Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya UGANDA

Wanafunzi wa Uganda waandamana kufuatia vitisho vya Marekani kuhusu sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja

      Wanafunzi wa Uganda waandamana kufuatia vitisho vya Marekani kuhusu sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja Kampala imetishiwa kuwekewa vikwazo na mataifa ya Magharibi kutokana na sheria yake mpya dhidi ya LGBTQ Wanafunzi wa Uganda kutoka vyuo vikuu 13 walikusanyika mbele ya bunge la nchi hiyo siku ya Jumatano kuelezea kutoridhishwa kwao na msimamo wa Rais wa Marekani Joe Biden kuhusu sheria mpya ya Kampala dhidi ya LGBTQ, vyombo vya habari vya ndani viliripoti. Biden aliitaja sheria hiyo "ukiukaji wa kutisha wa haki za binadamu kwa wote" na akataka kufutwa kwake, akiongeza kuwa Washington itazingatia nyanja zote za ushirikiano wake na nchi kwa kuzingatia hatua hiyo. Sheria ya Kupinga Ushoga ya mwaka 2023 inaamuru kifungo cha maisha jela kwa yeyote atakayepatikana na hatia ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja. Pia inatoa adhabu ya kifo kwa "kesi zilizokithiri," ambazo ni pamoja na matukio ya ubakaji wa kisheria unaohusisha mtoto mdogo. SOMA ZAIDI: Umoja wa ...

Uganda ‘Imeridhika Sana’ na Uhusiano wa Ulinzi wa Urusi — Rais wa Uganda

Uganda inathamini uhusiano wake wa kijeshi na Urusi, rais wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki, Yoweri Museveni, aliambia chombo cha habari cha Urusi TASS katika mahojiano yaliyochapishwa Jumamosi.  Pia aliipongeza Umoja wa Kisovieti kwa kusaidia mapambano ya Afrika dhidi ya ukoloni.  Museveni aliangazia ushirikiano wa Uganda na Urusi katika sekta ya ulinzi, akibainisha kuwa nchi hiyo inanunua silaha na teknolojia mbalimbali kutoka Moscow.  "Leo, tumeridhika sana na ushirikiano wetu na Shirikisho la Urusi.  Tunashirikiana katika nyanja ya ulinzi, na tunanunua silaha na teknolojia za ubora wa juu kutoka Urusi,” kiongozi huyo wa Uganda alisema.

Mvulana wa miaka 9 amuoa msichana wa miaka 6 baada ya kuchumbiana kwa miaka mitano Uganda

Wakaazi wa kijiji cha Nakapyata, wilayani Buyende nchini Uganda wamefanya sherehe ambapo watoto wawili walio kati ya umri wa miaka tisa na sita waliozwa katika utamaduni wa kushangaza. Kulingana na mtandao wa gazeti la  Daily Monito r nchini Uganda Uganda, mvulana huyo ambaye yuko katika darasa la nne katika shule ya msingi ya Buyende na msichana ambao wote waliripotiwa kuzaliwa na meno mawili waliozwa siku ya Jumatatu na kupatiwa nyumba ya kitamaduni kuishi. Chini ya sheria za Uganda , ni makosa kwa watu walio chini ya umri wa miaka 18 kufunga ndoa ama hata kushiriki katika tendo la ngono. Inadaiwa kuwa watoto hao wawili walianza kuchumbiana wakati mvuana alipokua na miaka mitatu na msichana akiwa na umri wa miezi mitatu pekee. Hatua hiyo baadaye iliimarisha uhusiano kati ya familia zote mbili , huku Delifazi Mulame babake mvulana akimuita msichana huyo kama 'mke wa mwanangu'. ''Mwanangu alizaliwa na meno mawili na mkewe akazaliwa na meno mawili. Kuzaliwa kwak...

Mvulana wa miaka 9 amuoa msichana wa miaka 6 baada ya kuchumbiana kwa miaka mitano Uganda

Wakaazi wa kijiji cha Nakapyata, wilayani Buyende nchini Uganda wamefanya sherehe ambapo watoto wawili walio kati ya umri wa miaka tisa na sita waliozwa katika utamaduni wa kushangaza. Kulingana na mtandao wa gazeti la  Daily Monito r nchini Uganda Uganda, mvulana huyo ambaye yuko katika darasa la nne katika shule ya msingi ya Buyende na msichana ambao wote waliripotiwa kuzaliwa na meno mawili waliozwa siku ya Jumatatu na kupatiwa nyumba ya kitamaduni kuishi. Chini ya sheria za Uganda , ni makosa kwa watu walio chini ya umri wa miaka 18 kufunga ndoa ama hata kushiriki katika tendo la ngono. Inadaiwa kuwa watoto hao wawili walianza kuchumbiana wakati mvuana alipokua na miaka mitatu na msichana akiwa na umri wa miezi mitatu pekee. Hatua hiyo baadaye iliimarisha uhusiano kati ya familia zote mbili , huku Delifazi Mulame babake mvulana akimuita msichana huyo kama 'mke wa mwanangu'. ''Mwanangu alizaliwa na meno mawili na mkewe akazaliwa na meno mawili. Kuzaliwa kwak...

