Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti 7, 2016

kampeni zinaendele Hillary Clinton na washirika waeleza juu ya barua pepe

MTEULE THE BEST Surrogates na washirika wa Hillary Clinton wa kampeni za urais walipewa masuala maalum ya kuzungumza siku ya Alhamisi ya kujitetea dhidi ya upinzani msingi wa barua pepe wapya iliyotolewa kutoka umiliki Clinton kama waziri wa nchi. Baadhi ya barua pepe kuongozwa wakosoaji Clinton, ikiwa ni pamoja GOP mpinzani Donald Trump, kwa swali uhusiano kati ya msingi ya familia yake ya hisani na Wizara ya Mambo. Katika ripoti yake ya kila siku "Alhamisi saa Glance" bulletin kwa surrogates na washirika, kampeni Clinton zinazotolewa alipendekeza baadhi ya majibu kwa maswali kuhusu kama barua pepe mpya "kupendekeza kulipa-kwa-kucheza kati ya Mfuko wa Clinton na Hillary Clinton Wizara." "Kwa kudai barua pepe hizi ni nefarious kwa namna fulani tu haina kushikilia up. vigingi katika uchaguzi huu ni kubwa zaidi kuliko hapo kabla, hebu kuacha na masumbuko na kupata nyuma masuala ambayo wapiga kura huduma ya juu, "Kampeni alisema katika pointi yake...

MANCHESTER UNITED: Adnan Januzaj anahisi 'unyonge' KWA JOSE MOURINHO imeshuka nje ya neema Old Trafford.

MTEULE THE BEST English Premier League Katika Mambo Jose Mourinho ina sifa ya kuwa ngumu-nosed linapokuja suala la kushughulika na wachezaji, na miezi yake mapema Manchester United kuwa vigumu wakakadhibisha hiyo. Ureno ina taarifa Bastian Schweinsteiger yeye ni tena anatafutwa na demoting naye kutoka mafunzo katika kikosi cha kwanza, na sasa yeye ana akageuka tahadhari yake kwa moja ya underperformers United, Adnan Januzaj. Kujiunga sasa - Bure Bluetooth msemaji thamani zaidi ya $ 50 Kwa mujibu wa Telegraph, Ubelgiji kimataifa Januzaj utakwenda kwa mkopo Sunderland, sasa kocha na meneja wa zamani wa United, David Moyes, baada ya kuachwa "unyonge" na matibabu yake tangu Mourinho aliwasili katika klabu hiyo mwishoni mwa Mei. Januzaj, 21, alifanya Breakthrough wake mkuu United mwaka 2013 alipofunga ajabu lengo dhidi ya Sunderland. Lakini kazi yake United umesitishwa chini ya Moyes 'mrithi Louis Van Gaal na sasa kuna inaonekana kuwa hakuna njia ya nyu...

Simone Biles, Aly Raisman kumaliza 1-2 katika Rio Olimpiki ya wanawake wote kuzunguka

MTEULE THE BEST Rio de Janeiro - Simone Biles alijikuta katika nadra zaidi ya nafasi - trailing katika gymnastics kukutana. Baada ya mizunguko miwili hapa katika Olimpiki ya wanawake wote kuzunguka, Russia Aliya Mustafina waliomkamata kuongoza ndogo (0.034), hasa kutokana na utendaji imara juu ya tukio yake nzuri, baa kutofautiana. Bado, American mara chache ina kwa nyuma na hii ilikuwa ni hatua kubwa katika yote ya gymnastics. Kama Biles alisimama mbele ya boriti usawa, tukio la tatu, tatu ya wachezaji wake wa Marekani ameketi tu hapo juu katika anasimama ya Rio Olimpiki Uwanja kelele kutia moyo. Biles nodded kichwa chake na tabasamu katika binafsi cheering sehemu yake ya Laurie Hernandez, Madison Kocian na Gabby Douglas. [Slideshow: Gold washindi medali kutoka Siku 6] Simone alitaka kujua yeye alikuwa na haya. Na kisha yeye alivyofanya, retaking risasi juu ya boriti na kisha kuweka mbali juu ya sakafu kuchukua wote kuzunguka dhahabu katika jeshi mtindo na alam...

