Mkurugenzi wa idara ya usalama wa jeshi la Urusi(GRU) Luteni Jenerali Igor Segun amwambia waziri mkuu wa Uingereza bi Theresa May kwamba jeshi la Urusi limekwishaingia nchini Libya kwa malengo ya kuimaliza vita inayopiganwa nchini humo takribani miaka saba sasa. Urusi imekwishafungua ngome zake za kijeshi nchini Libya katika miji ya Tobruk na Benghazi na tayari imekwishafunga mfumo wa ulinzi wa anga(S 300) katika miji hiyo.Luteni Jenerali Igor Segun aongeza kwa kusema kwamba ndani ya muda mfupi tu amani nchini Libya itarejea kama Syria kwani popote liingiapo jeshi la Urusi hakuna linaloshindikana na aitaja Syria kama mfano wa maeneo magumu ambayo wamefanikiwa kuyakomboa.