KINYAMBE

MWIGIZAJI WA COMEDIANS TANZANIA AFARIKI DUNIA 12/5/2016


MOHAMMED ABRAHAM. MAARUFU. KWA JINA LA KINYAMBE AMEFARIKI. DUNIA. USIKU WAKUAMKIA 12/5/2016 HOSPITAL 


KINYAMBE ALIYETAMBA KWA MOVIE KAMA: -

1:AKAKAE WAPI 

2; NDOA YA KINYAMBE NA MATUMAINI

3:.VITUKO SHOW N.K

PIA ALIKUWA. MUIMBAJI PIA 

AMEFARIKI HOSPITAL MBEYA ALIPOKUWA AKIFANYIWA MATIBABU. KIFO CHAKE NIPIGO KWA. TANISIA YA VICHEKESHO. TZ 

RIPKINYAMBE

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

ZIJUWE SHERIA 17 ZA SOKA

MAPENZI: Kuna faida na ni muhimu Mpenzi wako kuwa rafiki yako pia

KUMTUMAINIA MUNGU