Uhaba mkubwa wa chakula waikumba Sudan Kusini

MTEULE THE BEST

 

 

Mashirika matatu ya umoja wa mataifa yameonya kuwa Sudan Kusini inakumbwa na viwango vya juu uhaba wa chakula.
Karibu watu milioni tano watakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula wiki chache zinazokuja kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa.
Afisa mmoja wa cheo cha juu wa Umoja wa Mataifa, amesema kuwa ni suala la kushangaza kuwa uhaba wa chakula umeathiri hata yale maeneo ambayo hayakukumbwa na mapigano.
Tangu mwanzo wa mwaka huu zaidi ya
watoto 100,000 wametibiwa utapiamlo

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

ZIJUWE SHERIA 17 ZA SOKA

MAPENZI: Kuna faida na ni muhimu Mpenzi wako kuwa rafiki yako pia

KUMTUMAINIA MUNGU