Ugonjwa wa polio bado tishio nchini Nigeria

MTEULE THE BEST Nigeria imeripoti kesi mbili za ugonjwa wa polio katika jimbo la Borno eneo ambalo kuna idadi kubwa ya wapiganaji wa Boko Haram.Watoto wawili wamepooza kutokana na ugonjwa huo. Shirika la afya duniani limesema ndio kesi za kwanza kwa miaka miwili sasa. Image caption Chanjo ya polio hutolewa kote barani Afrika Kesi hizi zimekwamisha matumaini ya kukomesha Polio kwa mwaka huu. Umoja wa mataifa umekanusha uvumi kuwa  chanjo za polio zina lengo la kusababisha kutozaa kwa wailsamu

Milipuko miwili yauwa na kujeruhi katika mgahawa nchini Thailand

Image caption Mabomu hayo yalikuwa yamefichwa kwenye sufuria na kulipuliwa na simu MTEULE THE BEST Mwanamke mmoja ameuawa na wengine zaidi ya kumi wamejeruhiwa nchini Thailand baada ya mabomu mawili kulipuka katika mgahawa maarufu wa Hua Hin unaopendelewa na Mfalme Bhumibol Adulyaj. Mwanamke aliyeuwawa ni raia kutoka Thailand lakini kwa upande wa majeruhi wanahisiwa kuwa raia wa kigeni. Image caption Mgahawa wa Hua Hin ni maarufu sana nchini Thailand Mkuu wa polisi Samer Yousamran, amesema majeruhi wanatibiwa hospitalini. Kwa mujibu wa Polisi, mabomu hayo yalikuwa yamefichwa kwenye sufuria na kulipuliwa na simu. Hadi sasa haijajulikana ipi haswa nia ya waliohusika kulipua mabomu hayo. Image capti

Mwanasheria nchini Canada asikitishwa na mauaji ya mteja wake

Image caption Alieleza kuwa bwana Driver alikuwa mmoja wa wateja wake, kwa sababu alikuwa anaheshimika MTEULE THE BEST Mwanasheria wa mshukiwa wa ugaidi nchini Canada, ameiambia BBC kuwa ameshtushwa kusikia mteja wake amepigwa risasi wakati wa operasheni ya polisi wa Ontario katika mji wa Strathroy. Leonard Tailleur anayemwakilisha Aaron Driver ambaye ni marehemu, alijulikana kwa kuwahurumia waislam, alipohukumiwa mwezi wa Februari. Bwana Tailleur amesema kumekuwa na pingamizi juu yake ili kumlinda na kujihusisha na wanaharakati wa kiislam sambamba na kuulizwa maswali kedekede. Image caption Polisi wanasema Aaron Driver pichani alikuwa anahusishwa na matukio kadhaa ya kigaidi Alieleza kuwa bwana Driver alikuwa mmoja wa wateja wake, kwa sababu alikuwa anaheshimika. Polisi wamesema wana taarifa sahihi kuhusu wanaotuhumiwa na mabomu ya kujitoa mhanga. Image caption Polisi wenye silaha walionekana katika mji wa Strathroy yalipokuwa makazi ya Driver Familia yake im...

Paul Pogba - Welcome to Manchester United | 1080p HD

MTEULE THE BEST Paul Pogba - Welcome to Manchester United 

Wazambia wamchagua Rais mpya

MTEULE THE BEST Wazambia wanapiga kura katika uchaguzi wa uraisi na bunge katika kile kinachotarajiwa kuwa ushindani mkali kati ya chama tawala cha Patriotic Front na chama kikuu cha upinzani cha United Party for National Development. Wapiga kura wa Zambia wakusubiri kutoa sauti zao Rais wa Zambia Edgar Lungu na mpinzani wake mkuu Hakainde Hichilema wote wamesema wana imani wataibuka washindi katika uchaguzi huo. Vituo vya kupigia kura vimefunguliwa saa kumi na mbili asubuhi huku milolongo mirefu ya watu ikishuhudiwa katika vituo hivyo. Baada ya kukamilika kwa kipindi cha kampeni kilichoghubikwa na vurugu, Lungu na Hichilema waliwatolea wito wapiga kura kujitokeza kwa wingi kupiga kura kila mmoja akiahidi kuuimarisha uchumi wa taifa hilo ambao unasuasua. Wafuasi wa chama tawala PF na wa UPND walikabiliana wakati wa kampeini na kusababisha hata tume ya uchaguzi kusitisha kampeini hizo kwa muda. Upande wa upinzani umekuwa ukisumbuliwa Rais anaemaliza wadhifa wak...

Cristiano Ronaldo ambuliza Lionel Messi kwa pesa WANASOKA 10 WANAOLIPWA MKWANJA MREFU DUNIANI

MTEULE THE BEST Kwa mujibu wa mtatndao wa sokkaa.com, wachezaji wawili bora duniani Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wamewaacha wengine mbali katika kuvuta mkwanja mrefu kwa upande wa wacheza soka. Ronaldo, ambaye hivi karibuni ameisaidia Ureno kushinda kombe la mataifa ya Ulaya 2026, anaongoza chat hiyo akiwa na mshahara wa £288,000 kwa wiki baada ya makato ya kodi (sawa na kitita cha £15 million kwa mwaka) waka Messi akiwa nafasi ya pili kwa kulipwa vizuri anachukua kitita cha £275,000 (sawa na £14.5 million kwa mwaka). Baada ya kukamilika kwa dili lililovinja rekodi ya uhamisho duniani la ada ya paundi milioni 89 (sawa na dola za Marekani milioni 115.98), Paul Pogba ambaye amesaini miaka mitano kuitumikia Manchester United mkataba wake unamfanya alipwe £290,000 kwa wiki. 1. Cristiano Ronaldo  (Real Madrid) Mshahara kwa wiki: £288,000 baada ya makato ya kodi Mshahara kwa mwaka: £15 baada ya makato ya kodi 2. Lionel Messi  (FC Bar...

