MTEULE THE BEST TUMSIFU YESU KRISTO WAPEDWA KATIKA KRISTO!!! MADA YA LEO : KRISTO NA KAZI YAKE SOMO:WAKOLOSAI 1:15-23 Kristo ni mfano wa MUNGU asiyeonekana; ni mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote. Maana kwake viumbe vyote viliumbwa kila kitu duniani na mbinguni vitu vinavyoonekana na visivyoonekana: wenye enzi, watawala,wakuu na wenye nguvu Vyote viliumbwa kwake na kwa ajili yake. Yeye alikuwako kabla ya vitu vyote ; vyote uendelea kuwako kwa uwezo wake. Yeye ni kichwa cha mwili wake, yaani kanisa; yeye nichanzo cha uhai yaani huo mwili. Yeye ndiyo mwanzo , mzaliwa wa kwanza aliyefufuliwa kutoka wafu ili awe na nasfi ya kwanza katika vitu vyote. Maana MUNGU aliupenda utimilifu wake woteuwe ndani yake. Kwake vitu vyote vilipatanishwa na MUNGU: na kwa damu yake msalabani akafanya amanina vitu vyote duniani na mbinguni. Hapo kwanza nyinyi pia mlikuwa mbali na MUNGU na mlikuwa adui zake kwa sababu ya fikra zenu na matendo yenu maovu. L...