Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya LOWASSA

MAGUFULI AKUTANA NA LOWASSA IKULU

Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai Lowassa, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Baada ya mazungumzo hayo Bw Lowassa amempongeza Dkt Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya, kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu. “Nimepata faraja sana kuja hapa Ikulu kuonana na Mhe. Rais, tumezungumza nae na nimempongeza kwa kazi nzuri anayoifanya, lazima tukiri anafanya kazi nzuri na anahitaji kutiwa moyo.” Picha/Ikulu, Tanzania #magufuli #ikulu #lowassa #tanzania Angalia VIDEO AKIMPNGEZA RAIS