Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Mourinho: Ningekuwa likizoni Brazil au Los Angeles

MTEULE THE BEST Meneja wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho amesema "angelikuwa likizoni Brazil au Los Angeles" iwapo angekuwa anaamini kwamba mbio za Ligi ya Premia msimu huu zimepata mshindi. Alisema hayo baada ya klabu yake kulaza Bournemouth 1-0 Jumatano. United walijikwamua kutoka wka kichapo cha Manchester City wikendi lakini hawakuweza kupunguza mwanya kati yao na City ambao wamo alama 11 mbele yao kwani vijana hao wa Etihad walilaza Swansea 4-0. Romelu Lukaku ndiye aliyewafungia Man United bao hilo la ushindi kipindi cha kwanza. Mourinho alisema: "Mechi hiyo dhidi ya City ilikuwa kubwa, na ukishindwa hilo halisaidii juhudi zako za kujiweka sawa tena - ushindi husaidia, kushindwa hakusaidii. "Bournemouth walikuwa wapinzani wakali na hali ilikuwa ngumu. Kama tungelifunga bao la pili tungetulia. "Nimefurahishwa na alama hizo tatu. Walipumzika siku moja zaidi yetu, walikuwa sawa kutushinda baada ya kupumzika, hata kiakili kwa sababu...

Mourinho: Eric Bailly huenda akahitaji upasuaji

MTEULE THE BEST Eric Bailly alikuwa mchezaji wa kwanza kununuliwa na Mourinho alipojiunga na Manchester United Beki wa Manchester United Eric Bailly huenda akahitaji kufanyiwa upasuaji zaidi kwenye jeraha "mbaya" la kifundo cha mguu, anasema meneja Jose Mourinho. Mourinho amesema beki huyo wa kati wa miaka 23 ambaye aliumia akichezea Ivory Coast. Hajachezea United tangu walipolazwa na Chelsea mnamo 5 Novemba. Hata hivyo, anatarajiwa kurejea kabla ya msimu kumalizika. "Sitaki kuwa mtu wa kuonesha kutokuwa na matumaini. Namwachia madaktari. "Tunajaribu kutumia matibabu kwa kipimo, lakini hilo lisipofanikiwa, labda atahitaji kufanyiwa upasuaji lakini hebu tusubiri muda kidogo. Mourinho hata hivyo amesema amefurahishwa na kurudi kwa mabeki wengine Chris Smalling na Phil Jones ambao walianza kwenye mechi ya Jumatano ambayo walishindwa Bournemouth 1-0. Bailly alikuwa mchezaji wa kwanza kujiuna na United baada ya Mourinho kuteuliwa meneja. Alijiu...

Tanzania yajitenga na Trump kuhusu Jerusalem

MTEULE THE BEST Mji wa Jerusalem una maeneo matakatifu kwa Waislamu, Wakristo na Wayahudi Tanzania imesema haikubaliani na hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kuutambua mji wa Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel. Wizara ya mambo ya nje ya Tanzania kupitia taarifa imesema nchi hiyo inaunga mkono makubaliano ya kimataifa ambayo yanatambua haki ya watu wa Palestina kumiliki Mashariki mwa Jerusalem kama ilivyokuwa kwenye mpaka wa kabla ya mwaka 1967. "Tanzania inaunga mkono msimamo wa Umoja wa Mataifa wa suluhu ya mataifa mawili ambayo unatoa nafasi ya Israel na Palestina kuwepo kwa pamoja zikiwa na mipaka salama," taarifa hiyo iliyotuwa saini na Waziri Augustine Mahiga imesema. Bw Trump kando na kuitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel, alisema nchi hiyo pia itahamisha ubalozi wake kutoka Tel Aviv. Bw Mahiga amesema ubalozi wa Tanzania utaendelea kuwepo mjini Tel Aviv. Msimamo wa Tanzania unaenda sambamba na msimamo wa mataifa mengi ya Afrika pamoja na ...

SERIKALI KUNUNUA VICHWA VYA TRENI VILIVYOOKOTWA BANDARINI AMBAVYO HAVIKUWA NA MWENYEWE

MTEULE THE BEST Miezi michache iliyopita kuna vichwa  vya treni 11 vilionekana bandari ya Dar es salaam  vyenye nembo ya Shirika la reli nchini (TRL) ambavyo taarifa ilisema vichwa hivyo havina mwenyewe. Waziri wa Uchukuzi Prf. Makame Mbarawa amesema Serikali imeamua kuvinunua vichwa hivyo  kwa bei ya chini kutoka dola  3.8 milioni hadi 2.4 milioni. Waziri Mbarawa amesema serikali imefikia makubaliano na mmiliki kuvinunua Vichwa hivyo 11 ambapo kila kichwa ni Dola Milioni 2.4 ambapo vyote 11 vitagharimu dolla milioni 26.4 Inadaiwa kuwa vichwa hivyo ni vikuukuu vilivyotolewa katika karakana ya TRL Morogoro kwenda kufanyiwa ukarabati nje ya nchi na kurudishwa nchini na kuonekana kana kwamba ni vipya.

