SIKU YA RADHI

MTEULE THE BEST

TUMSIFU YESU KRISTO WAPENDWA KATIKA YESU KRISTO!!!

LEO MUNGU ATUJALIA KUIONA LEO JAPO WENGINE WAMEIKOSA NA WALITAMANI KUIONA  HII SIKU HAKUWEZA KWA MAPENZI YEKE MUUMBA MIMI / WEWE NA YULE TUMEIONA LEO AMINA 

SOMO LA LEO LINATOKA WALAWI 23:26-32 / HESABU 29:7-11

MADA : SIKU YA RADHI

MWENYEZI-MUNGU alimwambia Mose "siku ya kumi ya mwezi wa huu wa saba ni siku ya upatanisho.

Siku hiyo ni siku ya kuwa mkutano mtakatifu. Mtafunga na kutoa sadaka anazotolewa MWENYEZI-MUNGUkwa moto

Msifanye kazi zenu zozote za siku za kawaida siku hiyo. Siku hiyo ni siku ya upatanisho, siku ya kuwafanyieni upatanisho mbele ya MWENYEZI-MUNGU, MUNGU wenu.

Mtu yeyote asiye funga siku hiyo lazima atengwe mbali na watu wake.

Mtu yeyote atakayefanya kazi yeyote siku hiyo nitamwangamiza kutoka watu wake.

Msifanye kazi hili ni sharti la kufata milele katika vizazi vyenu, na katika maskani yenu yote.

Siku hiyo itakuwa kwenu Sabato ya mapumuziko rasmi na mtafunga. 

Siku ya Sabato ni siku ya kumi ya mwezi huo tangu jioni hadi  jioni inayofuata

NENO LA BWANA  

TUNASUBILIA BARAKA ZA MWENYEZI-MUNGU

 AMESEMA ATATUBARIKI AMENI

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

ZIJUWE SHERIA 17 ZA SOKA

MAPENZI: Kuna faida na ni muhimu Mpenzi wako kuwa rafiki yako pia

KUMTUMAINIA MUNGU