Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya JESHI

Kim Jong-Un Snapped With Nukes

 Kiongozi wa Korea Kaskazini anaonekana kwenye picha, iliyotolewa na Shirika la Habari la Korea, akikagua vichwa vya vita pamoja na Hong Sung-mu, afisa mkuu wa chama ambaye anaonekana kuwa na uhusiano wa karibu na mpango wa nyuklia wa Korea Kaskazini.  "Taasisi ya Silaha za Nyuklia ya DPRK iliripoti kwa Kim Jong-un juu ya kazi ya miaka ya hivi karibuni na uzalishaji wa kuimarisha nguvu ya nyuklia ya DPRK kwa ubora na wingi," ilisema KCNA katika taarifa iliyoambatana na vyombo vya habari.  Shirika hilo la habari pia lilitoa ripoti za majaribio zaidi ya makombora yenye uwezo wa nyuklia, ikiwa ni pamoja na "mfumo wa silaha za kimkakati" wa chini ya maji, ulioripotiwa hivi karibuni kama silaha ya "tsunami ya mionzi"

RUSSIA NA CHINA ZAFANYA DORIA YA PAMOJA MAREKANI YALIA

Doria ya pamoja ya Urusi - China yazua tumbo joto Japan na Korea Kusini Korea Kusini ilisema kuwa ndege ya kijeshi ya Urusi aina ya A-50 ilikiuka anga yake mara mbili Urusi inasema kuwa imetekeleza doria yake ya kwanza ya pamoja na China , hatua iliyozifanya Korea Kusini na Japan kutuma ndege za kivita angani. Waziri wa ulinzi nchini Urusi amesema kuwa ndege nne aina ya bombers zikisaidiana na zile za kivita zilipiga doria katika njia ambayo hazikupangiwa kupitia katika maji ya Japan na bahari iliopo mashariki mwa China. Korea Kusini inasema kuwa ndege zake zilirusha makombora ya kutoa onyo wakati ndege za kijeshi za Urusi zilipoingia katika anga yake. Japan imelalamika kwa Urusi na Korea Kusini kwa tukio hilo. Kisa hicho kilitokea juu ya visiwa vinavyozozaniwa vya Dokdo/Takeshima ambavyo vinamilikiwa na Korea Kusini lakini Japan pia inadai kuwa vyake. Korea Kusini inasema kuwa ndege za kijeshi za Urusi na China ziliingia katika anga yake ilio na ulinzi mkali ya KADIZ ...

Kiongozi wa mapinduzi ya Sudan Awad Ibn Auf kwanini amejiuzulu

Bwana Ibn Auf ameondoka madarakani siku moja baada ya kuwa mkuu wa baraza la jesi Mkuu wa baraza la Jeshi la Sudani amejiuzulu siku moja baaba ya kuongoza mapinduzi yaliyomuondoa madarakani rais wa muda mrefu wa nchi hiyo Omar al-Bashir yaliyosababishwa na wimbi la maandamano makubwa ya kupinga utawala wake. Waziri wa ulinz Awad Ibn Auf alitangaza uamuzi huo kwenye TV, na kumtaja mrithi wake Luteni Jenerali Abdel Fattah Abdelrahman Burhan. jeshi limesema kuwa litaendelea kuwa madarakani kw amiaka miwili na baadae utafanyika uchaguzi. Lakini viongozi wa maandamano wanasema hawataondoka mitaani hadi jeshi litakapokabidhi mamlaka kwa serikali ya kiraia. Kuanguka kwa Bwana Bashir kulifuatia maandamano na vurugu zilizoanza mwezi Disemba mwaka jana ambapo waandamanaji walilalamikia kupanda kwa bei za bidhaa muhimu. Bwana Ibn Auf alikuw amkuu wa ujasusi katika jeshi wakati wa mzozo wa jimbo la Darfur ulioibuka mwaka 2000. Marekani ilimuwekea vikwazo mwaka 2007. James Copnal...

Mzozo Sudan: Baraza la kijeshi lawakamata waliokuwa maafisa wa serikali

Raia Khartoum wameapa kuendelea na maandamano mpaka itakapoundwa serikali ya kiraia Baraza la mpito la kijeshi nchini Sudan limewakamata waliokuwa maafisa wa serikali na kuahidi kutowatawanya waandamanaji. Msemaji mmoja pia ameuomba upinzani kumchagua waziri mkuu mpya na kuahidi kumuidhinisha watakayemchagua. Maandamano ya miezi kadhaa nchni Sudan yamechangia kutimuliwa kwa kiongozi wa muda mrefu nchini Sudan Omar al-Bashir Alhamisi wiki iliyopita Waandamanaji wameapa kusalia mitaani mpaka itakapoundwa serikali ya kiraia Raia wanaendelea kuandamana na wamekita kambi nje ya makao makuu ya wizara ya ulinzi katika mji mkuu Khartoum. Je baraza la kijeshi limesema nini ? Katika mkutano na waandishi habari siku ya Jumapili, msemaji Meja Jenerali Shams Ad-din Shanto ameeleza kwamba baraza la kijeshi lipo "tayari kuidhinisha" serikali yoyote ya kiraia itakayoidhinishwa na vyama vya upinzani. "Hatutomteua waziri mkuu. Watamchagua," alisema akimaanisha upinzani...