Wabunge kuchukuliwa hatua Kisheria

Msajili Msaidizi wa vyama vya siasa nchini, Sisty Nyahonza amesema sheria inaruhusu kuchukua mkondo wake kwa Mbunge yoyote atakayezidisha kutumia gharama kubwa katika chaguzi mbalimbali, ambapo amesema gharama ya juu ni milioni 88. Hayo amesema kupitia kipindi cha East Africa Breakfast cha East Africa Radio kuwa  sheria hiyo imeanza mchakato mwaka 2006 na kukamilika 2010, inasema mtu achaguliwe kutokana na uwezo wake wala sio pesa. Gharama ya kuendesha kampeni za uchaguzi inatokana na ukubwa wa jimbo lenyewe lakini kuna kiwango maalumu ambacho taasisi imekipanga, kiwango cha chini kinaanzia milioni 33 huku kiwango cha juu ni milion 88. ''Kila jimbo lina kiwango chake , kama kiwango ambacho kimepangwa kikipita tunayo nguvu ya kuchunguza namna gani gharama kubwa imetumika ili muhusika achukuliwe hatua. Alipoulizwa juu ya kujiridhisha kama kweli wagombea wametumia kiasi ambacho kimepangwa na taasisi hiyo amesema wana njia nyingi ikiwemo kushirikiana na Taasisi ya kuzuia...

Aliyejaribu kuwauza watoto wake pacha akamatwa Nigeria

MTEULE THE BEST Mwaka 2013 wasichana wajawazito 17 na watoto 11 waliokolewa wakati polisi walivamia "kiwanda cha watoto" katika jimbo la Imo Mwanamke mmoja amekamatwa baada ya madai kuwa alijaribu kuwauza watoto wake pacha wenye umri wa mwezi mmoja nchini Nigeria. Ameshtaki kwa kuhusika katika bishara ya kuuza watoto lakini polisi wanasema kuwa mashtaka zaidi yataongezwa. Mwanamke huyo alikamatwa wakati akijaribu kuuza watoto wake wasicha kwa dola 980 kwa mnunuzi ambaye aliwajulisha polisi. Visa vya kuuzwa watoto wa kupangwa vimekuwa tatizo kwa muda mrefu chini Nigeria. Nigeria ni mzalishaji mkuwa wa mafuta lakini asilimia kubwa ya watu milioni 170 wanaishi kwenye umaskini. Alipohojiwa mwanamke huyo alisema kuwa changamoto za kifedha zilisababisha afanye hivyo. Nigeria ni mzalishaji mkuwa wa mafuta lakini asilimia kubwa ya watu milioni 170 wanaishi kwenye umaskini. Mwaka 2013 wasichana wajawazito 17 na watoto 11 waliokolewa wakati polisi walivamia "kiwanda...

Mwanamke aliyemuua mume wake ili aishi na mpenzi wake India

Swati Reddy (kulia) na mpenzi wake wanadaiwa kumuua mume wake Sudhakar (kushoto) mwezi uliopita Wapenzi wiwili nchini India wamekamatwa kwa kumuua mume wa mwanamke na kisha kujaribu kumfanyia upasuaji wa kubadilisha sura mwanamume mpenzi ili aweze kuchukua mahala pake, Tindi kali ilimwagwa kwenye uso wa mwanamume, mpenzi wa mwanamkea, katika shambulizi lililopangwa, huku wapenzi hao wakipanga kusema kuwa sura yake ilikuwa imebadilika baada ya upasuaji. Lakini ndugu wa bwana wa mwanamke aligundua mpango huo alipofika hospitalini. Auawa kwa kuwa mfugaji wa ng'ombe India Alitoa malalamiko yake kwa polisi ambao walifanya uchunguzi wa vidole na kugundua njama huyo. Mke, Swati Reddy amekamatwa. Polisi waliiambia BBC kuwa watamkamata pia mpenzi wake, Rajesh Ajjakolu mara atakapotibiwa majeraha yake na kuruhusiwa kuondoka hospitalini. Image captionRajesh Ajjakolu alilazwa hospitalini akiwa na majeraha ya uso Bwana Sudhakar Reddy anadaiwa kuuliwa usiku wa tarehe 26...