Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba 10, 2017

Al-Shabab washambulia mji wa El Wak karibu na mpaka wa Kenya

MTEULE THE BEST Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption Wapiganaji wa al-Shabab nchini Somalia Kundi la wapiganaji wa Somalia, al Shabaab, limeshambulia mji wa El Wak, karibu na mpaka wa Kenya. Wapiganaji hao waliingia mjini humo, bila kupata pingamizi yoyote, na kuharibu makao makuu ya serikali ya eneo hilo pamoja na kituo cha polisi. Hapo awali, wanajeshi wa serikali ya Somalia, walikimbilia Kenya. Somalia yaonya mpango wa Alshabab kusambaza uranium Iran Marekani yaondoa zawadi ya $5m kwa aliyekuwa kiongozi wa Alshabab Watu 15 wauawa kwa bomu Somalia Wakuu wa El Wak wanasema al-Shabaab waliwaonya mapema, wakaazi wa El Wak, wasishirikiane na jeshi la Somalia na kikosi cha kuweka amani cha Umoja wa Afrika, (AMISOM). Waliiba msaada wa vyakula, na kuondoka El Wak baada ya saa chache.

Balozi aomba kumpeleka Rais Magufuli Marekani

MTEULE THE BEST Image caption Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania Kaimu balozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt Inmi Patterson amesema kuwa angependa kumpeleka rais John Pombe Magufuli nchini Marekani kwa ziara ya wiki tano. Kulingana na gazeti la The Citizen nchini Tanzania, alitoa matamshi hayo mjini Dar es Salaam hivi majuzi wakati wa sherehe fupi ya kumkaribisha afisa wa maswala ya umma katika ubalozi huo Bi Bribille Ellis. ''Mwalimu Nyerere alitembelea Marekani miaka 1960 kwa ziara ya wiki tano. Wiki tano ni wakati mrefu na aliweza kutembelea miji kadhaa...Ningependa kumpeleka rais Magufuli kwa ziara ya wiki tano nchini Marekani'', alisema na kuvutia kicheko kutoka kwa umma uliokuwepo. Gazeti hilo lilimnukuu bi Patterson akisema kuwa katika uzoefu wa uongozi na programu za kubadilishana kama zile zilizotekelezwa na Mwalimu Nyerere 1960 zimefuatiliwa kwa sababu zilikuwa muhimu katika kuimarisha uhusiano kati ya Marekani na Tanzania. Akimnukuu mtangazaji...

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 16.09.2017

MTEULE THE BEST Sambaza habari hii Twitter   Mshirikishe mwenzako Image caption Inter Milan inatumai itafanikiwa kumsajili kiungo wa kati wa PSG Adrien Rabiot anayesakwa na Arsenal pamoja na Tottenham Hotspurs Inter Milan inatumai itafanikiwa kumsajili kiungo wa kati wa PSG Adrien Rabiot anayesakwa na Arsenal pamoja na Tottenham Hotspurs. (Calciomercato, via Talksport) Rais wa Barcelona Josep Bartomeu anasema kuwa Lionel Messi tayari ameanza kucheza chini ya masharti ya kandarasi yake mpya na klabu hiyo hata iwapo mchezaji huyo ,30, Hajatia saini kandarasi hiyo mpya. (8TV, via Sun) Image caption Dele Alli, 21, Mkufunzi wa klabu ya Tottenham Mauricio Pochettino anasema kuwa kiungo wa kati Dele Alli, 21, anahitaji kuangalia mchezo wake wakati huu ambapo klabu sita kubwa za soka zinajaribu kutaka kumsajili. (Telegraph) Beki wa Tottenham Toby Alderweireld, 28, anasema kuwa analenga kuishindia mataji klabu yake ya Spurs huku babake mchezaji huyo wa Ubelgiji na aj...

Kim Jong-un: Jeshi letu lazima liwe sawa na la Marekani

MTEULE THE BEST Haki miliki ya picha REUTERS Image caption Rais Kim Jong un wa Korea kaskazini ameapa kwamba atahakikisha kuwa jeshi la taifa hilo lina uwezo sawa na ule wa Marekani Korea Kaskazini imetangaza kuwa lengo lake kuu kijeshi kwa sasa ni kuhakikisha inakuwa na uwezo sawa na Marekani. Shirika la habari la Korea Kaskazini lilitoa taarifa hiyo baada ya kombora la majaribio la mwisho kufanywa, ikisema kuwa kiongozi wa taifa hilo, Kim Jong-Un, amesema kuwa hataki kusikia Marekani ikisema itakabiliana na Korea Kaskazini kijeshi. KIongozi wa taifa hilo Kim Jong un ameapa kuhakikisha kuwa taifa hilo linaafikia mpango wake wa kinyuklia kulingana na vyombo vya habari vya taifa hilo. Korea Kaskazini: Marekani iliwapora wanadiplomasia wetu Mzozo wa Korea Kaskazini na Marekani kwa muhtasari Marekani yatishia kuiadhibu Korea Kaskazini Korea Kaskazini yaonywa na Marekani Lengo lake ni kuhakikisha jeshi la tifa hilo lina uwezo sawa na lile la Marekani kulingana na chom,bo cha...

