Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai 3, 2016

EURO FINAL PATA MTONYO

MTEULE THE BEST Habari yako mpendwa mfatiliaji wa hii blog nakuomba leo upate faida na hii blog kutoka kwangu  www.mteulegosberth.blogspot.com  leo utafata faida kama wale waliopata katika fainali klabu bingwa ulaya nasasa ni mabigwa wa kitamataifa ulaya unastahili kufanya kazi moja tu kutabili mshindi na yule atakayetabili mapema kabisa mshiko una muhusu wa tsh50000 za tz  mashart  1;andika magoli na kipindi yatakacho fungwa 2; utabili unahusu dk 90 tu 3; unaweza kutabili pia mchezaji atakaefunga wakwanza  4; mwisho saa moja kabla wahi sasa inawahusu wote  pata mnapesa ww.mteulegosberth.blogspot.com

Siri za Malasusa kumega kanisa zavuja

MTEULE THE BEST ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), ameshindwa kujisafisha dhidi ya tuhuma kuwa amezini na mchungaji wake,  Askofu Dk. Alex Malasusa, anatuhumiwa anatuhumiwa kujihusisha kimapenzi na mchungaji wa kanisa hilo ambaye ni mke wa mtu, Leita Ngowi. Akizungumza kwenye mkutano wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania ( CCT ), mjini Dodoma, Alhamisi wiki hii, Askofu Dk. Malasusa ameishia kusema, “kuchafuliwa kwangu ni vita maalum ya watu wa Kaskazini wakiongozwa na maaskofu wao.” Amesema, chanzo cha kuchafuliwa kwake kunatokana na hatua yake ya kukataa kumuunga mkono aliyekuwa mgombea wa urais UKAWA, waziri mkuu mstaafu, Edward Lowassa. Alisema, “unajua wenzetu kule Kaskazini wote ni UKAWA. Sasa mimi nilikataa upuuzi huo wakanichukia.” Mtoa taarifa wa gazeti hili amesema, kabla ya kwenda Dodoma, Askofu Dk. Malasusa alinukuliwa akisema, jitihada za kumchafua zinaendeshwa na baadhi y...

SHOGA aiponza clouds tv

MTEULE THE BEST   MAMLAKA ya mawasiliano nchini (TCRA) imetoa onyo pamoja na kuutaka uongozi wa Clouds TV kuomba radhi Watanzania kupitia taarifa zake za habari ndani ya siku tano mfululizo kuanzia leo, anaadika Regina Mkonde. Adhabu hiyo imetolewa leo na kamati ya Maudhui ya TCRA , baada ya baadhi ya wananchi hususani watazamaji wa kipindi cha ‘Take One’ kilichorushwa 28 Juni mwaka huu ambacho kilidaiwa kueleza masuala ya mapenzi ya jinsia moja (Ushoga), kulalamikiwa kwamba kilikiuka maadili ya taifa. Wakati akisoma tamko la adhabu hiyo, Joseph Mapunda, Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo amesema kuwa maamuzi hayo yamefikiwa baada ya wajumbe wa kamati kutafakari maelezo ya utetezi yaliyotolewa na uongozi waClouds TV. “Tumetafakari kwa kina maelezo ya utetezi yaliyotolewa na clouds tv kuhusu kipindi chake cha Take One kilichorushwa hewani tarehe 28 June 2016 ambacho kilikiuka baadhi ya kanuni za maadili ya utangazaji,” amesema Mapunda. Ameongeza kuwa “kutokan...

