MATOLEO YA SIKU YA KUFANYIWA MSAMAHA HESABU 29;7-11

MTEULE THE BEST

 

TUMSIFU YESU KRISTO WAPENDWA KATIKA BWANA!!!

TUNAENDELEA NA SOMO LETU LA DINI KARIBU SANA 

 

MATOLEO YA SIKU YA KUFANYIWA MSAMAHA

HESABU 29;7-11

 

Siku ya kumi ya mwezi wa saba mtafanya mkutano mtakatifu. 

Siku hiyo ni lazima mfunge na msifanye kazi, mtamtolea MWENYEZI -MUNGU sadaka ya kutetekezwa kwa moto, harufu ya kumpendeza MWENYEZI-MUNGU : Fahali mmoja mchanga, kondoo dume mmoja, wanakondoo saba wa mwaka mmoja. wote wasiwe na dosari. licha ya vitu hivi mtatoa sadaka ya unga safi ulochanganywa na mafuta  kilo tatu pamoja na huyo fahali, kilo mbili pamoja na kondoo dume, na kilo moja kwa kila mwana kondoo. mtatoa pia beberu mmoja kwa sadaka ya kuondoa dhambi licha ya sadaka yakufanyiwa upatanisho pamoja na sadaka yake ya nafaka na sadaka yake ya kinywaji.

 

NENO LA BWANA!!!

KESHO TUKUTANE KWA SOMO LINGINE 

                                                                                                                                                                                                                                                                             

 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

ZIJUWE SHERIA 17 ZA SOKA

MAPENZI: Kuna faida na ni muhimu Mpenzi wako kuwa rafiki yako pia

KUMTUMAINIA MUNGU