MTEULE THE BEST
Kundi la wapiganaji wa Somalia, al Shabaab, limeshambulia mji wa El Wak, karibu na mpaka wa Kenya.
Wapiganaji hao waliingia mjini humo, bila kupata pingamizi yoyote, na kuharibu makao makuu ya serikali ya eneo hilo pamoja na kituo cha polisi.
Hapo awali, wanajeshi wa serikali ya Somalia, walikimbilia Kenya.
- Somalia yaonya mpango wa Alshabab kusambaza uranium Iran
- Marekani yaondoa zawadi ya $5m kwa aliyekuwa kiongozi wa Alshabab
- Watu 15 wauawa kwa bomu Somalia
Wakuu wa El Wak wanasema al-Shabaab waliwaonya mapema, wakaazi wa El Wak, wasishirikiane na jeshi la Somalia na kikosi cha kuweka amani cha Umoja wa Afrika, (AMISOM).
Waliiba msaada wa vyakula, na kuondoka El Wak baada ya saa chache.
Maoni