Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya MAN U VS LIVERPOOL

Tetesi za Soka Ulaya leo Alhamisi

Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp amefutilia mbali uwezekano wa kumsajili kiungo wa kati wa Barcelona, Philippe Coutinho, 27, ambaye aliondoka Anfield kwa kima cha £142m mwaka 2018. (ESPN) Paris St-Germain imekubali kulipa £28m kumsajili kiungo wa kimataifa wa Senegal Idrissa Gueye, 29, kutoka Everton. (Mail) Toffees wanaendelea kushauriana na Crystal Palace kuhusu usajili wa nyota wa kimataifa wa Ivory Coast Wilfried Zaha, 26, kwa pauni £80m. (Sky Sports) Tottenham imewasiliana na Juventus kuhusu usajili wa nyota wa kimataifa wa Argentina international mshambuliaji Paulo Dybala, 25, ambaye bei yake anayekadiriwa kuwa £80m. (Evening Standard) Paul Dybala Manchester United wameomba kufahamishwa kuhusu hatma ya mchezaji Christian Eriksen, 27, wa Tottenham. Kandarasi ya nyota huyo wa kimataifa wa Denmark amesalia na mwaka mmoja kukamilika na huenda akauzwa kwa pauni milioni 70. (Mail) United pia inamlenga mshambuliaji wa Lille na nyota wa kimataifa wa Ivory ...

Manchester United wamemshauri Zinedine Zidane 

Manchester United wamemshauri Zinedine Zidane kutotafuta umeneja kwingine wakati wakiamua hatma ya kocha wa sasa wa miamb hiyo ya England, Jose Mourinho. (Mirror)  Mashabiki wa United walipigwa picha na bango la picha ya meneja wa zamani wa Real Madrid Zinedine Zinade, 46 nje ya Old Trafford kabla ya ushindi wa siku ya Jumamosi dhidi ya Newcastle. (Eurosport)  Machester United watahitajika kumlipa Mourinho pauni milioni 29 ikiwa watamfuta meneja huyo  lakini kiwango hicho kitashuka hadi paunia milioni 10 ikiwa atamaliza msimu na United washindwe kumaliza katika nafasi za Ligi ya Mabingwa. (Mirror)  Mourinho alifichua kuwa alipokea ujumbe wa imani naye kutoka bodi ya Manchester United kabla ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Newcastle. (Times - subscription required)  Tanguy Ndombele   Manchester City watahitajika kuvunja rekodi yao ya kusaini wachezaji kwa kumsaini kiungo wa kati wa Lyon Tanguy Ndombele baada ya klabu hiyo ya ufaransa kumwekea thama...

UEFA NDOGO usiku waleo

MECHI YA LEO ITAWEZA KURUDISHA MASHABIKI ENDAPO MANCHESTER UNITED ITAWEZA KUWATOA MAJOGOO WA JIJI LIVERPOOL IKIWA MECHI YA MWANZO ILIISHA 2:0 NAINAWEZA KIBARUA CHA VAN GAAL KUWA   SAWA KIDOGO MECHI INAANZA SAA 5:05 USIKU KWA MDA WETU AFRIKA MASHARIKI