Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 20, 2016

JELA MIAKA 50

JELA MIAKA HAMSIN 50 Korti la wilayani misungwi Jana imewahukumu  watu watano (5) Kifungo cha miaka 50 kila mmoja  baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa kutumia silaha

ASIKARI WASIMAMISWA KAZI

Naibu waziri wamambo ya ndani H . MASAUNI aagiza kusimamishwa kazi kwa askari pole watatu wajeshi la zima moto mapema hapo Jana Kwa tuhuma za wizi uwanja wandege dara

KUFUZU AFCON

Picha
MBWANA SAMATTA   AIPAC ushindi taifa stars Goli LA Samatta laipa ushindi TANZANIA   dhidi ya chad katika mchezo kutafuta tiketi yakufuzu fainali za mataifa Africa Mechi imemalizikia chad 0:1Tanzania Ilitanguliwa na   mchezo kati ya   BRNIN NS SUDAN KUSINI Benin imeishinda Sudan kusini 2:1 Final hizo zitachezwa mwaka 2017 nchini gabbon

MANCHESTER UNITED

Picha
Manchester Manchester united ya azimia kumleta kocha machachali JOSE MOURIHNO kwa dau la pound 48$ million kwa sasa katia saini ya mkataba wa mwanzo kabisa na atalipwa pound 10mil kwa Jose mourihno ninani ;- ni kocha maarufu sana duniani nikocha mwenye kiu ya mafanikio Aliwai kufundisha klabu maarufu sana duniani mfno 1; REAL MADIRD :- LA LIGA 2; CHERSEA :- UINGELEZA Alipata mafanikio ila ilitimuliwa ktk timu hizi zote na   sasa anakalibishwa ktk klabu anayoipenda kuifundisha toka mwanzo MANCHESTER UNITED AJAPATA UBIGWA WOWOTE BAADA YA KUONDOKA KWA SIR ALEX FUGERSON KUSTSFU KWAKE VAN GAL AMESHA ANDALIWA KIASI CHA PAUND 10$ MILION KUVUNJA MKATABA UNAZUNGUMZIAJE USAJIRI UHO WA KOCHA

HATUA KUMI (10) ZA MWANAUME ANAYETOKA INJE YA NDOA

1; ANACHELEWA KULUDI NYUMBANI 2; MAJIBU YA SHOTCUT 3; SIMU ZAKE ANAPOKELEA CHOON NA BAFUNI 4; AKIPIGIWA SIMU MKIWA WOTE anaongea ndiyo , heee 5; ANAKUTUUMU KUWA UNAMSALTI 6; ANAKUONEA MARA KWA MARA 7; ANABADRI   LOCK ZA MARA KWA MARA 8; ANAKUKATAZA KUSHIKA SIMU YAKE 9; AKUWA NASAFARI ZISIZO NA MAANA 10; HAWEZI KUFANYA MAPENZI NA WEWE UNAPOTAKA