MUNGU NI MWEMA

Habari yako NDUGU msomaji na mfatiriaji  wa hii blogger napenda kukuambia mambo matatu muhimu maishani itakusaidia sana


1:Mungu ni mwema 
Mungu ni msaada wapekee maishani mwetu Mungu anatulinda kila siku anatupenda sana  tuache dhambi tumrudie muumba wetu anatuitaji

2.Mungu alituumba kwa lengo gani aswa

Mungu alituumba ilitumtumikie akituumba ili tumuabudu alituumba ili tufa ye mambo mazuri hapa duniani name  malipo yote mbinguni 


3.TUFANYE NINI TUUPATE KIPATA MBINGU
TUFANYE HAYA
A.TUUACHE KUTENDA MAOVU
Tuzingatie nakuzitimiza amri za Mungu na amri za kanisa 

Tuzidi kumuomba Mungu
Mungu anatupenda

Ukimaliza kusoma comment Amina share na marafiki

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

ZIJUWE SHERIA 17 ZA SOKA

MAPENZI: Kuna faida na ni muhimu Mpenzi wako kuwa rafiki yako pia

KUMTUMAINIA MUNGU