Nandy amepigwa chini? Moja ya story kubwa ni pamoja na kilele cha msimu wa fiesta kwa mwaka huu wa 2018 ambapo kilele hicho kitafanyika Leaders Club Dar es Salaam siku ya jumamosi ya November 24 ambapo siku ya leo 22, 2018 Waziri wa ladha na vibe kutoka Jamhuri ya Fiesta Kenedy the Remedy ameitaja listi ya Wasanii watakao Perform. Katika list hiyo ambayo wametajwa wasanii wakizazi jina la msanii Nandy halijatajwa na kuacha maswali kuwa huwenda Nandy amepigwa chini..? lakini pamoja na hilo bado inasubiriwa list nyingine ya kambi ya upinzani inayohusisha wasanii wakongwe kwenye game ya bongofleva. List ya wasanii watakao – perform 1. Weusi 2. Rostam 3. Fid Q 4. Wakazi 5. Rich Mavoco 6. The Mafik 7. Ben pol 8. Rosa Ree 9. Marioo 10. Barnaba 11. Billnass 12. Chege Chigunda 13. Dogo Janja 14. Msami 15. WhoZu 16. Mimi Mars 17. Lulu Diva 18. ...