Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Canada yamfukuza balozi wa Venezuela

Nicholas Maduro Canada imetangaza kuwa inamfukuza balozi wa Venezuela Wilmer Barrientos Fernández Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni Chrystia Freeland alisema kuwa hatua hiyo ni jibu kwa kufukuzwa kwa mwanadiplomasia wake wa cheo juu kutoka Venezuela mwishoni mwa wiki. Venezuela iliilaumu Canada kwa kuingilia masuala yake ya ndani. Cadana ilikuwa imeilaumu serikali ya Rais Nicholas Maduro kwa ukiuja wa haki za binadamu. Zaidi ya watu 120 wameuawa wakati wa miezi kadha ya kuipinga serikali mapema mwaka huu. Venezuela ilimlaumu bwana Kowalik (kushoto) kwa kupokea maagizo kutoka kwa Trump Bi Freeland alisema kuwa Bw. Barrientos alikuwa tayari nje ya nchi na hataruhusiwa kurudi Cnada huku afisa mwingine wa kibalozi naye akitakiwa kuondoka. Canada tayari ilikuwa imewawekea vikwazo maafisa wa vyeo vya juu wa Venezuela katika hatua ambayo iliikasirisha serikali ya Venezuela. Venezuela pia ilimfukuza balozi wa Brazil Ruy Pereira, kutokana na madai kuwa ser...

Hofu ya Urusi kukata nyaya za mawasiliano ya mtandao chini ya bahari

There are more than 545,018 miles of fibre cables under the sea - enough to wrap around the Earth almost 22 times Afisa wa cheo cha juu wa jeshi nchini Uingereza ameonya kuwa Urusi inaweza kusababisha madhara makubwa zaidi kwa uchumi ikiwa italenga nyaya za mawasiliano ya mitandao zinazopitia chini ya bahari. Sir Stuart Peach, mkuu wa majeshi, alisema kuwa nyanya hizo zinaweza kukatwa au kuharibiwa. Madai hayo yanazua maswali kadhaa: Hiki ni kitu Urusi inaweza kukifabnya? Ni kitu gani kitatokea ikiwa itafanya hivyo au ikiwa mtu mwingine atafanya hivyo? Nyaya hizo ni za kufanyia nini ? Zinatumiwa katika mawasiliano ya mitandao kati ya ya nchi tofauti na mabara. Nyaya zote hizo 428 zinachukua umbali wa kilomita milioni 1.1 na kuzunguka dunia nzima. Kiwango kikubwa cha data husambazwa kote duniani nchini ya bahari kwa nyaya na zingine hjuwa nyembamba kama karatasi. Je Urusi inaweza kukata nyaya za mawasiliano za chini ya bahari? Kwa bahati mbaya, huku teknoljia yao ikiwa ...

Leo ni duru ya pili ya uchaguzi wa rais Liberia kati ya George Weah na Joseph Boakai

Duru ya pili ya uchaguzi wa urais Liberia kati ya George Weah (kushoto) na Joseph Boakai Watu nchini Liberia wanapiga kura katika duru ya pili kati ya makamu wa rais Joseph Boakai na nyota wa zamani wa kandanda George Weah. Bwana Weah, 51, alishinda duru ya kwanza lakini hakufanikiwa kupata asilimia 50 ya kura kumwezesha kuwa mshindi. Duru ya pili ya uchaguzi wa urais kuchukua mahala pake Ellen Johnson Sirleaf, ilichelewa kufuatia kesi iliyokuwa mahakamani. Vituo vya kupigia kura vinafunguliwa saa mbili asubuhi na kufungwa saa kumi na mbili. Zaidi ya watu milioni mbili wamejiandikisha kama wapiga kura. Wagombea ni nani ? Bw. Boakai 73, amekuwa makamu wa rais nchini Liberia kwa miaka 12 lakini haonekani kunufaika na uungwaji mkono kutoka kwa rais. Naye Weah, ambaye ni nyota wa zamani wa kandanda ana matumaini ya kushinnda baada ya kuwania kwa mara ya tatu. Alimshinda Bi Johnson Sirleaf wakati wa duru ya kwanza mwaka 2005, lakini akashindwa wakati wa duru ya pili. Wakati wa ...

