Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya USAJILI

Tetesi za soka Ulaya Jumapili 17.11.2019:

Gareth Bale Manchester United wanatarajia kumsajili mshambuliaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Wales Gareth Bale,30, katika kipindi cha dirisha dogo la usajili mwezi Januari. (Sun on Sunday) Paris St-Germain wanawezekana kuwa kikwazo kikubwa kwa mpango wa Manchester United wa kumsajili winga wa Borussia Dortmund Jadon Sancho, 19 mwenye thamani ya pauni milioni 120. (Sunday Express) PSG pia wanamtaka kiungo wa Liverpool Adam Lallana,31.(Sunday Mirror) Manchester United wanamtazama kwa karibu winga wa West Bromwich Albion Matheus Preira, anayecheza kwa mkopo akitokea Sporting Lisbon. (Mirror) Winga wa Borussia Dortmund Jadon Sancho Arsenal wanajiandaa kumuwania mchezaji wa nafasi ya ulinzi wa timu ya taifa ya Uturuki, ambaye anaweza kuuzwa na Juventus kama ofa ya kuridhisha itatolewa kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21.(Tuttosport - in Italian) Barcelona wanajadili mkataba mpya na mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi, 32. (Mundo Deportivo - in Spanish) Mshambuli...

Tetesi za Soka Ulaya leo Jumamosi

Real Madrid wana imani watafanikiwa kumsajili kiugo wa kati Mfaransa Paul Pogba kutoka Manchester United msimu ujao. (ESPN) Bayern Munich wameanza mazungumzo na Manchester City kuhusu usajiliwa wa winga wao wa miaka 23 Mjerumani Leroy Sane, amabaye thamani yake inakadiriwa kuwa £90m. (Mirror) Romelu Lukaku, 26, amesafiri nyumbani Ubelgiji siku ya Ijumaa kufanya mazungumzo na ajenti wake huku Inter Milan wakikaribia kufikia mkataba wa £70m kumnunua kuingo huyo wa safu ya ushambulizi kutoka Manchester United. (Daily Mail) Romelu Lukaku akiwa mazoezini na wachazaji wenzake Mmiliki wa Newcastle Mike Ashley amesema chamsingi ni maishani ni "pesa kwanza kisha klabu baadae" kwa maneja wake wa zamani Rafael Benitez, na kuongeza kuwa "ni vigumu" kuendelea kumng'ang'ania raia huyo wa Uhispania. (Mail) Atletico Madrid wanataka kumsajili kiungo wa kati wa Colombia James Rodriguez, 28, kutoka kwa mahasimu wao Real Madrid. (Independent) Mshambuliaji ...

Tetesi za Soka Ulaya leo Ijumaa

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 26.07.2019: Zaha, Maguire, Bale, Pogba, Neymar, Malcom Manchester United huenda ikalazimika kulipa Leicester City £80m kumnunua mlinzi wake Harry Maguire baada ya Eric Bailly kuumia goti katika mechi ya kirafiki dhidi ya Tottenham. (Mirror) Winga wa Leicester Muingereza Demarai Gray 23- amesema hakuna haja ya kuwa na "hofu" kuhusu uhamisho wa Maguire na kuongeza kuwa haamini nyota huyo wa miaka, 26, ana msongo wa mawazo kuhusu hatma yake. (Leicester Mercury) Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp amepuuzilia mbali madai kuwa wanamlenga mshambuliaji wa Real Madrid Gareth Bale, 30, na kusisitiza kuwa kipaumbele chake kwa sasa ni kuimarisha kikosi kilichopo badala ya kununua wachezaji wapya. (Independent) Gareth Bale alijiunga na Real Madrid mwaka 2013 Everton imeifahamisha Crystal Palace kuwa wanaandaa dao la £60m kumnunua mshambuliiaji wa Uturuki Cenk Tosun kama sehemu ya mkataba wa kumzuilia mshambuliaji wa Ivory Coast Wilfried Zaha, 26 ...

Tetesi za Soka Ulaya leo Alhamisi

Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp amefutilia mbali uwezekano wa kumsajili kiungo wa kati wa Barcelona, Philippe Coutinho, 27, ambaye aliondoka Anfield kwa kima cha £142m mwaka 2018. (ESPN) Paris St-Germain imekubali kulipa £28m kumsajili kiungo wa kimataifa wa Senegal Idrissa Gueye, 29, kutoka Everton. (Mail) Toffees wanaendelea kushauriana na Crystal Palace kuhusu usajili wa nyota wa kimataifa wa Ivory Coast Wilfried Zaha, 26, kwa pauni £80m. (Sky Sports) Tottenham imewasiliana na Juventus kuhusu usajili wa nyota wa kimataifa wa Argentina international mshambuliaji Paulo Dybala, 25, ambaye bei yake anayekadiriwa kuwa £80m. (Evening Standard) Paul Dybala Manchester United wameomba kufahamishwa kuhusu hatma ya mchezaji Christian Eriksen, 27, wa Tottenham. Kandarasi ya nyota huyo wa kimataifa wa Denmark amesalia na mwaka mmoja kukamilika na huenda akauzwa kwa pauni milioni 70. (Mail) United pia inamlenga mshambuliaji wa Lille na nyota wa kimataifa wa Ivory ...

