Yanga, Coastal zapewa saa 48 kujitetea Fifa

MTEULE THE BEST



Shirikisho la soka Tanzania (TFF) limesema klabu za Yanga na Coastal Union zinatakiwa kuwasilisha utetezi wake ndani ya saa 48 zijazo ili zipate fursa ya kushiriku Ligi Kuu na ligi daraja la kwanza msimu ujao.
Yanga na Coastal Union hazikuwasilisha usajili wake kwa njia ya mtandao hadi ulipofungwa Agosti 6.
Katibu mkuu wa TFF, Mwesigwa Selestine alisema timu hizo zina siku mbili kukamilisha utetezi wao utakaosaidia kuzipa fursa ya kuwasilisha usajili wao huku akionya hatari ya timu hizo kuteremshwa daraja


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

ZIJUWE SHERIA 17 ZA SOKA

MAPENZI: Kuna faida na ni muhimu Mpenzi wako kuwa rafiki yako pia

KUMTUMAINIA MUNGU