ManchesterManchester united ya azimia kumleta kocha machachali JOSE MOURIHNO kwa dau la pound 48$ million kwa sasa katia saini ya mkataba wa mwanzo kabisa na atalipwa pound 10mil kwa
Jose mourihno ninani;- ni kocha maarufu sana duniani nikocha mwenye kiu ya mafanikio
Aliwai kufundisha klabu maarufu sana duniani mfno
1; REAL MADIRD :- LA LIGA
2; CHERSEA :- UINGELEZA
Alipata mafanikio ila ilitimuliwa ktk timu hizi zote na sasa anakalibishwa ktk klabu anayoipenda kuifundisha toka mwanzo
MANCHESTER UNITED AJAPATA UBIGWA WOWOTE BAADA YA KUONDOKA KWA SIR ALEX FUGERSON KUSTSFU KWAKE
VAN GAL AMESHA ANDALIWA KIASI CHA PAUND 10$ MILION KUVUNJA MKATABA
UNAZUNGUMZIAJE USAJIRI UHO WA KOCHA
Maoni