Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai 2, 2017

ROONEY LEO AFANYIWA VIPIMO EVATON

Wayne Rooney aliwasili Jumamosi katika Everton's Finch Farm ili apate uchunguzi wa matibabu kabla ya uhamisho wa bure wa Manchester United. Wayne Rooney alikuwa ameona kuendesha gari katika mafunzo ya Everton siku ya Jumamosi mchana ili kukamilisha kugusa kumaliza kabla ya kuifunga kurudi kwake Goodison Park. Miaka 13 baada ya kuondoka Old Trafford kwa £ 26.5m, mwenye umri wa miaka 31 atarudi, akikubali kuchukua kiasi kikubwa cha kulipwa.Kuunganishwa bado kulipa sehemu ya mshahara wa mshambuliaji ili kuwezesha mpango huo. Baada ya kupitisha matibabu yake Jumamosi alasiri, Rooney atakuwa saini kuu ya sita ya Everton, baada ya Michael Keane, Jordan Pickford, Sandro Ramirez, Davy Klaassen na Henry Onyekuru.

Bintiye Trump aketi katika kiti cha babake G20

MTEULE THE BEST Katika hatua isiyo ya kawaida, binti yake Bwana Trump, Ivanka, alikaa kwa niaba ya baba yake wakati wa kikao kinachohusu Afrika kwenye mkutano wa nchi tajiri wa G20. Vikao vya asubuhi vililenga masuala muhimu ya uhamiaji na afya. Picha iliyowekwa twitter na mmoja wa wapatanishi kutoka Urusi ilimwonyesha Ivanka Trump akikaa katikati ya Rais wa China Xi Jinping na waziri mkuu wa Uingereza, Bi Teresa May. Mwandishi wa BBC katika mkutano huo anasema hakumbuki kuwepo na mipango kama hiyo hapo zamani na kiongozi wa nyadhifa ya juu kama vile waziri wa mambo ya nje, ndio aghlabu huchukua nafasi ya Rais. Bi Trump hakuonekana akishiriki katika mchango wowote kuhusu uhamiaji wa raia wa Afrika kuelekea Ulaya na afya wakati babake alipokuwa ameondoka. Picha ya uwepo wake ilichapishwa katika mtandao wa Twitter na mshiriki mmoja wa Urusi na kuzua hisia kali katia mitandao ya kijamii. Baadhi ya watumiaji wa mitandao hiyo walisema kuwa bi Trump hajachaguliwa wala ...

Kifo cha Nkaissery: Matiang'i ateuliwa kaimu waziri wa usalama Kenya

MTEULE THE BEST Waziri wa elimu nchini Kenya Dkt Fred Matiang'i ameteuliwa kuwa kaimu waziri wa usalama wa ndani kufuatia kifo cha aliyekuwa waziri Meja Jenerali Mstaafu Joseph Nkaissery. Waziri huyo wa usalama alifariki dunia muda mfupi baada ya kulazwa katika hospitali ya kibinafsi ya Karen jijini Nairobi kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu. Uteuzi wa Dkt Matiang'i umetangazwa na Rais Uhuru Kenyatta baada ya kuongoza mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama wa Taifa. Waziri wa usalama Kenya Nkaissery afariki dunia Rais Kenyatta amesema hakutakuwa na pengo lolote kiusalama nchini kutokana na kifo cha jenerali huyo mstaafu. Rais amesema maandalizi ya uchaguzi mkuu ambao utafanyika tarehe 8 Agosti, mwezi mmoja kuanzia sasa, yataendelea bila kuvurugika. Bw Kenyatta amewataka Wakenya kuendelea kudumisha utulivu

KENYA:WAZIRI WA USALAMA AFARIKI DUNIA

MTEULE THE BEST Waziri wa usalama nchini Kenya Jenerali Mstaafu Joseph Nkaissery amefariki dunia. Waziri huyo amefariki dunia saa chache baada yake kulazwa katika hospitali ya kibinafsi ya Karen kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu. Taarifa za kifo chake zimetangazwa na mkuu wa utumishi wa umma Bw Joseph Kinyua mwendo wa saa kumi na moja alfajiri. Upinzani waonywa kuhusu kituo cha kuhesabu kura Kenya Matiang'i ateuliwa kaimu waziri wa usalama Kenya "Ni kwa huzuni kubwa na mshangao kwamba tunatangaza kifo cha ghafla cha Waziri wa Usalama wa Ndani Jenerali Mstaafu Joseph Nkaissery," taarifa ya Bw Kinyua imesema. "Taifa litaendelea kupashwa habari zaidi punde maelezo yatakapopatikana." Jenerali Joseph Kasaine ole Nkaissery, 67, amefariki siku chache baada ya mwanasiasa mkongwe G.G. Kariuki aliyekuwa seneta wa jimbo la Laikipia kufariki dunia. Mwanasiasa wa muda mrefu Kenya GG Kariuki afariki dunia Waziri huyo alizaliwa mwaka 1949 na alihudumu ka...

