Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya UTAFITI

Tanzania :- Marekani na Uingereza zatilia shaka 'haki za Binadamu kisheria'

Tamko la Marekani na Uingereza linagusia kesi ya Erick Kabendera kama mfano wa hivi karibuni Ubalozi wa Uingereza na Marekani nchini Tanzania wametoa tamko la pamoja kuhusu kile walichokiita "wasiwasi wa kuzorota kwa kwa haki za kisheria nchini Tanzania." Katika tamko hilo, ofisi hizo mbili za ubalozi zinadai kuwa imedhihirika kwa zaidi ya mara moja watu kutiwa kizuizini kwa muda nchini Tanzania bila kupelekwa mahakamani na kubadilishiwa mashitaka na mamlaka zake za kisheria. "Tuna wasiwasi hasa kwa tukio la hivi karibuni -- jinsi ambavyo halikushughulikiwa kwa haki la kukamatwa, kuwekwa kizuizini na tuhuma za mashtaka ya mwandishi wa habari za uchunguzi Bw Erick Kabendera, ikizingatiwa ukweli kwamba alinyimwa haki ya kuwa na mwanasheria kwenye hatua za awali na kutiwa kizuizini kwake, ambapo ni kinyume cha sheria ya makosa ya jinai," inasema sehemu ya tamko hilo. "Tunaisihi serikali ya Tanzania kutoa hakikisho la mchakato wa kutenda haki kisheria k...

Utafiti: Matumizi ya simu husababisha kuwa wapenzi wengi

Utafiti: Matumizi ya simu yaliyokithiri husababisha kuwa wapenzi wengi miongoni mwa wanafunzi Matumizi ya simu yanasababisha wapenzi wengi? Katika utafiti wa zaidi ya watu 3,400 nchini Marekani wanaosoma shahada ya kwanza, wale waliosema wana matatizo na muda wanaotumia katika simu zao wanaripotiwa kuwa na wapenzi wengi pia. Na wanadhaniwa kuwa na msongo wa mawazo, mmoja wa watafiti amesema kuwa matokeo yautafiti yanashangaza. Watafiti kutoka chuo kikuu cha Chicago, Cambridge na chuo kikuu cha Minnesota wamefanya tafiti hii ya tabia za uraibu wa simu. Lengo la utafiti huu lilikua ni kutaka kujua hali ya afya ya akili ya wanafunzi na jinsi gani simu zina matokeo katika utendaji wao. Ili kujua matumizi yaliyopitiliza ya simu za mkononi, wanafunzi waliulizwa maswali mbalimbali ikiwemo yafuatayo; Rafiki zako na familia wanalalamika hukusu matumizi makubwa ya simu? Una matatizo yoyote darasani kutokana na matumizi ya simu? Unadhani muda unaotumia simu umeongezeka? ...

Utafiti: Wanawake wa Rwanda na Kenya ndio wataishi muda mrefu zaidi Afrika Mashariki

Wanawake nchini Rwanda na Kenya ndio wanaotarajiwa kuishi muda mrefu zaidi miongoni mwa wanawake na wanaume katika nchi za Afrika Mashariki, kwa mujibu wa takwimu. Umri wa wanawake kuishi Rwanda kwa sasa ni miaka 69.3 na nchini Kenya ni miaka 69.0. Hata hivyo, umri wa kuishi wa wanaume Uganda ndio ulioongezeka zaidi katika kipindi cha mwongo mmoja uliopita, ambapo umepanda kwa miaka 13.5. Nchini Tanzania, umri wa kawaida wa kuishi kwa wanawake kufikia mwaka 2016 ulikuwa miaka 66, ongezeko la miaka 10 ukilinganisha na mwaka 1990 kwa mujibu wa Utafiti wa Mzigo wa Maradhi Duniani mwaka 2016, ulioratibiwa na Taasisi ya Takwimu za Afya na Utathmini. Kwa wanaume, umri wa kuishi ulikuwa miaka 62.6 kufikia mwaka 2016 ukilinganisha na miaka 53.7 mwaka 1990. Kwa kiwango cha kadiri, umri wa kuishi kwa Watanzania umeongezeka kwa miaka kumi kufikia sasa tangu mwaka 1990. Nchini Kenya, umri wa kuishi kwa wanawake umeongezeka kutoka miaka 62.6 mwaka 1990 hadi miaka 69 mwaka 2016,...