Ushuhuda: Nilimlisha Mume wa Mtu Limbwata la Nyama ya Bundi

Nawasalimu wa jina la YESU, jina kuu kupita majina yote. Jina langu ninaitwa Theoflida , ni mwanamke mwenye umri wa miaka 38 mkaazi wa Mbezi ya Kimara jijini Dar Es Salaam, japo kiasili ni mwenyeji wa wilaya ya Ulanga, mkoani Morogoro.. Nime amua kuandika waraka huu kwa madhumuni makuu mawili, kwanza ni kushuhudia MATENDO MAKUU ambayo YESU AMENITENDEA na pili, ni kuwa hasa wanawake wenzangu kutojihusisha kabisa na masuala ya WAGANGA WA KIENYEJI kwa sababu waganga wa kienyeji ni MAWAKALA WA KAZI ZA SHETANI HAPA DUNIANI na ni MASHETANI KABISA!... Nitaanza kwa kuelezea kisa kilicho nipelekea kuingia kichwa kichwa kwenye mikono ya wakala wa shetani.. Nilikuwa nimepanga chumba kimoja maeneo ya Tabata Mawenzi huku nikijihusisha na biashara ya genge. Jirani na nyumba niliyokuwa nimepanga, aliishi mwanaume mmoja na mke wake. Mwanaume huyu jina lake linaanzia na herufi K hivyo katika maelezo yangu nitakuwa nikimtaja kwa herufi K. K alikuwa ni mwanaume mwenye mafanikio makubwa katika mai...

Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania December 26 2017 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa

MTEULE THE BEST Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania December 26  2017  kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa

Manowari ya Uingereza yaizuia ile ya Urusi huko North Sea

Manowari ya Uingereza yaizuia ile ya Urusi huko North Sea Monowari ya jeshi la wa wanamaji wa Uingereza iliisindikiza ile ya Urusi katika bahari ya North Sea karibu na maji ya Uingereza siku ya Krismasi, kwa mujibu wa jeshi la wanamaji wa Uingrreza. Ilisema kuwa HMS St Albans ilisindikiza Admiral Gorshkov katika sehemu zilizo karibu na maji yake. Urusi haijatamka lolote kuhusu kuhusu suala hilo. Jeshi la Uingereza lilisema kuwa kumekwa na visa hivi karibuni ambapo vyombo vya majini vya Urusi vinapita karibu na maji ya Uingereza. Mkuu wa jeshi la ulinzia nchini Uingereza Sir Stuart Peach, mapema mwezi huu alisema kuwa Uingereza na Nato wanahitaji kuweka kipaumbele suala la kulinda nyaya za mawasiliano ya mtandao zinazopiti baharini. Manowari mpya ya Uingereza ya kubeba ndege ina hitilafu Picha za ngono kumfuta kazi Naibu waziri Uingereza Alisema kuwa itakuwa piga kubwa na baya kwa uchumi ikiwa nyaya hizo zinatakatwa au kuharibiwa. Nyanya hizo uunganisha sehemu tofauti za dunia...

Tunisia yapiga marufuku ndege za Emirates kutua mji mkuu Tunis

MTEULE THE BEST Tunisia yapiga marufuku ndege za Emirates kutua mji mkuu Tunis Tunisia imepiga marufuku ndege za shirika la Emirates kutua kwennye mji mkuu Tunis baada ya wanawake kadha raia wa Tunisia kuzuiwa kuabiri ndege za shirika hilo. Hatua hiyo inakuja huku kukiwa na malalamiko makubwa nchini Tunisia kulaani hatua hiyo ya Emirates. Wizara ya ulinzi ilisema kuwa marufuku hiyo itasalia hadi pale Emirates itakapoweka kuendesha shughuli zake kulingana na sheria na makubaliano ya kimataifa. UAE ilisema kuwa tatizo la kuisalama lilisababisha hali hiyo. Wanawake waislamu nchini Tunisia waruhusiwa kuolewa na wanaume wasio waislamu Kifungo cha waliokamatwa wakibusu chadumishwa Tunisia Maafisa wa serikali ya Tunisia walisema kuwa UAE ilikuwa imepiga marufuku wanawake wa Tunisia kupitia nchi yake. Siku ya Ijumaa serikali ya Tunisia ilisema kuwa ilikuwa imemuuliza balozi wa UAE kueleza kile kilikuwa kikiendelea na alikuwa ameambiwa kuwa hatua hizo zilikuwa ni za muda na tayari zil...