Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya YA KALE

Mchoro wa Yesu uliouzwa dola milioni 450 waelekea Abu Dhabi

Mchoro huo unaofahamika kama Salvator Mundi au (mkomboi wa dunia) - uliuzwa mjini New York kwa dola milioni 450. Mchoro wa miaka 500 wa Yesu ambao unaaminiwa kuwa wa Leonardo da Vinci, unapelekwa katika makavazi ya Louvre huko Abu Dhabi, Vyombo vya habari vinasema kuwa mchoro huo ulinunuliwa na mwanamfalme nchini Saudi Arabia. Mchoro huo unaofahamika kama Salvator Mundi au (mkomboi wa dunia) - uliuzwa mjini New York kwa dola milioni 450. Mnunuzi wake alishiriki kwenye mnada kwa njia ya simu katika mnada uliodumu kwa takriban dakika 20. Ndio mchoro uliouzwa pesa nyingi zaidi katika historia. Mnunuzi wake alishiriki kwenye mnada kwa njia ya simu katika mnada uliodumu kwa takriban dakika 20. Gazeti la The New York Times liliripoti kuwa ulinunuliwa na Bader bin Abdullah bin Mohammed bin Farhan al-Saud. Leonardo da Vinci alifariki mwaka 1519 na kuna chini ya michoro yake 20 iliyojulikana hidi sasa

Barua ya mwanafisikia kuhusu furaha yauzwa dola milioni 1.5

MTEULE THE BEST Barua ya mwanafisikia kuhusu furaha yauzwa dola milioni 1.5 Barua mbili za Albert Einstein zianazoeleezea falsafa yake kuhusu kuishi maisha ya furaha, zimeuzwa kweenyr soko la mnada mjini Jerusalem kwa dola milioni 1.56. Einstein alipeana barua hizo kwa msafirishaji mmoja wa mizigo mjini Tokyo mwaka 1922 badala ya zawadi ya pesa. Alikuwa amesikia habari kuwa alikuwa ameshinda tuzo na kumuambia msafirishaji huyo wa mizigo kuwa, kama angekuwa na bahati baraua hizo zingekuwa na umuhimu sana. Jiwe lenye amri 10 za Mungu lauzwa Marekani Einstein alisema kwenye barua hizo kuwa kutimiza lengo la muda mrefu halileti fuuraha wakati wote. Mwanafisikia huyo mzaliwa wa Ujerumani alikuwa ameshinda tuzo la Nobel la fisikia na wakati huo alikuwa ziarani nchini Japan. Wakati msafirishaji wa mizigo alifika kwenye chumba chake Einstein hakuwa na zawadi ya pesa kumpta. Badala yake alimpa mtu huyo ujumbe aliokuwa ameuweka sahihi yake akitumia karatasi ya hoteli ya Imperial ya ...