NDOA ZA UTOTO KIPIGWA MARUFUKU Tz

MTEULE THE BEST     Mahakama kuu nchini Tanzania leo imeidhinisha umri halisi wa kuolewa kwa mtoto wa kike kuwa miaka 18. Wasichana wenye umri wa miaka 14 huolewa kwa ridhaa ya wazazi wao. Mahakama kuu imetoa muda wa mwaka mmoja kuhakikisha kuwa Serikali inasahihisha sheria ya mwaka 1971 kifungu cha 13 kinachoruhusu Mtoto wa kike kuozwa akiwa na umri miaka 14 Wasichana wanaoolewa katika umri huu mara nyingi wanakabiliwa na unyanyasaji wa majumbani sambamba na kutengwa na jamii huku wakipewa nafasi ndogo kwa ajili ya elimu na ajira. Huu ni ushindi mkubwa kwa wanaharakati wa Tanzania katika kupigania haki za watoto na sasa itakuwa rahisi kuwaokoa wasichana wanaoathirika na utamaduni wa kuozeshwa wakiwa wadogo. Uamuzi huu umekuja wakati Bunge kupitisha sheria ya kifungo cha miaka 30 ama faini ya dola 2500 kwa mwanaume atayebainika kumuoa ama kumpa mimba mwanafunzi.Hata hivyo sheria hii inawatenga maelfu ya wasichana ambao si wanafunzi.  

USIA WA BABA KWA BINTI YAKE ANAEOLEWA.

MTEULE THE BEST   USIA WA BABA KWA BINTI YAKE ANAEOLEWA. 1.Mwanangu unakwenda kuolewa na Mwanaume (Mume) na siyo marafiki, Hakikisha haushindi kwa Marafiki sasa kama ilivyokuwa kabla ya kuolewa kwako,Umesikia Mwanangu.....Heshimu ndoa yako 2.Mwanangu SIRI ZAKO NA MUMEWE ni MARUFUKU kuzitoa nje,Usifikiri kila unayemuelezea SIRI Zako na Mumewe anafurahia WENGINE wanakucheka,JIFUNZE KUTUNZA SIRI ZAKO NA MUMEO..Mwanangu 3.Mwanangu Wewe ni Mlinzi wa MUMEO...Mlinde kwa MAOMBI Kila WAKATI Usifikiri MAOMBI YAMEISHA ULIPOINGIA KWENYE NDOA,HAPANA UKIZUBAA TU,YULE MWIZI ATAKUJA (Yohana 10:10) 4.Mwanangu Mimi na Mama Yako tumezeeka na mda wetu umetutupa mkono ila furaha yetu inaenda kutimia kwa kukulea, ukakua katika maadili na ndoa yetu sasa na wewe unaenda kupata yako tumetimiza ndoto yetu ya kukuona ukiwa mama ambaye atayaenzi yote mema na kuwa na ndoa itakayodumu kama yetu ikitawaliwa na furaha na upendo... Linda sana ndoa yako 5. Mwanangu ulipokua mdogo shu...

MAMBO YANAYOKWAMISHA "NDOA"

MTEULE THE BEST   MAMBO YANAYOKWAMISHA "NDOA" NYINGI NA KUACHA VILIO,...YAEPUKE MNO Ndoa siku hizi zimekua kama fashion yaan watu wanazikimbilia kwa kukurupuka kisa michango ya harusi, kuiga n. k ila ukweli unabaki hakika yafuatayo yanawaponza mno wanandoa wengi nchini: 1: Wahusika kuingia katika ndoa pasipo kuwa na ufahamu juu ya ndoa. Wengi huingia kwa kufuata mazoea tu kwamba, umri fulani ukifika basi huwa ni wakati wa kuoa au kuolewa. Wengine huingia kwenye ndoa ili kujionyesha kwa jamii tu kwa kuwa na sherehe ya harusi ya kifahari. Watu hao utawagundua mapema tu, maana husisitiza sana juu ya sherehe za kifahari maana hawana future na wewe, hata kukopa kwa ajili ya sherehe wako tayari. 2: Kukosa mifano mizuri ya namna ya kuendesha ndoa imara yenye furaha katika jamii, hususani kutoka kwa wazazi wao. Wazazi wenyewe wamekuwa si mfano mzuri juu ya ndoa bora. Wazazi kuwa ndoa zenye migogoro isiyoisha, imekuwa mafundisho mabaya kwa watoto wao. Kama...

