Tujifunze kuwa wapole wa roho tutuache tamaa ndugu zangu tamaa ni mbaya sana hakuna mafanikio kwenye tamaaa watu wengi tumepoteza uhaminifu tumeendekeza tamaa zisizo na manufaaa kwetu maandiko husema " heri wenye moyo safi maana hao watamuona MUNGU" tujifunnze kulipa wema kwa wema na Ubaya kwa wema tuzivunje sasa roho za tamaa , visasi nk Tumuombe Mungu wetu aliye tuumba atujarie moyo safi atujalie roho ya kusameee kwa Leo naishia hapo panapo majaliwa tutaendelea AMANI YA BWANA IWE NA WEWE HAKIKA WEWE MSOMAJI UMEBARIKIWA YAZINGATIE AMINA