WASANII MATAJIRI ZAIDI BARANI AFRICA 1-10

MTEULE THE BEST Orodha ya wasanii 10 Afrika, matajiri mwaka 2017 kwa mujibu wa Forbes na kiasi ambacho wanamiliki, orodha ya Januari 09, 2017 1. Hugh Masekela south Africa -Net worth - $275M 2. Youssou Ndor_ Senegal - net worth - $145M 3. Psqure _ Nigeria _ net worth - $70M 4. DbanJ - Nigeria Net worth - $25M 5. 2face - Nigeria - Net worth - $22M 6. Wizkid - Nigeria - net worth -$19M 7. Koffi Olomide _ D.R Congo - net worth - $18M 8. Anselmo Raph - Angola - net worth $10M 9. Sarkodie - Ghana - net worth - $7M 10. Jose Chameleone - Uganda - net worth - $6M

KISONONO CHAPATA SUGU DHIDI YA DAWA ZAKE

MTEULE THE BEST Shirika la afya Duniani, WHO, limetoa tahadhari kuwa, ugonjwa wa zinaa wa kisonono, umeanza kuwa sugu dhidi ya dawa ya kupambana na ugonjwa huo. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa katika mataifa 77 tofauti Duniani, WHO imebaini kuwa maambukizi wa ugonjwa huo nchini Japan, Ufaransa na Uhispania, hayatibiki kabisa. Lakini hata hivyo, shirika hilo linasema wengi wanaoambukizwa ugonjwa huo wako katika nchi masikini, ambazo zinavifaa duni kudhibiti ugonjwa huo. Shirika hilo la Afya duniani linasema kufanya mapenzi bila ya kuingiliana na watu wachache wanaotumia kondomu kunasaidia kuenea kwa ugonjwa huo wa Kisonono.

LUKAKU NDANI YA MANCHESTER UNITED £75 MILION

MTEULE THE BEST Manchester United imekubaliana na £ 75m karibu na Everton kwa mshambuliaji Romelu Lukaku. Mshambuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji mwenye umri wa miaka 24 alifunga mabao 25 ​​ya Ligi Kuu ya msimu uliopita. United, ambao wamekuwa wakimfukuza Lukaku kwa majira mengi ya majira ya joto, hawatakuwa na nia ya sasa kwa Alvaro Morata wa Real Madrid. Kusonga kwa Lukaku hakuunganishwa na mazungumzo yenye lengo la kuingiza United mbele ya Wayne Rooney kwa Everton. Mechi ya Jose Mourinho ni matumaini ya kukamilisha mkataba wakati wa Lukaku kujiunga na kikosi kabla ya kuondoka kwa ziara ya kabla ya msimu kwa Marekani siku ya Jumapili. Mshambuliaji alikuwa kwenye orodha ya chaguo za mbele Mourinho alimpa mwenyekiti wa mtendaji mkuu Ed Woodward kabla ya mwisho wa msimu uliopita. Ilifikiriwa Lukaku kurudi klabu yake ya zamani Chelsea, ambaye alijiunga na Anderlecht mwaka 2011. Mchezaji huyo alinunuliwa Everton kwa £ 28m na Mourinho wakati mchezaji wa pili wa Meneja wa K...

MAREKANI: TUTATUMIA NGUVU YA JESHI KOREA KASIKAZIN

MTEULE THE BEST Marekani imesema kuwa itatumia nguvu za kijeshi dhidi ya Korea Kaskazini ''iwapo ni lazima'' kufuatia jaribio la kombora la masafa marefu lilotekelezwa na taifa hilo. Balozi wa Marekani Nikki Haley alisema kuwa maamuzi mapya pia yatawasilishwa dhidi ya Pyongyang katika Umoja wa Mataifa. Alielezea jaribio hilo kama tishio la kijeshi mbali na kutishia kutumia vikwazo vya kibiashara. Marekani: Korea Kaskazini ilikusudia uchokozi Marekani yatishia kuiadhibu Korea Kaskazini Marekani: Hatutaivumilia tena Korea Kaskazini Jaribio hilo la kombora , ambalo ni la hivi karibuni miongoni mwa majaribio mengine linakiuka marufuku ya baraza la Umoja wa Mataifa. Wakati huohuo waziri wa ulinzi nchini humo James Mattis na mwenzake wa Japan Tomomi Inada walisema kuwa jaribio hilo ni uchokozi ambao hautakubalika. Taarifa iliotolewa na wizara ya ulinzi imesema kuwa wawili hao walizungumza kwa njia ya simu ambapo Jenerali Mattis alisema Marekani itaendelea kuilin...