MTOTO MNENE ZAIDI DUNIAN

MTEULE THE BEST ANA Kg 192 zaidi ana umri wa miaka 10 huyu ndiye mtoto mnene zaidi kutokea duniani

Mourinho amkejeli tena Arsene Wenger

MTEULE THE BEST   Mkufunzi Jose Mourinho amesema kuwa yuko tayari kuchukua jukumu la kuifunza Manchester United, lakini akaonekana pia kumkejeli meneja wa Arsenal Arsene Wenger. Amesema ''niko mahala nitakapo''. Raia huyo wa Ureno mwenye umri wa miaka 53 aliongezea: ''Nadhani ni kazi ambayo kila mtu anahitaji na sio wengi ambao huipata na mimi nimeipata''. Alipoulizwa iwapo ana chochote cha kujionyesha baada ya kufutwa kazi akiwa Chelsea, alijibu, akionekana kumrejelea Wenger: ''Kuna mameneja ambao hawajashinda mataji kwa kipindi cha miaka 10 iliopita. Wengine bado kabisa. Mara yangu ya mwisho kushinda taji ni mwaka uliopita''. Mkufunzi huyo wa zamani wa Chelsea anachukua mahala pake Louis Van Gaal,ambaye alifutwa kazi baada ya United kushinda kombe la FA mnamo mwezi Mei. Mourinho anasema kuwa anachukizwa kuona kwamba United haitashiriki katika mechi za kombe la vilabu bingwa Ulaya msimu ujao lakini akasisiiza ...

IMANI BILA MATENDO ITAKUFA TU

MTEULE THE BEST   Mama mmoja baada ya kukaa kwa muda mrefu bila kushika mimba, aliamua kwenda kwa mchungaji mmoja ambaye alitoka nchi ya mbali na kuja pale mtaani kwao akiwafanyi a watu miujiza mbalimbali kupitia maombi yake na mama akaomba kuombewa ili apate mtoto. Mchungaji yule alimfanyia ibada fupi na miezi michache baadae yule mama alibahatika kupata mimba na kuibeba kwa miezi tisa kisha akajifungua salama mtoto wa kiume. Mama yule aliendelea kumtunza mwanae kwa kumnyonyesha ingawa kila alipomnyonyesha mtoto yule mama aliishiwa nguvu na kulala kwa muda kabla ya kuamka na kuendelea na kazi. Jambo lile lilimshtua sana mama lakini akafikiri labda ni tatizo la kawaida kwani hakuwahi kuwa na mtoto. Akaamua amwanzishie kumpa maziwa na kumwomba msichana wake wa kazi kuwa awe anampa maziwa pindi yeye yupo kazini na akawa akinunua maziwa lita tatu ili yaweze kukaa kwa siku tatu. Maajabu ni kwamba lita tatu ziliisha kwa siku na mama kwa kuwa alipenda kwenda n...

SIKUKUU YA EID

MTEULE THE BEST   SIKUKUU YA EID:  Mufti mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry ametangaza kuwa kesho jumatano ni sikuu ya Eid el ftri baada ya mwezi kuandama  
MTEULE THE BEST     TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kwa mamlaka  aliyonayo kwa mujibu wa kifungu cha 48 cha sheria ya tafsiri za sheria (Interpretation of Laws Act)  Sura 1, leo tarehe 5 Julai, 2016 ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Maendeleo ya TIB Prof. William Lyakurwa . Kufuatia hatua hiyo, kwa mujibu wa mamlaka aliyonayo chini ya kifungu cha 9 (2) cha ya Sheria ya mashirika ya umma (Public Corporations Act) Sura 257, Mhe. Rais amemteua Prof. Palamagamba J. A. M. Kabudi  (pichani)kushika nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Maendeleo ya TIB kwa kipindi cha miaka mitatu. Kufuatia mabadiliko hayo, Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango  kwa mamlaka aliyonayo kwa mujibu wa kifungu cha 48 cha sheria ya sheria ya tafsiri za sheria (Interpretation of Laws Act)  Sura 1,  ametengua uteuzi wa Wajumbe Bodi ya Benki ya Maendeleo ya TIB. ...

