Hivi ndivyo viwango vya fedha kwa washiriki wa Kombe la Shirikisho Afrika na Ligi ya Mabingwa Afrika kuanzia msimu huu wa 2022/23; Ligi ya Mabingwa Afrika Bingwa: Dola Milioni 4 (Tsh. Bilioni 9.4) Wa pili: Dola Milioni 2 (Tsh. Bilioni 4.7) Nusu Fainali: Dola 1.2 (Tsh. Bilioni 2.8) Robo Fainali: Dola 900,000 (Tsh. Bilioni 2.1) Wa 3 Kundini: Dola 700,000 (Tsh. Bilioni 1.6) Wa 4 Kundini: Dola 700,000 (Tsh. Bilioni 1.6) Kombe la Shirikisho Afrika Bingwa: Dola Milioni 2 (Tsh. Bilioni 4.7) Wa pili: Dola Milioni 1 (Tsh. Bilioni 2.3) Nusu Fainali: Dola 750,000 (Tsh. Bilioni 1.8) Robo Fainali: Dola 550,000 (Tsh. Bilioni 1.3) Wa 3 Kundini: Dola 400,000 (Tsh. Milioni 940) Wa 4 Kundini: Dola 400,000 (Tsh. Milioni 940)