Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya MANCHESTER CITY

Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi

Neymar ameifungia PSG mabao 23 katika mechi 28 msimu huu Real Madrid imeanza mazungumzo na Paris Saint-Germain kuhusu mpango wa kumsajili mshambuliaji nyota wa Brazil Neymar, 27. (Sky Sports) Azma ya Barcelona kumsajili tena Neymar, 27, inategemea ikiwa klabu hiyo itamuuza Philippe Coutinho ambaye pia ni mchezaji mwenzake wa kimataifa wa Brazil. (Goal) Manchester United wako tayari kulipa £81m ambayo itawawezesha kumnyakua mshambuliaji wa Uhispania na Athletic Bilbao Inaki Williams, 25. (El Chiringuito TV - via Mail) Pendekezo la Leroy Sane kuhamia Bayern Munich kutoka Manchester City limeathiriwa na jeraha la goti linalomkabili nyota huyo wa kimataifa wa Ujerumani. (Mail) Leroy Sane (Kulia) Beki wa Chelsea Mbrazil David Luiz, 32, ataruhusiwa kujiunga na Arsenal kwa £8m tu. (Mirror) Mshambuliaji wa Crystal Palace Wilfried Zaha,26, amewasilisha ombi la kutaka uhamisho huku kukiwa na tetesi kuwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ivory Coast akipingiwa upatu kuhamia...

Tetesi za Soka Ulaya leo Jumamosi

Real Madrid wana imani watafanikiwa kumsajili kiugo wa kati Mfaransa Paul Pogba kutoka Manchester United msimu ujao. (ESPN) Bayern Munich wameanza mazungumzo na Manchester City kuhusu usajiliwa wa winga wao wa miaka 23 Mjerumani Leroy Sane, amabaye thamani yake inakadiriwa kuwa £90m. (Mirror) Romelu Lukaku, 26, amesafiri nyumbani Ubelgiji siku ya Ijumaa kufanya mazungumzo na ajenti wake huku Inter Milan wakikaribia kufikia mkataba wa £70m kumnunua kuingo huyo wa safu ya ushambulizi kutoka Manchester United. (Daily Mail) Romelu Lukaku akiwa mazoezini na wachazaji wenzake Mmiliki wa Newcastle Mike Ashley amesema chamsingi ni maishani ni "pesa kwanza kisha klabu baadae" kwa maneja wake wa zamani Rafael Benitez, na kuongeza kuwa "ni vigumu" kuendelea kumng'ang'ania raia huyo wa Uhispania. (Mail) Atletico Madrid wanataka kumsajili kiungo wa kati wa Colombia James Rodriguez, 28, kutoka kwa mahasimu wao Real Madrid. (Independent) Mshambuliaji ...

Tetesi za Soka Ulaya leo Alhamisi

Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp amefutilia mbali uwezekano wa kumsajili kiungo wa kati wa Barcelona, Philippe Coutinho, 27, ambaye aliondoka Anfield kwa kima cha £142m mwaka 2018. (ESPN) Paris St-Germain imekubali kulipa £28m kumsajili kiungo wa kimataifa wa Senegal Idrissa Gueye, 29, kutoka Everton. (Mail) Toffees wanaendelea kushauriana na Crystal Palace kuhusu usajili wa nyota wa kimataifa wa Ivory Coast Wilfried Zaha, 26, kwa pauni £80m. (Sky Sports) Tottenham imewasiliana na Juventus kuhusu usajili wa nyota wa kimataifa wa Argentina international mshambuliaji Paulo Dybala, 25, ambaye bei yake anayekadiriwa kuwa £80m. (Evening Standard) Paul Dybala Manchester United wameomba kufahamishwa kuhusu hatma ya mchezaji Christian Eriksen, 27, wa Tottenham. Kandarasi ya nyota huyo wa kimataifa wa Denmark amesalia na mwaka mmoja kukamilika na huenda akauzwa kwa pauni milioni 70. (Mail) United pia inamlenga mshambuliaji wa Lille na nyota wa kimataifa wa Ivory ...

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 16.07.2019

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 16.07.2019:Maguire, Neymar, Bruce, Fernandes, Alderweireld, Coutinho Leicester imemwambia mlinzi wake wa kati Harry Maguire, 26, kuwa anaweza kuondoka (Telegraph) Mshambuliaji wa Paris St-Germain Neymar, 27, amerejelea kauli yake uhusu nia yake ya kuondoka kwenye klabu hiyo kwenye mkutano wake na mkurugenzi wa ufundi Leonardo . (ESPN) Newcastle watalipa pauni milioni 4 kama fidia kwa timu ya Sheffield Wednesday kwa ajili ya kocha wao wa zamani Steve Bruce.(Sun) Wasaidizi wa Bruce Steve Agnew na Stephen Clemence pia wameondoka Sheffield Wednesday na watajiunga naye St James'Park .(Newcastle Chronicle) Manchester United watapeleka rasmi ofa ya kumnasa kiungo wa kati wa Sporting Lisbon Bruno Fernandes, 24, katika kipindi cha majuma matatu yajayo. Mkurugenzi wa Roma Gianluca Petrachi amethibitisha kuwa klabu yake ina mpango wa kumsajili mchezaji wa nafasi ya ulinzi wa Tottenham Toby Alderweireld, 30. (Football Italia) Alderweireld na mchezaji ...