Made in tanzania hercoptter

   MTEULE THE BEST MUNGU IBARIKI TANZANIA  TUNAOMBA VIPAJI HIVI VIENDELEZWE

Serikali ya Tanzania imepiga marufuku uvutaji wa shisha

MTEULE THE BEST Serikali ya Tanzania imepiga marufuku uvutaji wa shisha nchini humo na kulitaka jeshi la polisi kufanya kila juhudi kutokomeza uraibu huo. Waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa ametoa agizo hilo na kusema uvutaji shisha umekuwa ukichangia katika kudorora kwa maadili miongoni mwa vijana, na kuwapunguzia uwezo wa kiakili na kimwili wa kufanya kazi. Bw Majaliwa, akiongea katika futari iliyoandaliwa kwenye msikiti wa Khoja Shia Ithnaasheri, Mtaa wa Indira Gandhi jijini Dar es Salaam, amesema watakaokaidi agizo hilo pamoja na wauzaji wa vilevi hivyo, wataadhibiwa vikali. “Hii (Shisha) ina mchanganyiko mwingi ambao huvutwa na kutoa moshi mwingi, maji yake huwekwa gongo na vilevi mbalimbali hivyo mvutaji hupata ladha mbalimbali ambazo siku akikosa hutafuta mahali popote,’’ alisema Majaliwa. Awali, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alikuwa ametangaza kuwa ni marufuku watu kuvuta shisha hadharani iwe ni katika baa, klabu au eneo lolote la ...

Ujumbe wa Trump unabagua Wayahudi

MTEULE THE BEST    Mgombea urais wa chama cha Democratic nchini Marekani Hillary Clinton amesema ujumbe ulioandikwa na mpinzani wake Donald Trump kwenye Twitter ulieneza chuki dhidi ya Wayahudi. Ujumbe huo wa mgombea huyo wa chama cha Republican ulikuwa na umbo linalokaribiana na nyota ya Daudi pamoja na rundo la pesa. Ndani ya umbo hilo, kulikuwa na maandishi yaliyoeleza kuwa Bi Clinton ndiye “mgombea mfisadi zaidi kuwahi kuwepo!” Ujumbe huo ulifuywa baadaye na badala yake akaandika ujumbe mwingine maandishi hayo yakiwa ndani ya umbo la duara. Bw Trump alisema vyombo vya habari vina unafiki kwa kulinganisha umbo lake na umbo la Nyota ya Daudi, ishara ya Uyahudi.   MIC "Hatua ya Donald Trump kutumia picha za chuki dhidi ya Wayahudi kutoka kwenye tovuti za kibaguzi kuendelea kampeni yake inas...

Takuma Asano atua Arsenal

MTEULE THE BEST   Arsenal wamekubali kumsajili mshambulizi chipukizi kutoka Japan Takuma Asano. Mshambulizi huyo mwenye umri wa miaka 21 amejiunga na the Gunners akitokea klabu ya nyumbani ya Sanfrecce Hiroshima. Kandarasi yake hata hivyo itakamilishwa baada ya kufanyiwa vipimo vya afya. Arsenal imechapisha kwenye tovuti yake picha za mashambulizi huyo na kumkaribisha uwanjani emirati. Takuma amewahi kuichezea Japan katika mechi 5 za kimataifa. Takuma anatarajiwa kujumuishwa katika kikosi cha nchi hiyo kitakayoshiriki michezo ya Olimpiki mwezi ujao jijini Rio de Janeiro Brazil. Takuma amecheza mechi 56 na kufunga mabao 11 katika ligi kuu ya Japan J-League. Alishinda ligi hiyo ya J1 League mwaka wa 2013 na 2015, Japanese Super Cup 2013, 2014 na 2015,mwaka huo pia alituzwa kama chipukizi bora wa mwaka . Kocha Arsène Wenger amemsifu mshambulizi huyo kwa ukakamavu wake ''Takuma ni mshambulizi machachari sana na bila shaka atatufaa zaidi katika siku ...

Mtandao unaowaunganisha wapenzi wa Kiislamu wadukuliwa

MTEULE THE BEST   Maelezo ya kibinafsi ya takriban wanachama 150,000 wa mtandao unaowaunganisha wapenzi wa Kiislamu umewekwa wazi mtandaoni. Zaidi ya ujumbe 700,000 za kibinafsi kati ya wanachama zimefichuliwa. Ujumbe katika mtandao huo ulisema: ''Tumejulishwa kuhusu udukuzi na tunaurekebisha mtandao wetu kwa lengo la kuimarisha usalama wake''. Ujumbe uliofichuliwa ulihusisha habari za siri kama vile iwapo mwanachama angependa kuwa na wake wengi. Udukuzi huo ulibainiwa na mtafiti wa maswala ya kiusalama Troy Hunt ambaye anamiliki mtandao wa maswala ya usalama wa mitandaoni. Mtandao wa Waislamu Maelezo kuhusu waajiri wa wanachama,akaunti zao za Skype na anwani zao za kuingia mtandao kulingana na mtandao wa teknolojia Motherboar. Ukurusa wa kuwaunganish...

