Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai 13, 2025

MAREKANI YAHIMIZA AMANI DRC 23

Picha
Marekani yahimiza amani DRC huku mkataba wa usitisha mapigano kati ya serikali na M23 ukiafikiwa hatua hii ni ishara ya hatua iliyopigwa baada ya mazungumzo yaliyochukuwa miezi kadhaa iliyoandaliwa nchini Qatar Serikali ya Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo na kundi la waasi la M23, wamekubaliana kutia saini azimio la kumaliza mapigano katika eneo la mashariki mwa DRC. Kwa mujibu wa waangalizi wa mzozo huo, hatua hii ni ishara ya hatua iliyopigwa baada ya mazungumzo yaliyochukuwa miezi kadhaa iliyoandaliwa nchini Qatar, japo taarifa za ziada kuhusu walichokizungumzia na kukubaliana hazijawekwa wazi. Azimio hilo linalotarajiwa kutiwa saini Jumamosi hii jijini Doha, linatangazwa wakati ambapo Marekani imezidisha shinikizo lake kwa pande husika kukamilisha masuala muhimu kwenye majadiliano hayo yanayotarajiwa kurejesha amani katika eneo la Mashariki mwa Congo. Hatua hii huenda ikavutia wawekezaji kutoka wa mataifa ya Magharibi ambao wanatarajiwa kuwekeza mabilioni ya dola za Marekani kwenye...

DIRA YA MARNDEO YA TAIFA 2025/2050 BMH WAPO TAYARI

DIRA YA MARNDEO YA TAIFA 2025/2050 BMH WAPO TAYARI