Mapendekezo ya sheria yatishia kazi za wasanii Uganda

Wakosoaji wa mapendekezo ya sheria mpya wanasema inalenga kuwazuwia wanamuziki kama Bobi Wine (pichani) kutoa maoni hasi juu ya maafisa Serikali ya Uganda inapendekeza sheria inayoweka masharti kwa wanamuziki wanaotoa nyimbo mpya kuziwasilisha zichunguzwe kabla ya kutolewa. Wakosoaji wa sheria hiyo wanasema inalenga kuwazuwia watu kutoa maoni hasi juu ya maafisa ambao wanakerwa na umaarufu wa mwanamuziki nyota wa muziki wa Pop Bobi Wine. Muimbaji huyo mwenye umri wa miaka 36- ambaye aligeuka na kuwa mpinzani wa kisiasa , ambaye jina lake halisi ni Robert Kyagulanyi, amepata ufuasi mkubwa miongoni mwa vijana kwa kuikosoa serikali kupitia nyimbo zake. Taarifa ya mapendekezo ya sheria ya kuweka masharti kwa wanamuziki nchini Uganda imepokelewa kwa hisia tofauti kwenye mitandao ya kijamii huku baadhi wakionyesha kutokubaliana na mapendekezo hayo. Ruka ujumbe wa Twitter wa @AfricaFactsZone Africa Facts Zone@AfricaFactsZone Uganda's Government has made new outrageous and ...

Serengeti Boys” itashiriki kwenye mashindano maalumu ya CAF na UEFA

Shirikisho la Soka Tanzania TFF limetangaza kuwa Timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania U17 “Serengeti Boys” itashiriki kwenye mashindano maalumu ya maandalizi ya Afcon U17 yatakayofanyika Antalya nchini Uturuki mapema mwakani. Kikosi cha Serengeti Boys Kwa mujibu wa taarifa ya TFF kupitia tovuti yake, mashindano hayo yameandaliwa na Shirikisho la Soka barani  Afrika CAF kwa ushirikiano na Shirikisho la Soka barani Ulaya UEFA, ambapo yanatarajia kuanza Februari 22,2019 mpaka Machi 2,2019 na kushirikisha jumla ya timu 12 kutoka Afrika na Ulaya. Mbali na Serengeti Boys, nchi nyingine za Afrika zitakazoshiriki katika mashindano hayo ni pamoja na Angola, Morocco, Cameroon, Uganda, Nigeria, Senegal na Guinea ambazo zitaungana na timu nne kutoka bara la Ulaya. Serengeti Boys imewasili nchini jana Desemba 17 ikitokea nchini Botswana ambako ilialikwa kushiriki mashindano ya mataifa ya kusini mwa Afrika kwa vijana chini ya miaka 17, ambako imefanikiwa kurudi na ubingwa w...

Museveni: siwezikuachia kiti cha urasi

Museveni aweka wazi mipango ya kutoachia madaraka Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amewaambia wazi wapinzani wake kuwa hana mpango wa kuachia madaraka hivi karibuni, hivyo waachane na mawazo yao ya kuwaza kiti hicho. Rais Museveni ameyasema hayo kwenye mkutano wa ndani wa chama ambao uliwakusanya pamoja viongozi wa vyama vilivyopo Bungeni, mkutano uliofanyika Jijini Kampala. Museveni amesema amefurahia mazungumzo yaliyokuwa yakiendelea kwenye mkutano huo, ambapo aliwaambia wapinzani wake kwamba hatofikiria kubadilishana madaraka mpaka pale atakaporidhishwa na Ustawi na usalama wa kimkakati wa nchi za Afrika. “Nasikia watu kama Mao wanazungumzia kuachia madaraka, ni kwa namna gani watakaa kwenye umati na kumuona Museveni akikabidhi madaraka. Hicho ndicho kitu muhimu kwake. Sidhani kama ni sahihi kwa yeye kusema hivyo, badala ya kuzungumzia hatma ya Afrika, mnaongelea vitu visivyo na maana, uchaguzi, nani atakuwa nani. Na ndio kwa sababu nilisema kama bado nina ...

