Hivi ndivyo viwango vya fedha kwa washiriki wa Kombe la Shirikisho Afrika na Ligi ya Mabingwa Afrika kuanzia msimu huu wa 2022/23;
Ligi ya Mabingwa Afrika
Bingwa: Dola Milioni 4 (Tsh. Bilioni 9.4)
Wa pili: Dola Milioni 2 (Tsh. Bilioni 4.7)
Nusu Fainali: Dola 1.2 (Tsh. Bilioni 2.8)
Robo Fainali: Dola 900,000 (Tsh. Bilioni 2.1)
Wa 3 Kundini: Dola 700,000 (Tsh. Bilioni 1.6)
Wa 4 Kundini: Dola 700,000 (Tsh. Bilioni 1.6)
Kombe la Shirikisho Afrika
Bingwa: Dola Milioni 2 (Tsh. Bilioni 4.7)
Wa pili: Dola Milioni 1 (Tsh. Bilioni 2.3)
Nusu Fainali: Dola 750,000 (Tsh. Bilioni 1.8)
Robo Fainali: Dola 550,000 (Tsh. Bilioni 1.3)
Wa 3 Kundini: Dola 400,000 (Tsh. Milioni 940)
Wa 4 Kundini: Dola 400,000 (Tsh. Milioni 940)
Maoni