MWIGIZAJI WA COMEDIANS TANZANIA AFARIKI DUNIA 12/5/2016 MOHAMMED ABRAHAM. MAARUFU. KWA JINA LA KINYAMBE AMEFARIKI. DUNIA. USIKU WAKUAMKIA 12/5/2016 HOSPITAL KINYAMBE ALIYETAMBA KWA MOVIE KAMA: - 1:AKAKAE WAPI 2; NDOA YA KINYAMBE NA MATUMAINI 3:.VITUKO SHOW N.K PIA ALIKUWA. MUIMBAJI PIA AMEFARIKI HOSPITAL MBEYA ALIPOKUWA AKIFANYIWA MATIBABU. KIFO CHAKE NIPIGO KWA. TANISIA YA VICHEKESHO. TZ RIPKINYAMBE