SADAKA YA SIKUKUU YA MWAKA MPYA

MTEULE THE BEST

  SADAKA YA SIKUKUU YA MWAKA MPYA

KWA JINA LA BABA NA MWANA NA ROHO MTAKATIFU......... AMINA

HESABU 29:1-6

Siku ya kwanza ya mwezi wa saba mtafanya mkutano mtakatifu. Msifanye kazi.

HIYO NISIKU YA KUPIGA TARUMBETA

Mtatoasadaka ya kutetekezwa,harufu nzuri ya kumpendeza MWENYEZI  MUNGU :

Fahali ya wachanga wawili , kondoo dume wawili na wanakondoo saba wa kiume wa mwaka mmoja wote wawe wasio na dosari yeyote mtatoa pia sadaka yake ya nafaka ya unga safi uliochanganywa na mafuta kilo tatu kwa kila fahali na kilo mbili kwa kondoo dume na kilo moja kwa kila mwanakondoo 

TENA MTATOA SBEBERU MMOJA KUWA SADAKA YA KUONDOA DHAMBI

ili kuwafanyia upatanisho mtatoa vitu hivi licha ya ile sadaka ya kutetekezwa ya mwexi mpya na sadaka yake yafanaka yanasadaka zake za kinywaji kama inavyo takiwa kuwa harufu nzuri ipendezayo ni sadaka kwa MWENYEZI MUNGU iliyo tetekezwa kwa moto

NENO LA BWANA 

NAOMBA IFAHAMIKE KWAMBA MTU YEYOTE ANAWEZA KUCHANGIA KUHU HII MADA /NENO LA BWANA 

KAA UTAFAKARI NA UKOMENTI ULIVYO JALIWA 

DINI YEYOTE UNACHANGIA RUKUSA

haya nimaneno ya Mungu 

MADA IKAYO FATA NI MATOLEO YA SIKU YA KUFANYIWA MSAMAHA WA DHAMI UBARIKIWE






Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

ZIJUWE SHERIA 17 ZA SOKA

MAPENZI: Kuna faida na ni muhimu Mpenzi wako kuwa rafiki yako pia

KUMTUMAINIA MUNGU