Mkeo akianzisha mahusiano nje hutamjua kwa sababu hizi:-
1;AICHUNGA SIMU YAKE KULIKO MBONI YA MACHO YAKE UKIISHIKA ATAZUGA ANAKUPENDA ILIAPOTEZE LENGO ACHUKUE
2; KILA UKIJUA PIN UTAKUTA AMEZIBADIRISHA MARA KWA MARA
3; ATAKUONESHA UPENDO KULIKO MWANZO AKUONESHA ANAKUPENDA SANA
4; ATAKUPA TUUMA ZA USALTI KUWA UNAMSALITI
5; UKIMUOMBA TENDO LA NDOA ATAKUAMBIA AMECHOKA SABABU NYINGI ZISIZO NA MAANA
6; UKIMWAMBIA MTAFANYA AKIRARAMIKA UNAMFANYA VIBAYA AMECHOKA
7; AKUWA NA STAIL MPYA
8; RATIBA YENU YA KUFANYA MAPENZI ITABADRIKA KISINGIZIO NI KUCHOKA NA MZUNGUKO UMEBADIRKA
9; UTAPIGWA TAREHE KAMA UKO MAHAKAMANI (hapo penzi la nje linakuwa limeiva sana kumludisha nitabu
10;UTANYIMWA KABISA UTAPEWA ATAKAPOJISIKIA MWENYEWE
IFAAMIKE KUWA UKISHAANZISHA MAUSIANO NJE NISAWA NA KULA NYAMA YA MTU UWEZI KUACHA KABISA UTACHEPUKA MPAKA
KUNA FAIDA NA HASARA
P
PANAPO MAJARIWA NITAWALETEE HATUA KUMIZA ZA MWANAUME KUCHEPUKA.
MICHEPUKO SIYO DILI BAKI NJIA KUU
Maoni