Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei 8, 2016

MOURHNO VS MAN UNITED

Is it happening? Is it finally happening? Reports emanating from the Italian media will have you believe it is. Jose Mourinho is said to be "a matter of hours away"​ from finally taking the managerial reigns at Manchester United, and in the process bringing to an end one of the biggest will he/won't he stories in years. LIVE: Reports in Italy suggest that Mourinho is close to agreeing #mufc dealhttps://t.co/IoLn9ad8Mj — Man United News (@ManUtdMEN) May 12, 2016 Current United boss Louis van Gaal has guided the team to the FA Cup final but after the midweek Premier League defeat at West Ham, the club have now found that their hopes of securing top four status is out of their hands. Manchester City earning a point at Swansea on the final day of the season will condemn United to fifth place in the table at best. And it appears that United have finally made the decision to make the change, with Sky Sports Italy reporting that Mourinho is set to ...

ZITAMBUE AIBU ZA MWANAUME 20

AIBU 20 ZA WANAUME: 1. Japo maisha ni kusaidiana ni aibu na fedheha mwanaume kulishwa na mkewe.🙈 2. Ni aibu na fedheha mwanaume kuhamia kwenye nyumba ya mkeo ukakala ukakoroma na taulo ukafunga..🙈 3. Ni aibu na fedheha kuendesha gari la mkeo wakati wewe hujawahi kumiliki gari alafu unawaka wivu juu yake.🙈 4. Ni aibu na fedheha kuishi na mwanamke ambaye wakwe zako wanajua kuwa anakuzidi uwezo.🙈 5. Ni aibu na fedheha kumuoa mwanamke ambaye anamiliki uchumi wa familia hata watoto anasomesha yeye wewe unajivunia uume mkubwa au urefu wa kimo🙈 6. Ni aibu na fedheha kila likizo unaenda kijijini kwa mkeo na watoto wote kisa yeye anazohela🙈 7. Ni aibu na fedheha kukaa miaka mingi unamlaumu mkeo kuwa hazai wakati wewe huna hata mtoto wa kusingiziwa🙈 8. Ni aibu na fedheha kumrudia mwanamke aliye kuacha yeye mwenyewe kipindi kirefu na akaamua kukurudia yeye mwenyewe tena kwa masharti kutoka kwake.🙈 9. Ni aibu na fedheha kupewa zawadi ya kiwanja na wakw...

BBC

Serikali ya Uingereza imependekeza mabadiliko makubwa katika uongozi wa shirika la utangazaji la BBC. Katibu wa wizara ya utamaduni bwana John Whittingdale, anapendekeza idhaa ya BBC kuongozwa na bodi maalum ambayo itakuwa na wanachama waliochaguliwa na BBC yenyewe wala sio serikali. Mabadiliko hayo hata hivyo yanaipa serikali nguvu zaidi jambo ambalo limetilia shaka uhuru wa BBC katika siku za usoni. Fedha za kufadhili shughuli za idhaa hiyo kongwe zitalindwa na hata kuongezwa maradufu na serikali ya Uingereza. Asilimia kubwa ya fedha zinazofadhili shughuli za BBC zinatokana na kodi inayotozwa kila mmiliki wa runinga nchini Uingereza. Serikali imependekeza kuiongezea BBC takriban pauni milioni 300 kufikia mwaka wa 2020. Ufadhili huo mkubwa unafuatia tathmini ya serikali inayotambua ushawishi mkubwa wa BBC kote duniani. Mapendekezo mengine ni kama ifuatavyo     Ruwaza mpya ya BBC: "kuzingatia maslahi ya umma katika kila jambo, kutopendelea upa...

KINYAMBE

MWIGIZAJI WA COMEDIANS TANZANIA AFARIKI DUNIA 12/5/2016 MOHAMMED ABRAHAM. MAARUFU. KWA JINA LA KINYAMBE AMEFARIKI. DUNIA. USIKU WAKUAMKIA 12/5/2016 HOSPITAL  KINYAMBE ALIYETAMBA KWA MOVIE KAMA: - 1:AKAKAE WAPI  2; NDOA YA KINYAMBE NA MATUMAINI 3:.VITUKO SHOW N.K PIA ALIKUWA. MUIMBAJI PIA  AMEFARIKI HOSPITAL MBEYA ALIPOKUWA AKIFANYIWA MATIBABU. KIFO CHAKE NIPIGO KWA. TANISIA YA VICHEKESHO. TZ  RIPKINYAMBE