HENRY, NEVILLE, CARAGHER WATABIRI BINGWA WA EPL, TOP FOUR

MTEULE THE BEST Kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa ligi, wachambuzi wa soka katika kituo cha runinga cha Sky Sports wametoa utabiri wao timu itakayotwaa ubingwa na zile zitakazomaliza katika nafasi nne za juu. Katika utabiri wao, wachambuzi hao ambao ni Thierry Henry, Gary Neville na Jamie Carragher wameiondoa kabisa Leicester katika kinyang’anyiro hicho. Badala yake, wametupia karata yao ya ubingwa kwa vilabu vya jiji la Manchester. Kitu ambacho kimsingi si cha kushangaza, ukizingatia namna walivyofanya usajili wao kuanzia makocha mpaka wachezaji. THIERRY HENRY Man City 2. Man Utd. 3. Chelsea 4. Arsenal “Siku zote matumaini yangu yapo kwa Arsenal. Lakini nadhani ubingwa utachukuliwa na kati ya City au United. Lakini kwasababu natakiwa kutaja timu moja basi naipa City. “Chelsea hawatakuwa na Michuano yoyote ya Ulaya, hivyo itakuwa faida kwao, lakini inaweza kuchukua muda kidogo kuendana na kile anachowafundisha Conte. “Vivyo hivyo kwa Mourinho na Man Utd. ...

Wafahamu vijana 10 wa chini ya miaka 30 walio matajiri zaidi duniani

MTEULE THE BEST Image copyright GETTY IMAGES Tajiri mmiliki wa ardhi ambaye pia amekuwa akisaidia wasiojiweza katika jamii, Mtawala wa Westminister Gerald Cavendish Grosvenor amefariki na kumwachia mwanawe Hugh Grosvenor urithi wa £9bn. Alikuwa na binti watatu, na mwana mmoja pekee wa kiume, Hugh, mwenye umri wa miaka 25. Hugh amerithi "nusu ya London" kwani ardhi nyingi maeneo mengi ya Belgravia na Mayfair, London ilimilikiwa na babake. Yeye hufanya kazi katika kampuni ya Bio-bean, kampuni inayoangazia teknolojia isiyoongeza gesi zinazochangia ongezeko la joto duniani. Kwa mujibu wa orodha ya jarida la Forbes ya mwaka 2016, kuna vijana wengine tisa wa chini ya umri wa miaka 30 ambao utajiri wao ni zaidi ya dola bilioni moja za Marekani. Vijana wengine matajiri ni: 2 & 3:  Alexandra , 20, na  Katharina Andresen , 21 Ndio wachanga zaidi na wanamiliki kampuni ya Ferd. Binti hawa walirithi utajiri hu kutoka kwa baba yao Johan, raia wa Norway mwaka 200...

Madaktari wa Mumbai mashakani kwa kuuza figo

MTEULE THE BEST Image caption Uhaba wa viungo ambavyo binadamu wanaweza kupeana umechochea mauzo ya siri ya viungo kote nchini India Polisi nchini India wamewashtaki madaktari watano makosa yenye uhusiano na biashara ya Figo ya binadamu.Maafisa wa polisi wanasema madaktari hao walihuska katika kisa kimoja ambapo walihusika katika kutoa figo ya binadamu kinyume cha sheria katika Hospitali ya Hiranandani iliyopo magharibi mwa mji wa Mumbai. Polisi walichunguza hospitali baada ya taarifa kuenea kwamba watu maskini, wengi wao kutoka maeneo ya vijijini, wamekua wakilipwa kuuza figo zao. Figo jingine lilitolewa kwa binadamu mwezi Juni katika hospitari maarufu mjini Delhi. Naibu kamishna wa polisi wa Mumbai, Ashok Dudhe, amesema kuwa madaktari walishtakiwa kwasababu "hawakufuata taratibu zilizopo". "siku mbili zilizopita tulipata ripoti kutoka kwa mkurugenzi wa huduma za afya wa Mumbai. Katika ripoti hii kulikua na mashtaka yaliyotolewa dhidi yamadaktari hawa ka...