Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 13, 2016

MPENZI (MWANAMKE) KUTOKA NJE YA NDOA

Mkeo akianzisha mahusiano nje hutamjua kwa sababu hizi :- 1; AICHUNGA SIMU YAKE KULIKO MBONI YA MACHO YAKE   UKIISHIKA ATAZUGA ANAKUPENDA ILIAPOTEZE LENGO ACHUKUE 2; KILA UKIJUA PIN UTAKUTA AMEZIBADIRISHA MARA KWA MARA 3; ATAKUONESHA UPENDO KULIKO MWANZO AKUONESHA ANAKUPENDA SANA 4; ATAKUPA TUUMA ZA USALTI KUWA UNAMSALITI 5; UKIMUOMBA TENDO   LA NDOA ATAKUAMBIA AMECHOKA SABABU NYINGI ZISIZO NA MAANA 6; UKIMWAMBIA MTAFANYA AKIRARAMIKA UNAMFANYA VIBAYA AMECHOKA 7; AKUWA NA STAIL MPYA 8; RATIBA YENU YA KUFANYA MAPENZI ITABADRIKA KISINGIZIO NI KUCHOKA NA MZUNGUKO UMEBADIRKA 9; UTAPIGWA TAREHE KAMA UKO MAHAKAMANI ( hapo p enzi la nje linakuwa limeiva sana kumludisha nitabu 10; UTANYIMWA KABISA UTAPEWA ATAKAPOJISIKIA MWENYEWE IFAAMIKE KUWA UKISHAANZISHA MAUSIANO NJE NISAWA NA KULA NYAMA YA MTU UWEZI KUACHA KABISA UTACHEPUKA MPAKA KUNA FAIDA NA HASARA P PANAPO MAJARIWA N...

UEFA NDOGO usiku waleo

MECHI YA LEO ITAWEZA KURUDISHA MASHABIKI ENDAPO MANCHESTER UNITED ITAWEZA KUWATOA MAJOGOO WA JIJI LIVERPOOL IKIWA MECHI YA MWANZO ILIISHA 2:0 NAINAWEZA KIBARUA CHA VAN GAAL KUWA   SAWA KIDOGO MECHI INAANZA SAA 5:05 USIKU KWA MDA WETU AFRIKA MASHARIKI

MSAMAHA WA DHAMBI UPO KWA SABABU MUNGU YUPO

Tujifunze kuwa wapole wa roho tutuache tamaa ndugu zangu tamaa ni mbaya sana hakuna mafanikio kwenye tamaaa watu wengi tumepoteza uhaminifu tumeendekeza tamaa zisizo na manufaaa kwetu maandiko husema " heri wenye moyo safi maana hao watamuona MUNGU" tujifunnze kulipa wema kwa wema na Ubaya kwa wema tuzivunje sasa roho za tamaa , visasi nk Tumuombe Mungu wetu aliye tuumba atujarie moyo safi atujalie roho ya kusameee kwa Leo naishia hapo panapo majaliwa tutaendelea AMANI YA BWANA IWE NA WEWE HAKIKA WEWE MSOMAJI UMEBARIKIWA YAZINGATIE           AMINA

EPUSHA HATARI AMA MAJANGA YANAYOWEZA KUTOKEA KWA NDUGU, RAFIKI YAKO AMBAYE NI SHABIKI WA ARSENAL KWA KUCHUKUA TAHADHALI HIZI HAPA CHINI. 1: Muweke mbali na sumu 2: Muweke mbali na vifaa va ncha Kali mf ( kisu,wembe,panga n.k) 3: Usipende kumwonyesha picha za kutisha kama ya Suarez, Messi au Neymar 4: Usipende kuisemea mbaya Arsenal ww isifie na ukimwambia ni kipind cha mpito 5: Haitakiw awe karibu na peni na karatasi coz muda wowote atamwandikia taraka mke wake kama ameoa 6: Mponde mzee Wenger kila ipitapo dakika moja NB: wote tunawapenda mashabiki wa Arsenal na hatupo radhi kuwapoteza.

HII NI KWA KWA AJIRI YA KUMLINDA RAFIKI YAKO / NDGU FANS WA WASHIKA MITUTU WA UINGELEZA BAADA YA KUSHIRIKI UEFA ( ARSENAL ) HATARI SANA