LUIS VAN GAAL

​In a season where Manchester United can win the FA Cup and still mathematically finish fourth in the Premier League, many fans still want to see a change of manager in the close season. Here are five major reasons why Louis van Gaal's job is under threat. 1. Wasting Money ​According to ​​The Mirror, Louis van Gaal has spent around £250m on transfer fees since his arrival in the summer of 2014. This is a huge amount, and infinitely more than David Moyes was afforded. This splurge in transfers has yielded few success stories, with Daley Blind and Anthony Martial the only ones to really impress. Angel Di Maria and Radamel Falcao were very expensive mistakes and departed after just one season. 2. Strange Tactics ​Van Gaal's tenure has seen numerous tactical outlooks that have derived derision from the home support. Most head-scratching of all was surely deploying Ashley Young, a winger, in the striker position when Anthony Martial - scorer of 17 goals t...

BUHARI SITAKI KUOMBWA MSAMAHA

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari anasema hataki "kuombwa msamaha na yoyote" baada ya waziri mkuu wa Uingereza David Cameron kuitaja nchi yake kama "taifa lenye ufisadi mkubwa". Akizunhgumza katika hafla ya kupambana ufisadi London, Buhari amesema zaidi angependa kurudishiwa mali yote iliyoibiwa Nigeria inayozuiwa katika mabenki ya Uingereza. Cameron alitoa tamko hilo katika mazungumzo na Malkia Elizabeth. Ameandaa mkutano wa kimataifa wa kupambana na ufisadi Alhamisi. Hotuba ya Buhari katika mkutano huo katika makao ya jumuiya madola London inafuata taarifa iliyotolewa kutoka ofisi yake inayosema kwamba "ameshutushwa naku aibishwa" na kauli ya Cameron. Alipoulizwa iwapo Nigeria ni "taifa lenye ufisadi mkubwa", Buhari alijibu: "ndio". Nigeria imeorodheshwa 136 kati ya nchi 167 katika faharasha ya shirika la Transparency International mwaka 2015. Katika hotuba yake, kiongozi huyo wa Nigeria ametaja ufisadi kama jinamizi li...

LADYY JAY DEE

BREAKING NEWSSSS........  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Hamis Kigwangalla, amemtaka mtangazaji wa Clouds FM, Gardner G Habash kumuomba radhi aliyekuwa mke wake, Lady Jaydee kwa ‘kile alichokiita’ kama udhalilishaji kwake na kwa wanawake wote. Wikiendi iliyoisha imesambaa video mtandaoni ikimuonesha mtangazaji huyo akiongea kwenye tamasha alilokuwa mshereheshaji: My name is Captain Gardiner G Habash all the way from Clouds FM, Jahazi hatari sana. Na sina neno na yule mtoto wa kike. NIMESHAMKOJOZA KWA MIAKA KAMA 15 HIVII.” Video hiyo imesababisha hasira kubwa kwa mashabiki wa Jaydee na watu wengi kwa ujumla. “Ndg. Gardner amefanya udhalilishaji mkubwa si tu Kwa JAY DEE bali ametukana wanawake wote. Mimi #BaloziWaWanawake namtaka aombe radhi,” ameandika mheshimiwa Kigwangalla kwenye Twitter. UKIACHANA NA MTU ACHANA NAYE KWA AMANI.. USIMTUSImteule the best

SALA ZA ASUBUHI

SALA YA ASUBUHI. Kwajina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina. Ee Baba yetu Mungu mkuu, Umenilinda usiku huu. Nakushukuru kwa moyo, Ee Baba, Mwana na Roho. Nilinde tena siku hii, Niache dhambi, nikutii. Naomba sana Baba wee, Baraka zako nipokee. Bikira safi, Ee Maria Nisipotee nisimamie. Mlinzi mkuu malaika wee, Kwa Mungu wetu niombee Nitake nitende mema tu, Na mwisho nije kwako juu. Amina. NIA NJEMA. Kumheshimu Mungu wangu Namtolea roho yangu, Nifanye kazi nipumzike Amri zake tu nishike Wazo, neno, tendo lote Namtolea Mungu pote Roho, mwili chote changu, Pendo na uzima wangu Mungu wangu nitampenda, Wala dhambi sitatenda. Jina lako nasifia, Utakalo hutimia. Kwa utii navumilia Teso na matata pia. Nipe, Bwana, neema zako Niongeze sifa yako. Amina. SALA YA MATOLEO. Ee Yesu, kwa mikono ya Bikira Maria, na kwa maungano na sadaka yako kuu, ninakutolea sala, matendo, masumbuko na furaha zangu zote za leo. E...