EPUSHA HATARI AMA MAJANGA YANAYOWEZA KUTOKEA KWA NDUGU, RAFIKI YAKO AMBAYE NI SHABIKI WA ARSENAL KWA KUCHUKUA TAHADHALI HIZI HAPA CHINI. 1: Muweke mbali na sumu 2: Muweke mbali na vifaa va ncha Kali mf ( kisu,wembe,panga n.k) 3: Usipende kumwonyesha picha za kutisha kama ya Suarez, Messi au Neymar 4: Usipende kuisemea mbaya Arsenal ww isifie na ukimwambia ni kipind cha mpito 5: Haitakiw awe karibu na peni na karatasi coz muda wowote atamwandikia taraka mke wake kama ameoa 6: Mponde mzee Wenger kila ipitapo dakika moja NB: wote tunawapenda mashabiki wa Arsenal na hatupo radhi kuwapoteza.
HII NI KWA KWA AJIRI YA KUMLINDA RAFIKI YAKO / NDGU FANS WA WASHIKA MITUTU WA UINGELEZA BAADA YA KUSHIRIKI UEFA ( ARSENAL ) HATARI SANA