Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya INDIA

Japan kusalia katika miradi ya nishati huko Sakhalin; Mkuu Fumio Kishida

Japan itaendelea kushiriki katika miradi ya nishati huko Sakhalin, kwani ni muhimu kwa usalama wake wa nishati, Waziri Mkuu Fumio Kishida alisema.  "Mahitaji ya gesi asilia iliyoyeyushwa yanakadiriwa kukua katika siku zijazo, kwa hivyo miradi ya Sakhalin ni muhimu kwa usalama wa nishati ya nchi yetu na kwa hivyo tutadumisha sehemu yetu katika hiyo," alisema.  Alisema, Tokyo imepunguza uagizaji wa makaa ya mawe kutoka Urusi kwa 60% na mafuta kwa 90% katika nusu ya pili ya 2022, Kishida aliongeza.  Muungano wa Japani wa SODECO kwa sasa unashiriki katika mradi wa mafuta na gesi wa Sakhalin-1 wenye hisa 30%.  India ONGC (20%) na Rosneft pia wanashiriki katika mradi huo.  Mashirika ya Kijapani pia yanahusika katika mradi wa Sakhalin-2.  Kampuni za Mitsui na Mitsubishi za Japan zinamiliki 12.5% ​​na 10% ya mradi mtawalia.  Mwenye hisa wengi ni Gazprom, ambayo inamiliki 50% pamoja na hisa moja.

Utafiti: Tanzania yaorodheshwa miongoni mwa nchi uchumi utakua kwa kasi zaidi duniani

Rais Magufuli akitembezwa sehemu mbalimbali baada ya kuzindua rasmi kiwanda cha kuzalisha vifaranga na chakula cha kuku cha Silverland kilichopo Ihemi nje kidogo ya mji wa Iringa Mei 3, 2018. Tanzania imeorodheshwa kuwa miongoni mwa mataifa ambayo uchumi wake utakua kwa kasi zaidi kufikia mwaka 2026. Kituo cha Kimataifa cha Maendeleo cha Chuo Kikuu cha Havard cha Marekani kinakadiria kwamba uchumi wa Tanzania utakuwa unakua kwa asilimia 6.15 wakati huo. Tanzania itakuwa ya nne kwa uchumi wake kukua kwa kasi Zaidi kufikia wakati huo. ADVERTISEMENT India ndiyo itakayoongoza kwa uchumi wake kukua kwa kasi ya 7.89 ikifuatwa na Uganda (7.46) na Misri ya tatu (6.63). Makadirio ya ukuaji ya kituo hicho yalifanywa kwa kutumia Mchangamano wa Kiuchumi, kipimo kimoja ambacho huangazia uchangamano wa uzalishaji na uchangamano wa uwezo wa uzalishaji wa bidhaa za kuuzwa nje katika taifa Fulani. Magufuli: Si wanafunzi wote watakaopewa mikopo Tanzania Magufuli: Wapuuzeni wanaodai se...

Mwanamke achomwa hadi kufa kwa 'kukataa' uchumba India

MTEULE THE BEST Maafisa wa polisi katika mji wa kusini mwa India wa Hyderabad wanasema kuwa wamemkamata mwanamume mmoja baada ya mwanamke mmoja kuchomwa hadi kufa wakati wa mgogoro Picha ya mtu aliyavalishwa pete ya uchumba Maafisa wa polisi katika mji wa kusini mwa India wa Hyderabad wanasema kuwa wamemkamata mwanamume mmoja baada ya mwanamke mmoja kuchomwa hadi kufa wakati wa mgogoro. Sandhya Rani, mwenye umri wa miaka 25 alikuwa anaelekea nyumbani wakati aliposhambuliwa siku ya Alhamisi , polisi iliambia BBC. Watu walikimbia kumsaidia bi Rani lakini alifariki akielekea hospitalini. Mshukiwa huyo , Karthika Vanga , 28, ni mfanyikazi mwenzake wa zamani. Alikuwa akifanya kazi katika kampuni moja na bi Rani hadi miezi michache iliopita, polisi liliambia ripota wa BBC Deepthi Bathini. Wakati alipomkaribia siku ya Alhamisi wawili hao walionekana wakijibizana kabla ya mwanamume huyo kuchukua mafiua ya taa, na kumwagia mwilini na kumchoma moto , polisi walidai. Walisema ...

Mwanamke aliyemuua mume wake ili aishi na mpenzi wake India

Swati Reddy (kulia) na mpenzi wake wanadaiwa kumuua mume wake Sudhakar (kushoto) mwezi uliopita Wapenzi wiwili nchini India wamekamatwa kwa kumuua mume wa mwanamke na kisha kujaribu kumfanyia upasuaji wa kubadilisha sura mwanamume mpenzi ili aweze kuchukua mahala pake, Tindi kali ilimwagwa kwenye uso wa mwanamume, mpenzi wa mwanamkea, katika shambulizi lililopangwa, huku wapenzi hao wakipanga kusema kuwa sura yake ilikuwa imebadilika baada ya upasuaji. Lakini ndugu wa bwana wa mwanamke aligundua mpango huo alipofika hospitalini. Auawa kwa kuwa mfugaji wa ng'ombe India Alitoa malalamiko yake kwa polisi ambao walifanya uchunguzi wa vidole na kugundua njama huyo. Mke, Swati Reddy amekamatwa. Polisi waliiambia BBC kuwa watamkamata pia mpenzi wake, Rajesh Ajjakolu mara atakapotibiwa majeraha yake na kuruhusiwa kuondoka hospitalini. Image captionRajesh Ajjakolu alilazwa hospitalini akiwa na majeraha ya uso Bwana Sudhakar Reddy anadaiwa kuuliwa usiku wa tarehe 26...