Tetesi za usajili ulaya 2016

MTEULE THE BEST    Mshambuliaji wa England na Tottenham, Harry Kane atasaini mkataba mpya kusalia White Hart Lane wenye thamani ya pauni milioni 5 kwa mwaka wiki hii (Independent), Jose Mourinho ana uhakika wa kumshawishi kiungo kutoka Ufaransa Paul Pogba, 23, kurejea tena Manchester United miaka minne baada ya kuondoka na kwenda Juventus (Daily Mail), Manchester United wapo tayari 'kuvunja benki' ili kumsajili Pogba, huku dau likidhaniwa kufika hadi pauni milioni 100 (Telegraph). Pogba kurejea OT? Kiungo wa Paris St-Germain, Blaise Matuidi, 29, amepewa ruhusa ya kuondoka katika kambi ya Euro 2016 ya Ufaransa na kwenda England kwa ajili ya mazungumzo ya kuhamia Manchester United (Goal), Manchester United na Liverpool wote wanataka kumsajili kiungo wa Porto R...

setilaiti ya juno yafika jupiter

MTEULE THE BEST     Ile Setilaiti ya Juno iliiyosafiri kwa miaka mitano kwenda katika sayari ya Jupiter imefika kwenye sayari hiyo na kuanza kuizunguka. Wanasayansi wanakadiria setilaiti hiyo ilifika muda mfupi ujao majira ya saa 12:15 asubuhi hii kwa saa za Afrika Mashariki. Setilaiti hiyo inatarajiwa kudumu kwa mwaka mmoja na nusu kuchunguza sayari jinsi ilivyoumbwa. Mawasiliano kutoka kwa chombo hicho cha juu yalipokelewa katika maabara ya Nasa eneo la Pasadena, California kwa shangwe. "Vituo vyote vya Juno, tunapokea sauti ya kufanikiwa kwa chombo Delta B," kituo cha udhibiti wa Juno kilitangaza. "Roger Juno, karibu Jupiter." Chombo cha Juno kikipaa Wanasayansi wanatarajiwa kutumia chombo hicho kufahamu Zaidi muundo wa sayari ya Jupiter ambayo hujulikana kwa Kiswahili kam...

mwanamke siku zote anapenda shortcut

MTEULE THE BEST   Mwalimu aliingia darasani na kuwauliza wanafunzi juu ya ndoto zao za baadae. MWAL: John we unataka ukiwa mkubwa uwe nani? JOHN: Nataka niwe daktari wa moyo niwasaidie watanzania wanaougua magonjwa ya moyo. MWAL: vizuri. Na wewe Rose unataka kuwa nani? ROSE: Nataka kuwa rubani, niweze kusaidia watu wanaopenda kusafiri kwa anga. MWAL: Safi sana Rose. Utakua mfano kwa wasichana wenzio kuwa na bidii kwenye masomo ya sayansi. MWAL: Na wewe James?? JAMES: mimi nataka kuwa tajiri mkubwa sana. Niwe na nyumba Tanzania, S.Africa, Marekani na Dubai. Niwe na gari 7 za kutembelea. Kila siku nabadilisha. Leo nikipanda hii, siirudii hadi week iishe. Nataka niwe namiliki viwanda, Makampuni, ndege binafsi na mashamba makubwa. Nataka niwe na nguvu serikalini ya kuamua nani awe Rais na nani asiwe......" Akameza mate kisha akaendelea.... "Nataka kuwa na walinzi 20 wenye silaha nzito wakinizunguka, na watumishi wakininyenyekea. Nataka kuwa bilion...

Bavicha

MTEULE THE BEST   Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), limesema litazuia Mkutano Mkuu wa (CCM) unaotarajiwa kufanyika mwezi huu mjini Dodoma kutokana na tamko la Jeshi la Polisi kuzuia mikutano yote ya kisiasa.