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 1

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 15 .07.2019: Harry Maguire, Lewis Dunk, Kieran Tierney, Leroy Sane Manchester United inalipa £80m kumsajili Harry Maguire Manchester United imeafikiana na Leicester makubaliano ya thamani ya £80m kumsajili Harry Maguire na kumfanya kuwa mlinzi mwenye thamani kubwa katika historia. United italipa £60m kumsajili mchezaji huyo mwenye miaka 26 - atakayefanyiwa ukaguzi wa kiafya leo Jumatatu - na £20m za ziada katika siku zijazo. (Sun) Leicester inatarajiwa kuijaza nafasi ya Maguire kwa kumsajili mchezaji wa Brighton Lewis Dunk, baada ya kuafikiana kwa mkataba wa thamani ya £45m kwa mchezaji huyo wa miaka 27. (Sun) Celtic imekataa ombi la Arsenal la hivi karibuni linalokisiwa kuwa na thamani ya £25m - ili kumsajili beki wa kushoto mwenye miaka 22 Kieran Tierney. (Sky Sports) Manchester City inaamini Leroy Sane ataisusia Bayern Munich iwapo itawasilisha ombi la kumsajili winger huyo wa Ujerumani mwenye miaka 23. (Daily M...

Tetesi za Soka Ulaya Jumapili

Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 14.07.2019: Nyemar, Odoi, Pogba, Coutinho, Maguire, Mane Neymar alijiunga na PSG kutoka Barcelona kwa dau lililovunja rekodi la pauni milioni 200 mwaka 2017 Mchezaji ghali zaidi duniani wa Paris St-Germain, Neymar, amekoleza uvumi kuwa anarudi Barcelona baada ya kuachia video anayoonekana amevaa jezi ya Barca, pamoja na mistari ya biblia yenye mafumbo. (Goal.com) Bayern Munich hawatakata tamaa ya kumsajili mshambuliaji kinda wa Chelsea Callum Hudson-Odoi, 18, huku wakitarajiwa kutangaza dau la pauni milioni 45 wiki hii. (Mail) Liverpool pia wamejiunga kwenye mbio za kinyang'anyiro cha kutaka kumsajili mshambuliaji wa CSKA Moscow Fedor Chalov mwenye thamani ya pauni milioni 20. Arsenal, Manchester City, Tottenham, Chelsea na Manchester United pia wanamnyemelea mchezaji huyo mwenye miaka 21. (Mirror) Barcelona ilimsajili Coutinho kutoka Liverpool kwa pauni milioni 142 Januari 2018 Kiungo wa Barcelona Philippe Coutinho, 27, atakataa ofa ya...

REAL MADRID KUVUNJA BENKI KUKAMILISHA UHAMISHO WA PAUL POGBA UTAVUNJA REKODI YA DUNIA

Tetesi za soka Ulaya Jumatano 10.07.2019: Lindelof, Pogba, Bruce, Delph, Lukaku, Diaz, Kean Barcelona inamnyatia beki wa Manchester United na raia wa Sweden Victor Lindelof, 24, huku ikiwa beki wa Ajax Matthijs de Ligt anatarajiwa kujiunga na Juventus. (Mundo Deportivo - in Spanish) Real Madrid watalazimika kulipa dau litakalovunja rekodi la £162m kumsaini kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 26, kutoka Manchester United. (Marca) Mkufunzi wa klabu ya Sheffield Wednesday Steve Bruce ataunga mkono ofa yoyote kutoka Newcastle baada ya kupigiwa upatu kumrithi Rafael Benitez. (Chronicle) Naibu mkufunzi wa klabu ya Manchester City Mikel Arteta na mkufunzi wa Nice Patrick Vieira wameonywa kuhusu kazi ya Newvcastle na Benitez. (Sun) Everton ni miongoni mwa klabu zilizo na hamu ya kumsaini kiungo wa kati wa Manchester City na Uingereza Fabian Delph, 29. (Sky Sports) Mkufunzi wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer anataka mshambuliaji wa Ubelgiji Romelu Lukaku, 26, kutokuba...

Vincent Company kuwa mkufunzi mchezaji katika klabu ya Andaerlecht

Vincent kompany anasema kwamba hatua yake ya kujiunga na klabu ya Anderlecht kama mchezaji mkufunzi ni uamuzi mzuri na vilevile mgumu aliochukua baada ya kutangaza kwamba ameondoka Man City. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33 ametka kandarasi ya miaka mitatu na klabu hiyo ya ubelgiji baada ya kuhudumu kwa kipindi cha mika 11 patika klabu ya Etihad mika minane akiwa nahodha wa klabu hiyo. Ushindi wa 6-0 katika komme la FA dhidi y Watford ilikuwa mechi ya mwisho ya Kompany , baada ya kushinda mataji manne ya ligi, natali mawili ya comb la FA pamoja na mataji manne ya kombe la ligi. Fatica barba ya wadi katika mtandao wake wa facebook , beki huyo wa Ubelgiji alisema kwamba haamini kwamba anaondoka City. Mara kadhaa nimekuwa nikifikiria kuhusu siku hii , alisema. Mwisho umekuwa karibu kwa miaka mingi. Man City imenipatia kila kitu nami nimejaribu kujitolea kwa mali na hali . Na katika barua ya pili iliotolewa saa chache baadaye , kamopnay alitangaza hatua yake ya kuelekea kat...