kwa vy...