Ruka hadi kwenye maudhui makuu

UNA KIBAMIA AU MASHINE NDEFU

MTEULE THE BEST

 

 

UNA KIBAMIA AU MASHINE NDEFU KAMA KORIDO YA MUHIMBILI? TUNONGā€™ONE HAPA

2-1-1024x683-1-1024x683-2-1024x683
Asante sana kuchukua muda wako kutembelea kijiwe chetu cha mahaba. Dr kilele hapa nakusalimu katika jina la maraha yatokanayo na kuunganisha viungo vya uzazi. Naamini unaendelea vyema, kama kama upo vibaya basi nakupa pole na kukutakia yote kheri.
Tuje kwenye story ya leo sasa, hii topic hiiā€¦hiii ya vibamia na mitalimbo kama miguu ya watoto  ni hot sana siku hizi. Kama huniamini angalia idadi ya waganga wa kienyeji na dawa zao za kuongeza maumbile walivyozagaa kila kona, kila mahali utasema vocha zilizotumika.
Kiufupi ni hiviā€¦kitaa inaonekana kama maninja wenye vibamia wamekuwa wengi kipindi hiki. Au pengine toka zamani, sema siku hizi tuna vijiwe vya kidijitali, mafesibuku mainstagramu na mawasapu grupu ndio sababu story zinakuwa nyingi. Lakini je ukweli ni upi? Je ni kweli vibamia vimepata mbolea vimezaliana kwa wingi mtaani?
Kitaalamu hii ishu sio kubwa kama inavyodhaniwa. Wengi wa wanaume wana maumbile ya kutosha tu, sema tatizo ni la kiakili kabisa. Mara nyingi tunatembelea zile website zileeeee, zile video zetu tunazoangalia huku tume MUTE VOLUME au sauti ya chini kabisa.
Sasa ukitazama kule unaona mitalimbo ya haja, vitu vina mishipa kama kona za mto Ruaha hiviā€¦kitu kimeshiba hatari. Ukija kuchungulia kwenye kaboxer kakoā€¦dah lazima uogope na hapo ndio mawazo ya mie kibamia yanapoanzia. Na hili ni kwa pande zote mbili, bi shost nae akiona zile mambo kule akija kucheki kwakoā€¦anaona kama kaupele tu.
Jambo ambalo unasahau ni kuwa, wa kule kwenye mavideo ya utamu sio wa kawaidaā€¦wanachaguliwa wenye vyuma haswaaa ili wavutiwe, huoni hata movie za kawaida? Jiulize mtaani kuna kina Arnold Schwarzenegger wangapi umeshakutana nao?ā€¦lazima waweke watu wa kipekee ili uangalie. Sasa ndugu yangu ukijifananisha urefu na Hashim Thabit au mcheza basketball mwingine lazima we uonekane mfupi, na kusahau kuwa wao ndio warefu kupindukia.
Kwa hiyo basi, usijipe mawazo sana ya sijui oh kibamia, au usimtupie lawama mwenzio kuwa kisimaā€¦enh maana pia kuna malalamiko mengine nilitaka kusahau. Kuna wanaosema hapana sio vibamia vimeongezeka, ila visima na mabwawa yamekua mengiā€¦kinu kikiwa kipanaā€¦mtwangio lazima upwaye.
Kwa kumalizia ningependa kupata mchango wako kwenye comment hapo chini? Je unadhani kweli vibamia vimeongeza? Na kama kweli mtu ana kibamia nini kifanyike iwe kitumike kumfikisha Kileleland? Tunongā€™onezane hapo kwenye comment basi

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MAPENZI: Kuna faida na ni muhimu Mpenzi wako kuwa rafiki yako pia

