UEFA NDOGO usiku waleo
MECHI YA LEO ITAWEZA KURUDISHA MASHABIKI ENDAPO MANCHESTER UNITED ITAWEZA KUWATOA MAJOGOO WA JIJI LIVERPOOL IKIWA MECHI YA MWANZO ILIISHA 2:0 NAINAWEZA KIBARUA CHA VAN GAAL KUWA SAWA KIDOGO MECHI INAANZA SAA 5:05 USIKU KWA MDA WETU AFRIKA MASHARIKI
Maoni