Kiongozi wa mapinduzi ya Sudan Awad Ibn Auf kwanini amejiuzulu

Bwana Ibn Auf ameondoka madarakani siku moja baada ya kuwa mkuu wa baraza la jesi Mkuu wa baraza la Jeshi la Sudani amejiuzulu siku moja baaba ya kuongoza mapinduzi yaliyomuondoa madarakani rais wa muda mrefu wa nchi hiyo Omar al-Bashir yaliyosababishwa na wimbi la maandamano makubwa ya kupinga utawala wake. Waziri wa ulinz Awad Ibn Auf alitangaza uamuzi huo kwenye TV, na kumtaja mrithi wake Luteni Jenerali Abdel Fattah Abdelrahman Burhan. jeshi limesema kuwa litaendelea kuwa madarakani kw amiaka miwili na baadae utafanyika uchaguzi. Lakini viongozi wa maandamano wanasema hawataondoka mitaani hadi jeshi litakapokabidhi mamlaka kwa serikali ya kiraia. Kuanguka kwa Bwana Bashir kulifuatia maandamano na vurugu zilizoanza mwezi Disemba mwaka jana ambapo waandamanaji walilalamikia kupanda kwa bei za bidhaa muhimu. Bwana Ibn Auf alikuw amkuu wa ujasusi katika jeshi wakati wa mzozo wa jimbo la Darfur ulioibuka mwaka 2000. Marekani ilimuwekea vikwazo mwaka 2007. James Copnal...

Urusi yateka meli za kivita za Ukraine, Rais Petro Poroshenko ataka sheria za kijeshi, UN kukutana

Jeshi la wanamaji la Ukraine linaituhumu Urusi kwa kushambulia na kuharibu moja ya meli zake za kivita Urusi imezishambulia na kuziteka meli tatu za kivita za Ukraine zilizokuwa baharini katika rasi ya Crimea katika kisa ambacho kimezidisha uhasama baina ya mataifa hayo mawili. Meli mbili ndogo za kivita, pamoja na meli moja ya kusindikiza meli ndizo zilizotekwa na wanajeshi wa Urusi. Wahudumu kadha wa meli za Ukraine wamejeruhiwa. ADVERTISEMENT Kila taifa linamlaumu mwenzake kwa kusababisha kisa hicho. Leo Jumatatu, wabunge wa Ukraine wanatarajiwa kupiga kura kuidhinisha kuanza kutekelezwa kwa sheria za kijeshi. Mzozo wa sasa ulianza pale Urusi ilipoituhumu Ukraine kwa kuingiza meli katika maeneo yake ya bahari kinyume cha sheria. Urusi kisha iliweka meli kubwa ya kusafirisha mizigo na kuziba daraja la kuingia kwenye mlango wa bahari wa Kerch, njia pekee ya kuingia kwenye Bahari ya Azov na ambayo hutumiwa na mataifa yote mawili. Meli iliyoziba njia ya kuingia kwenye Ba...

Serikali Uganda yaondoa mashtaka ya uhaini dhidi ya Bobi Wine

Wine alifikishwa katika mahakama ya jeshi mjini Gulu ambapo maamuzi hayo yalitolewa baada ya serikali kumshtaki kwa kumiliki bunduki kinyume cha sheria - Kuachiliwa huru kwake kwa muda kuliwadia baada ya shinikizo tele kutoka kwa raia na hali tete kuendelea kushuhudiwa nchini Uganda - Wine alikamatwa tena mara baada ya kuachiliwa huru na kuwasilishwa katika mahakama ya raia na sasa ataendelea kuiziliwa hadi Agosti 30, 2028 Serikali nchini Uganda imeondoa mashtaka ya uhaini dhidi ya Mbunge wa Kyadondo Mashariki Robert Kyagulanyi, almaarufu Bobi Wine, kufuatia hali tete na ghasia zilizoshuhudiwa nchini humo kutoka kwa raia waliotaka aachiliwe huru. Wine, ambaye amekuwa kizuizini kwa muda wa wiki moja sasa, alipewa uhuru huo wa muda katika mahakama ya jeshi mjini Gulu, Alhamisi, Agosti 23, na kukamatwa tena. Maandamano yamekuwa yakishuhudiwa maeneo mbalimbali nchini Uganda na pia Kenya yakilenga kuishinikiza serikali ya Uganda kumwachilia huru Bobi Wine. Picha: NTV...