Waangalizi huua Simba 250 kila mwaka nchini Tanzania

Afisa kutoka Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (Tawiri) Dk. Dennis Ikanda alisema idadi ya simba ilianguka kutoka karibu 25,000 mwaka 2010 hadi 16,000 sasa.  Dodoma. Jumla ya viunga 250 huuawa kila mwaka nchini Tanzania na wachungaji wanaotisha hofu ya kutoweka kwa "mfalme wa jungle" katika nchi katika siku zijazo inayoonekana. Afisa kutoka Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (Tawiri) Dk. Dennis Ikanda alisema idadi ya simba ilianguka kutoka karibu 25,000 mwaka 2010 hadi 16,000 sasa. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanyamapori Duniani Dr Ikanda alibainisha kuwa Tanzania bado inajiunga na idadi kubwa ya simba za nchi nyingine yoyote lakini ikiwa mwenendo wa poaching una wasiwasi. Mada ya Siku ya Wanyamapori ya Dunia ilikuwa "Panya Kubwa: Wadudu Wa Chini" na ilikuwa na lengo la kuhamasisha umma juu ya umuhimu wa kulinda paka kubwa. Kuhusu asilimia 80 ya simba huishi katika bustani za kitaifa, Dr Ikanda alibainisha, lakini ni asilimi...

Wanasayansi wapata picha za nguruwe wenye sura mbaya zaidi duniani

MTEULE THE BEST Conservationists capture the first footage in the wild of the endangered Javan warty pig Wanasayansi wapata picha za nguruwe mweye sura mbaya zaidi duniani Wanasayansi wamepata picha za kwanza za msituni za kati ya nguruwe wachache wenye sura mbaya zaidi duniani. Nguruwe hao kwa jina Javan waty, wako kwenye hatari ya kuwindwa na kupotea kwa makaazi yao, na wanasayansi wanasema kuwa nguruwe hao tayari wanaelekea kuangamia. Kamera fiche kwa sasa zimefichua kuwa idadi ndogo wa nguruwe hao bado wanaishi maeneo ya misitu kadha huko Java. Wanasayansi wanasema kuwa lengo lao ni kulinda makazi ya wanyama hao. Kamera fiche kwa sasa zimefichua kuwa idadi ndogo wa nguruwe hao bado wanaishi maeneo ya misitu kadha huko Java. Mkuu wa utafiti huo Dr Johanna Rode-Margono, alisema kuwa wanasayansi walifurahishwa kugundua kuwa nguruwe hao bado wako. Utafiti wa mwisho kwenye misitu hiyo ulifanywa mwaka 2004 na kuonyesha kuwa idadi ya nguruwe hao ilikuwa ikididimia zaidi. ...

Utafiti: Jeraha la mchana hupona haraka kuliko lile la usiku

Wanasayansi nchini Uingereza wamegundua kwamba majeraha ya kukatwa na kuchomeka hupona haraka yanapopatikana mchana ikilinganishwa usiku. Wanasema kwamba ni kutokana na mwili unavyohisi kulingana na muda. Utafiti huo unasema kuwa seli za ngozi ya mwanadamu hubadilisha tabia yake kulingana na muda huku protini zinazohitajika kurekebisha majeraha hayo zikifanya kazi vizuri wakati wa mchana. Jeraha la kuchomeka nyakati za usiku lilichukua siku 28 kupona ikilinganishwa na siku 17 za jereha la wakati wa mchana. Watafiti walitaja tofauti hiyo kuwa kubwa huku wakiongezea kwamba wanaweza kuharakisha watu kupona kwa kutumia dawa za steroids ambazo hubadilisha muda wa mwili.Utafiti: Mbwa mwitu hufanya uamuzi kwa kupiga chafya Utafiti uliochapishwa katika jarida la Sayansi uliwahoji wagonjwa 118 katika kitengo cha wagonjwa waliochomeka nchini Uingereza. Ulionyesha muda wa kupona wa 11 kati ya watu nyakati za mchgana na usiku. Matokeo ya mahabara yalionyesha kuwa seli za ngozi kwa jina Fi...