MSAMAHA WA DHAMBI UPO KWA SABABU MUNGU YUPO

Tujifunze kuwa wapole wa roho tutuache tamaa ndugu zangu tamaa ni mbaya sana hakuna mafanikio kwenye tamaaa watu wengi tumepoteza uhaminifu tumeendekeza tamaa zisizo na manufaaa kwetu maandiko husema "heri wenye moyo safi maana hao watamuona MUNGU" tujifunnze kulipa wema kwa wema na
Ubaya kwa wema tuzivunje sasa roho za tamaa,visasi nk
Tumuombe Mungu wetu aliye tuumba atujarie moyo safi atujalie roho ya kusameee kwa Leo naishia hapo panapo majaliwa tutaendelea

AMANI YA BWANA IWE NA WEWE
HAKIKA WEWE MSOMAJI UMEBARIKIWA YAZINGATIE

          AMINA

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

ZIJUWE SHERIA 17 ZA SOKA

MAPENZI: Kuna faida na ni muhimu Mpenzi wako kuwa rafiki yako pia

KUMTUMAINIA MUNGU