Prof: JOYCE NDALICHAKO AMESEMA AFRICA ITAENDELEZWA NA WAAFRICA WENYEWE

mteulethebest Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amesema wajibu wa kuiendeleza Afrika uko mikononi mwa Waafrika wenyewe huku jukumu la wadau wengine wa Maendeleo ni  kusaidia kukua kwa Maendeleo hayo. Waziri Ndalichako ametoa kauli hiyo Leo katika Mahafali ya Programu za ESAMI yaliyofanyika katika Makao Makuu ya ESAMI jijini Arusha ambapo amesisitiza kuwa  Waafrika wanapaswa kujisimamia wenyewe katika nyanja za Kijamii na Kiuchumi  kwa lengo la kutimiza malengo ya bara hilo. “ Ili Afrika iweze kuendelea lazima ijisimamie yenyewe katika masuala ya kijamii na kiuchumi na hii itawezekana tu kupitia   vijana ambao wameandaliwa  vyema na wakawa tayari kuhakikisha wanaliendeleza bara la Afrika kwa ujasiri bila kuhofia changamoto watakazokutana nazo,” alisisitiza Waziri Ndalichako Kiongozi huyo amesema bara la Afrika linahitaji Viongozi wenye ujasiri, ambao wapo tayari kuhakikisha Afrika inakwenda mbele kiuchumi na Kija...

Serikali Uganda yaondoa mashtaka ya uhaini dhidi ya Bobi Wine

Wine alifikishwa katika mahakama ya jeshi mjini Gulu ambapo maamuzi hayo yalitolewa baada ya serikali kumshtaki kwa kumiliki bunduki kinyume cha sheria - Kuachiliwa huru kwake kwa muda kuliwadia baada ya shinikizo tele kutoka kwa raia na hali tete kuendelea kushuhudiwa nchini Uganda - Wine alikamatwa tena mara baada ya kuachiliwa huru na kuwasilishwa katika mahakama ya raia na sasa ataendelea kuiziliwa hadi Agosti 30, 2028 Serikali nchini Uganda imeondoa mashtaka ya uhaini dhidi ya Mbunge wa Kyadondo Mashariki Robert Kyagulanyi, almaarufu Bobi Wine, kufuatia hali tete na ghasia zilizoshuhudiwa nchini humo kutoka kwa raia waliotaka aachiliwe huru. Wine, ambaye amekuwa kizuizini kwa muda wa wiki moja sasa, alipewa uhuru huo wa muda katika mahakama ya jeshi mjini Gulu, Alhamisi, Agosti 23, na kukamatwa tena. Maandamano yamekuwa yakishuhudiwa maeneo mbalimbali nchini Uganda na pia Kenya yakilenga kuishinikiza serikali ya Uganda kumwachilia huru Bobi Wine. Picha: NTV...

Rwanda hatarini kuadhibiwa na Marekani juu ya nguo za mitumba

Sera ya rais wa Marekani Donald Trump ya "Amerika Kwanza" kuhusu biashara ya kimataifa imeiathiri Rwanda, kwa kuanzisha ushuru wa nguo zinazotoka katika taifa hilo dogo la Afrika Mashariki . Ushuru huo unahusiana na suala zima la mitumba kutoka Marekani ambapo Rwanda imekataa kupokea nguo kuu kuu kutoka Marekani. Mzozo huu ulianza lini? Mnamo mwezi Machi 2018, Marekani iliipatia Rwanda muda wa siku 60 iwe imebadilisha msimamo huo, la sivyo itaondolewa uwezo iliyopewa wa nguo zake kwa Marekani bila ushuru - hadhi inayoipata chini ya makubaliano ya kibiashara baina ya Marekani na Afrika (Agoa). Agoa ni mpngo wa Marekani wa kibiashara wenye lengo la kuinua biashara na uwekezaji kwa mataifa yaliyotimiza vigezo vya kuondolewa ushuru wa bidhaa 6,500 zinazouzwa Marekani. "Nia ya rais inaonyesha azma yake ya kuhakikisha anatekeleza sheria zetu na kuhakikisha kunakua na usawa katika mahusiano yetu ya biashara ," alisema Naibu muwakilishi wa wafanya biashara ...

Hatari tano kwa biashara Afrika Mashariki 2018

Kenya inarudi katika hali ya utulivu kisiasa baada ya uchaguzi wa rais uliochukua muda mrefu na uliokumbwa na misukosuko. Hata hivyo changamoto zitaendelea kuwepo mwaka huu kwa mashirika yanayohudumu nchini humo na Afrika Mashariki kwa ujumla. Hayo ni kwa mujibu wa shirika la kitaalamu Control Risks linalochambua hatari na udhibiti wa hatari za kibiashara na uwekezaji. Daniel Heal ambaye ni mshirika mkuu wa shirika hilo katika kanda ya Afrika Mashariki, amesema "mwaka 2018 ni mwaka wenye matumaini kwa Kenya na Afrika Mashariki. Tayari tumeanza kuona imani ya wawekezaji ikirejea taratibu kufuatia udhibiti wa kisasa Kenya na azma katika miradi mipya ya miundo mbinu Kenya na katika kanda hiyo kwa jumla. Tunatarajia hili kuendelea hadi mwisho wa mwaka huu." Hata hivyo Daniel anasema nchini Kenya, hitaji la kulipa awamu ya kwanza ya mkopo wa fedha za Eurobond ambazo zilikuwa dola milioni 774.8, linapaswa kuishawishi serikali kudhibiti ukopaji na matumizi kabla deni kufi...