Kuna faida kubwa kwa wapenzi kuwa marafiki KUTOKANA na mila mbalimbali, baadhi ya watu wamekuwa wakiamini kwamba mwanamke ni daraja la pili. Daraja la kwanza na lenye kuthaminiwa ni mwanaume. Yaani mwanamke hana kauli kwa mwanaume. Anakuwa kama mtumwa fulani hivi.  Mwanaume akiongea, basi ni maelekezo kama vile rais wa nchi anavyotoa maelekezo kwa watu walio chini yake. Hakuna wa kupinga. Akisema sitaki kitu fulani kifanyike, basi ni mpaka atakapotoa maelekezo mengine. Vinginevyo, maelekezo ya awali yatabaki kusimama kama sheria.  Wapo baadhi ya wanawake wanaofurahia aina hii ya uhusiano kwa sababu ya mazoea. Kwamba wamekuzwa hivyo, mwanaume ni mwanaume. Huu ni mfumo ambao watu wengi wamekuwa wakiuishi. Kuna ambao wanakubaliana nao, wengine hawakubaliani nao.  Watu wengi sana wamekuwa wakiishi katika malumbano katika mahusiano yao kutokana na mfumo huu wa maisha. Mwanamke hataki kuishi kama mtumwa, mume anakomaa kuonesha uanaume wake. Hakuna anayekubali kushuka,...

Urusi: Vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini havitafua dafu

MTEULE THE BEST Image caption Waziri wa maswala ya kigeni nchini Urusi Sergei Lavrov na mwenzeka wa Marekani Rex Tillerson Waziri wa maswala ya kigeni nchini Urusi Segei Lavrov amemwambia waziri wa ulinzi nchini Marekani Rex Tillerson kwamba kuiwekea vikwazo zaidi Korea Kaskazini hakutafua dafu. Taarifa iliochapishwa na wizara ya kigeni nchini Urusi inasema kuwa wawili hao walizungumza kwa njia ya simu na kushutumu majaribio ya makombora ya hivi karibuni yaliotekelezwa na Pyongyang . Lakini inasema kuwa bwana Lavrov alisisitiza kwamba diplomasia ndio njia ya pekee ya kumaliza wasiwasi katika rasi ya Korea, na kutaka hatua zozote dhidi ya taifa hilo kusitishwa akionya huenda zikasababisha madhara yasiojulikana. Waziri wa ulinzi nchini Marekani amesisitiza kuwa bado kuna fursa ya kidiplomasia katika kukabiliana na Korea Kaskazini. Mapema rais Trump alichapisha ujumbe katika akaunti yake ya Twitter akisema mazungumzo sio suluhisho.

Fuvu la binadamu wa kale liligunduliwa miaka 60 iliyopita nchini Tanzania

Fuvu la binadamu wa kale liligunduliwa miaka 60 iliyopita nchini Tanzania Miaka 60 siku kama ya leo ugunduzi mkubwa ulifanyika katika eneo la Olduvai Gorge, kwenye kreta ya Ngorongoro. Wanaakiolojia Louis na Mary Leakey waligundua fuvu la mtu anayeaminika kuwa ni wa kale zaidi waliyompa jina la Zinjanthropus. Ugunduzi huo uliofanyika saa nne asubuhi Julai 22, 1959 kipindi hicho kwenye eneo la Tanganyika ulikuwa wa vipande zaidi ya 100 ukasaidia katika kutambua asili ya watu wa awali duniani. Kabla ya ugunduzi huo, wanasayansi na wanahistoria walikuwa wakiamini kuwa binadamu wa kale walitokea Uchina baada ya ugunduzi wa mafuvu ya kale baina ya 1923 na 1927 nchini humo ya Homo eractus, ama maarufu kama Peking Man. Mafuvu hayo ya Uchina yalikuwa na umri wa takribani miaka 750,000. Mafuvu ya Olduvai eneo ambalo kwa sasa lipo Tanzania wakati wa ugunduzi wake lilikuwa na umri wa takribani miaka milioni 1.75, na hakuna mabaki ya mtu wa kale zaidi ambayo mpaka sasa yamegundul...