Umoja wa Mataifa unatafuta wanajeshi zaidi wa amani kwa Jamhuri ya Kati ya Afrika

MTEULE THE BEST Ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati unaomba kuhusu askari 750 zaidi ya kusaidia kujaza "utupu wa usalama" uliosababishwa na uondoaji wa vikosi maalum vya U.S. kama vurugu inavyoongezeka tena, kulingana na cable ya siri iliyopatikana na The Associated Press. Majeshi ya ziada yanahitajika kusini mashariki baada ya kuondolewa mwaka huu wa Umoja wa Mataifa na askari wa Uganda wakiwinda waasi wa Bwana Resistance Army, kwa mujibu wa ujumbe kutoka kwa kichwa cha utumishi Parfait Onanga-Anyanga kwa mkuu wa U.N. wa shughuli za kulinda amani huko New York. Mamia ya watu wameuawa tangu Mei na zaidi ya nusu milioni watu wamekuwa wakiondoka makazi yao kwa kiasi kikubwa unyanyasaji wa kikabila unaingia katika sehemu za Jamhuri ya Afrika ya Kati ambazo zimezuia mapigano mabaya yaliyoanza mwaka 2013. Waangalizi wa kimataifa wanaonya kwamba nchi inakaribia viwango vya vurugu vinavyoonekana wakati wa mgogoro wa mwaka 2014. Katib...

Kiwango cha hatari chapandishwa baada ya shambulio London

MTEULE THE BEST Uingereza  imepandisha kiwango cha  kitisho cha mashambulizi ya  kigaidi, ikiwa  na  maana  kwamba shambulio jingine  linaweza kutokea wakati wowote. Kundi linalojiita  "Dola la  Kiislamu" limesema  linahusika  na shambulio  hilo ambalo watu 29 wamejeruhiwa  katika  kituo cha treni kilichokuwa na watu wengi cha chini  ya  ardhi mjini London. Polisi ya Uingereza imeanza kazi ya kumtafuta mtu aliyehusika na shambulio hilo jana kufuatia shambulio  la kigaidi katika kituo  cha  treni  mjini  London. Kitu  ambacho kilifichwa  ndani  ya ndoo  ya  plastiki pamoja  na  mfuko wa kununulia  vitu unaotumika  kwa kuwekwa  katika friji uliripuka ndani ya behewa  la  treni lililojaa  watu , na kuwajeruhi 29, wengi  wao  kwa  kuungua. Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May "Bila ...

Tanzania yashangazwa na uchunguzi wa UN kuhusu Korea Kaskazini

MTEULE THE BEST Image caption Dkt Augustine Mahiga, Waziri wa Mambo ya Nje, Tanzania Tanzania imesema imeshtushwa baada ya kuorodheshwa miongoni mwa nchi ambazo zimechunguzwa na Umoja wa Mataifa na kuhusishwa kuwa na uhusiano wa kibiashara na Korea Kaskazini. Akizungumza katika mkutano wa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, waziri wa mambo ya nje Dkt. Augustine Mahiga, amesema licha ya uhusiano uliokuwepo awali, lakini tangu mnamo mwaka 2014, Tanzania imepunguza kabisa uhusiano wa kibiashara na kidiplomasia na nchi hiyo. "Hatuna ugomvi na Korea Kaskazini,lakini kitendo chao cha kutengeneza masilaha ya kuangamiza sio mazuri kwa heshima na usalama duniani.Ndiyo maana tukaanza kuchukua hizo hatua za kupunguza mahusiano." amesema Dr Mahiga kwa waandishi wa habari leo. Waziri Mahiga ameongeza kusema kuwa, uhusiano huo wa kibiashara ulikuwepo kabla ya vikwazo vilivyowekwa hivi karibuni na Baraza la Umoja wa Mataifa. Korea Kaskazini yawekewa vikwazo vipya Korea K...

Rais Temer wa Brazil akabiliwa na mashtaka zaidi ya uhalifu

MTEULE THE BEST Haki miliki ya picha AFP Image caption Mwendesha mashtaka wa kesi za ufisadi nchini Brazil amemfungulia mashtaka rais Michel Temer kwa kosa la kuzuia sheria kuchukuwa mkondo wake na kuhusika katika mtandao wa rushwa. Mwendesha mashtaka wa kesi za ufisadi nchini Brazil amemfungulia mashtaka rais Michel Temer kwa kosa la kuzuia sheria kuchukuwa mkondo wake na kuhusika katika mtandao wa rushwa. Hatua hiyo ni ya pili katika kesi ya jinai inayomkabili rais huyo ambaye amekanusha madai hayo. Wanamtuhumu bwana Temor kwa kuchukua hongo na kujaribu kuwanyamazisha mashahidi. Bwana Temer amepinga madai ya kufanya makosa yoyote. Mashtaka ya awali ya ufisadi yalizuiwa na bunge la uwakilishi ambalo lina uwezo wa kuamua iwapo rais anafaa kufunguliwa mashtaka au la. Katika shtaka la pili rais Temer ameshtakiwa pamoja na washirika wake sita wa kisiasa. Kiongozi wa mashtaka Rodrigo Janot alisema katika taarifa kwamba bwana Temer alihudumu kama kiongozi wa genge la wahali...