MBWANA SAMATTA AIPAC ushindi taifa stars
Goli LA Samatta laipa ushindi TANZANIA dhidi ya chad katika mchezo kutafuta tiketi yakufuzu fainali za mataifa Africa
Mechi imemalizikia chad 0:1Tanzania
Ilitanguliwa na mchezo kati ya BRNIN NS SUDAN KUSINI
Benin imeishinda Sudan kusini 2:1
Final hizo zitachezwa mwaka 2017 nchini gabbon
Maoni