MTEULE THE BEST MTEULE THE BEST TUMSIFU YESU KRISTO!!! MADA YA LEO:- MATENDO MAOVU YA NDOA SOMA WALAWI 18:1-30 MWENYEZI-MUNGU alimwambia MOSE "waambie watu wa Israel hivi: Mimi ndimi MWENYEZI-MUNGU MUNGU WENU Kamwe msifanye kama walivyofanya watu wa misri ambako mlikaa; wala msifanye kama wafanyavyo watu wa nchi ya kanaani ambako nawapeleka kamwe msifuate mitindo yao ninyimtafata maagizo yangu na kuyashika masharti yangu mimi ndimi MWENYEZI-MUNGU MUNGU WENU ''Mtu yeyote wa israel haruhusiwi kumkaribia mtu wajaa yake wa karibu ili kulala naye mimi ndimi MWENYEZI-MUNGU MUNGU WENU kamwe usimvunjie heshima baba yako kwa kulala na mama yako aliyekuzaa usimwaibishe yeye ni mama yako kamwe usimvunjie heshima baba yako kwa kulala na moja ya wake zake hao ni mama zako kamwe usilale na dada yako awe dada yako halisi au dada wa k...