MTEULE THE BEST
Eric Bailly kwenda Manchester United.
Mlinzi wa Kati wa kikosi cha
Villarreal Eric Bailly anaelekea ndiye atakuwa mchezaji wa kwanza
kunyakuliwa na meneja mpya wa Manchester United.
Bailly atafanya
vipimo vya afya wiki hii na makubaliano yote yanafikiriwa kuwa
yamefikiwa na kijana huyo wa miaka 22 ambaye atawagharimu mashetani
wekundu takribani paundi milioni 30.Awali ilifikiriwa kuwa Zlatan Ibrahimovic ndiye angekuwa wa kwanza kusaliwa lakini mpaka sasa mambo yako kimya.
Maoni