Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti 14, 2016

KANUMBA: Crazy Love (Full Movie)

MTEULE THE BESTKANUMBA: Crazy Love (Full Movie)  

UNCLE JJ (Kanumba) Full Movie - Bongo Movie

MTEULE THE BEST  UNCLE JJ (Kanumba) Full Movie - Bongo Movie

TEMBELEA TANZANIA UONE MAAJABU YAKE

MTEULE THE BEST  Ndani ya Safari ya Ngorongoro Crater. Jionee video hii hapa  

Hata ungekuwa ni wewe hapa ungezidiwa tu

MTEULE THE BEST  Hata ungekuwa ni wewe hapa ungezidiwa tu. Tazama hadi mwisho uone kilichotoke ni  hatale sana yani nooma sana  

Jah Prayzah Ft. Diamond Platnumz - Watora Mari (Official Video)

MTEULE THE BEST Jah Prayzah Ft. Diamond Platnumz - Watora Mari (Official Video)

MSIMA WA LIGI EPL BAADA YA MECHI

MTEULE THE BEST EPL LEO BAADA YA MECHI YA CHELSEA Premier League   P PTS   1 Manchester United 1 3   2 Liverpool 1 3   3 Chelsea 1 3   3 Hull City 1 3   3 Manchester City 1 3   6 Swansea City 1 3   6 West Bromwich Albion 1 3   8 Everton 1 1   8 Middlesbrough 1 1   8 Southampton 1 1   8 Stoke City 1 1   8 Tottenham Hotspur 1 1   8 Watford 1 1   14 Arsenal 1 0   15 Leicester City 1 0   15 Sunderland 1 0   15 West Ham United 1 0   18 Burnley 1 0   18 Crystal Palace 1 0   20 AFC Bournemouth 1 © 199

Picha za ngono: Afya ya vijana yaathirika

MTEULE THE BEST Image caption Utazamaji wa picha za ngono mitandaoni Daktari mmoja wa tiba ya maungo amesema kuwa vijana wadogo wanahatarisha afya yao ya uzazi kwa kuangalia sana picha za ngono katika mitandao ya kijami. Angela Gregory kutoka hospitali ya chuo kikuu cha Nottingham amesema kuwa idadi kubwa ya vijana walio kati ya umri wa miaka 18 hadi 24 wanatafuta usaidizi kutokana na maswala tata ambayo hayajawahi kuonekana miongoni mwa wagonjwa walio na umri mdogo katika kipindi cha miaka 10. Awali watu wazima ndio waliokuwa wakitembelea vituo vya afya wakikabiliwa na matatizo kama kushindwa kusimamisha uume kutokana na magonjwa kama vile sukari ama yale ya moyo. Lakini utazamaji wa picha za ngono mitandaoni unaharibu mahusiano ya ndoa kwa kuwa vijana wengi wanavutiwa zaidi na picha za ngono katika mitandao badala ya binaadamu.

Dalian Atkinson apigwa risasi na polisi ,Midlands

MTEULE THE BEST Image copyright GETTY IMAGES Image caption Dalian Atkinson mchezaji wa zamani wa ligi kuu ya Uingereza , Dalian Atkinson,amefariki dunia baada ya polisi kumfyatulia risasi kwakutumia bunduki ya kisasa yenye kasi zaidi.Polisi katika mji wa Midlands wamesema kwamba saa za alfajiri mwanzoni mwa wiki hii, wao waliitikia kile walichokiita 'wasiwasi kwa usalama wa mtu binafsi. Wameendelea kuariku kuwa bunduki aina ya Taser ilitumiwa,na mwanamume mwenye umri wa miaka arobaini na nane, na kumtambua kama Atkinson, ambaye alifariki dunia wakatia akipatiwa matibabu. Dalian Atkinson,amewahi kucheza katika vilabu kadhaa vikubwa vya mpira wa miguu kati ya miaka ya 1980 hadi miaka ya tisini, ikiwemo timu ya Aston Villa na Manchester City.

Zitambue faida za smatphones na athari zake na smatphone ya kwanza duniani

MTEULE THE BEST Miaka 20 ya Smartphone Barani Afrika Miaka 20 tangu simu ya "Smartphone" ilipoingia kwenye soko la mawasiliano, na kuleta mapinduzi ya kimawasiliano barani Afrika, ambako sasa inatumika kama chombo cha kupashana habari za kiuchumi, kijamii na kisiasa Pokemon Go in Afrika Waafrika wasiopungua milioni 80 walikuwa na simu ya mkononi mnamo mwaka 1999. Mwaka 2008 idadi hiyo iliongezeka na kufikia watu 500 milioni - hiyo ikiwa sawa na asilimia 60 ya wakaazi jumla wa bara la Afrika. Mnamo mwaka 2015, kwa mujibu wa kamapuni inayotengeneza simu za mkononi chapa Ericsson, kulikuwa na mikataba takriban bilioni moja ya simu za mkononi kote barani Afrika. Wataalam wanakadiria kuna simu bilioni mbili za mkononi zinazokutikana barani Afrika na katika eneo la Mashariki ya Kati. Nusu ya simu hizo ni aina ya Smartphones, anasema mkurugenzi wa kanda ya kusini mwa Afrika wa shirika la kimataifa la Data Corpotration - IDC, Martin Walker:"Kuendelea kupungua tha...

Aboud Jumbe azikwa leo migomban zanzibar

MTEULE THE BEST Aboud Jumbe aaga dunia kigamboni jijini Dar es salaam. Image caption Jeneza lenye mwili wa Aboud Jumbe Mwinyi Rais mstaafu wa awamu ya pili ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe Mwinyi amefariki dunia Jumapili saa saba mchana nyumbani kwake katika kijiji cha Mji Mwema, eneo la kigamboni jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Bwana Mohamed Aboud, mwili wa Mzee Aboud Jumbe Mwinyi ambaye pia alikuwa ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unatarajiwa kusafirishwa Jumatatu kwa ndege kuelekea visiwani Zanzibar kwa ajili ya maziko. Bwana Mohamed Aboud amesema Marehemu Aboud Jumbe Mwinyi anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwake eneo la Migombani, Mkoa wa Mjini Maghrib mnamo saa saba za mchana. Marehemu amefariki akiwa na umri wa miaka 96 alizaliwa June 14, 1920 huko Juba, Sudan Kusini. Aidha viongozi mbalimbali wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Serikali ya Ma...

Edgar Lungu ashinda uchaguzi wa urais Zambia

MTEULE THE BEST Image caption Rais Edgar Lungu wa Zambia Rais wa Zambia Edgar Lungu ametangazwa mshindi wa matokeo ya uchaguzi wa urais kulingana na matokeo rasmi ya uchaguzi. Tume ya uchaguzi nchini Zambia imesema kuwa Lungu alijipatia asilimia 50.35 siku ya Alhamisi ,ikiwa imepita asilimia 50 inayohitajika ya kuzuia raundi ya pili kulingana na sheria mpya ya uchaguzi. Mpinzani wake Hakainde Hichilemi alijipatia asilimia 47.67 ya kura. Awali,chama chake cha UNPD kilijiondoa katika shughuli ya kuhakiki kura akidai kuwa kulikuwa na udanganyifu.