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 16.07.2019

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 16.07.2019:Maguire, Neymar, Bruce, Fernandes, Alderweireld, Coutinho Leicester imemwambia mlinzi wake wa kati Harry Maguire, 26, kuwa anaweza kuondoka (Telegraph) Mshambuliaji wa Paris St-Germain Neymar, 27, amerejelea kauli yake uhusu nia yake ya kuondoka kwenye klabu hiyo kwenye mkutano wake na mkurugenzi wa ufundi Leonardo . (ESPN) Newcastle watalipa pauni milioni 4 kama fidia kwa timu ya Sheffield Wednesday kwa ajili ya kocha wao wa zamani Steve Bruce.(Sun) Wasaidizi wa Bruce Steve Agnew na Stephen Clemence pia wameondoka Sheffield Wednesday na watajiunga naye St James'Park .(Newcastle Chronicle) Manchester United watapeleka rasmi ofa ya kumnasa kiungo wa kati wa Sporting Lisbon Bruno Fernandes, 24, katika kipindi cha majuma matatu yajayo. Mkurugenzi wa Roma Gianluca Petrachi amethibitisha kuwa klabu yake ina mpango wa kumsajili mchezaji wa nafasi ya ulinzi wa Tottenham Toby Alderweireld, 30. (Football Italia) Alderweireld na mchezaji ...

REAL MADRID KUVUNJA BENKI KUKAMILISHA UHAMISHO WA PAUL POGBA UTAVUNJA REKODI YA DUNIA

Tetesi za soka Ulaya Jumatano 10.07.2019: Lindelof, Pogba, Bruce, Delph, Lukaku, Diaz, Kean Barcelona inamnyatia beki wa Manchester United na raia wa Sweden Victor Lindelof, 24, huku ikiwa beki wa Ajax Matthijs de Ligt anatarajiwa kujiunga na Juventus. (Mundo Deportivo - in Spanish) Real Madrid watalazimika kulipa dau litakalovunja rekodi la £162m kumsaini kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 26, kutoka Manchester United. (Marca) Mkufunzi wa klabu ya Sheffield Wednesday Steve Bruce ataunga mkono ofa yoyote kutoka Newcastle baada ya kupigiwa upatu kumrithi Rafael Benitez. (Chronicle) Naibu mkufunzi wa klabu ya Manchester City Mikel Arteta na mkufunzi wa Nice Patrick Vieira wameonywa kuhusu kazi ya Newvcastle na Benitez. (Sun) Everton ni miongoni mwa klabu zilizo na hamu ya kumsaini kiungo wa kati wa Manchester City na Uingereza Fabian Delph, 29. (Sky Sports) Mkufunzi wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer anataka mshambuliaji wa Ubelgiji Romelu Lukaku, 26, kutokuba...

Simba yawajibu wanaobeza usajili wao

Klabu ya soka ya Simba imesema inafanya usajili kutokana na mapendekezo ya benchi la ufundi, matakwa ya timu na ushiriki wa mashindano kwa msimu ujao na si pesa walizonazo, au kulipa kisasi kwa watani zao Yanga kama inavyosemwa sasa. Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara. Hayo yamebainishwa leo Jijini Dar es Salaama na Msemaji wa timu hiyo Haji Sunday Manara, wakati akizungumza na Waandishi wa habari katika ofisi za timu hiyo. Manara amesema wachezaji waliokuwepo wamefanya kazi kubwa hivyo kwa hali ya msimu ujao wanahitaji watu wa ziada, wenye uzoefu kwaajili ya kuongeza nguvu zaidi. “Kwa wachezaji wa ndani ukimtoa Kaseja, Dida ndio golikipa aliyecheza mechi nyingi za kimataifa, hivyo Pascal Wawa amekuja kuziba pengo la Juuko aliye kwenda Afrika ya kusini kwa majaribio, Kagere tunaye kwasababu ya kuwasaidia Okwi na Bocco kila mtu anaujuwa uwezo wake” , a mesema Manara. Mpaka sasa Simba imekamilisha Usajili wa wachezaji sita wapya wane wa ndani na wawili wa kimat...

Adrien Silva: Mchezaji aliyechelewa sekunde 14 ahamia Leicester kwa £22m

MTEULE THE BEST Adrien Silva alitajwa kwenye benchi wakati wa mechi dhidi ya Huddersfield uwanjani King Power Kiungo wa kati wa Ureno Adrien Silva hatimaye amefanikiwa kuhamia Leicester City, baada ya kushindwa majira ya joto klabu hiyo ilipochelewa kuwasilisha nyaraka zake kwa sekunde 14. Fifa walikataa kuidhinisha uhamisho wa mchezaji huyo wa miaka 28 kutoka Sporting Lisbon wakati huo wakisema muda wa kuhama wachezaji ulikuwa tayari umepita. Mreno huyo amekuwa akifanya mazoezi na Leicester kipindi chote cha majira ya joto kuimarisha kiwango chake cha uchezaji. Uhamisho wake wa £22m ulikamilishwa Jumatatu na akatajwa kwenye benchi mechi ya Leicester nyumbani dhidi ya Huddersfield. Silva, ambaye ni mzaliwa wa Ufaransa, alitoka akademi ya Sporting Lisbon, na amekuwa kwa mikopo Maccabi Haifa na Academica. Adrien Silva amefunga bao moja katika mechi 20 alizochezea Ureno Amechezea Ureno mechi 20 za kimataifa na kuwafungia bao moja na aliwachezea waliposhinda Euro 2016. Silva...