Vincent kompany anasema kwamba hatua yake ya kujiunga na klabu ya Anderlecht kama mchezaji mkufunzi ni uamuzi mzuri na vilevile mgumu aliochukua baada ya kutangaza kwamba ameondoka Man City.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33 ametka kandarasi ya miaka mitatu na klabu hiyo ya ubelgiji baada ya kuhudumu kwa kipindi cha mika 11 patika klabu ya Etihad mika minane akiwa nahodha wa klabu hiyo.
Ushindi wa 6-0 katika komme la FA dhidi y Watford ilikuwa mechi ya mwisho ya Kompany , baada ya kushinda mataji manne ya ligi, natali mawili ya comb la FA pamoja na mataji manne ya kombe la ligi. Fatica barba ya wadi katika mtandao wake wa facebook , beki huyo wa Ubelgiji alisema kwamba haamini kwamba anaondoka City.
Mara kadhaa nimekuwa nikifikiria kuhusu siku hii , alisema. Mwisho umekuwa karibu kwa miaka mingi.
Man City imenipatia kila kitu nami nimejaribu kujitolea kwa mali na hali .
Na katika barua ya pili iliotolewa saa chache baadaye , kamopnay alitangaza hatua yake ya kuelekea katika klabu ya Anderlecht , amabo wamesema kuwa kuwasili kwake katika klabu hiyo kunaadhimisha 'kuwasili kwa mwanamfalme'.
Nataka kugawana ujuzi wangu na kizazi kipya kijacho , alisema Kompany ambaye mara ya kwanza alijiunga na klabu ya Anderlecht akita na umbra wa miaka sita.Kwa hilo nitawaingizia ubelgiji ule uzalendo wa Manchester nchini Ubelgiji.
Ni wakati umefika kuondoka
Kompany alijiunga na na City kutoka klabu ya Hamburg kama kiungo wa kati wa saft ya ulinzi mwaka 2008 na akatajwa kuwa nahodha wa klabu miaka mitatau baadaye.
Alifunga goli lake la mwisho dhidi ya Leicester city tarehe sita mwezi Mei,shambulizi kali kutoka maguu 25 ambla lilipigiwa kura kama goli bora la msimu na kitengo cha BBC cha mechi ya siku.
Ushindi huo uliipandisha City juu kwa pointi moja katika kilele cha jedwali la ligi ya Uingereza kabla ya klabu hiyo kukamilisha msimu wao kwa ushindi dhidi ya klabu ya Brighton.Ni wakati umefika kwa mimi kuondoka., alisema Kompany.
Ijapokuwa ni vigumu kufanya hivyo , nawashukuru wale wote walionisaidia katika safari malum, na katika klabu maalum.
Nakumbuka siku yangu ya kwanza kama ninavyoiona siku yangu ya mwisho.
Nakumbuka ukarimu wa watu wa Manchester sitosahau vile mashabiki wa manchester City waliovyosalia kuniunga mkono kaaika waakt maya na kaaika waakt mzuri.
Mbali na mengine mengi tuliyopitia , mumeniunga mkono na kunipatia motisha ya kutosalimu amri.
Mwenyekiti wa Man City
Mwenyekiti wa Man City Khaldoon al Mubarak alisema: Kumekuwa na mchango mkubwa katika klabu ya manchester City lakini hakuna mchango kama ule uliotolewa na kompany Kwa muongo mmoja ssa amekuwa amekuwa maisha na dama ya klabu hiii. yenye talanta tele.
Amekuwa sauti ya klabu hii katika chumba cha maandalizi na mtu mpole na balozi akiwa .
Nje Kompany anajivunia klabu hii kama vile tulivyojivunia kuwa naye
Maoni