Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

KANUMBA: Crazy Love (Full Movie)

MTEULE THE BESTKANUMBA: Crazy Love (Full Movie)  

UNCLE JJ (Kanumba) Full Movie - Bongo Movie

MTEULE THE BEST  UNCLE JJ (Kanumba) Full Movie - Bongo Movie

TEMBELEA TANZANIA UONE MAAJABU YAKE

MTEULE THE BEST  Ndani ya Safari ya Ngorongoro Crater. Jionee video hii hapa  

Hata ungekuwa ni wewe hapa ungezidiwa tu

MTEULE THE BEST  Hata ungekuwa ni wewe hapa ungezidiwa tu. Tazama hadi mwisho uone kilichotoke ni  hatale sana yani nooma sana  

Jah Prayzah Ft. Diamond Platnumz - Watora Mari (Official Video)

MTEULE THE BEST Jah Prayzah Ft. Diamond Platnumz - Watora Mari (Official Video)

MSIMA WA LIGI EPL BAADA YA MECHI

MTEULE THE BEST EPL LEO BAADA YA MECHI YA CHELSEA Premier League   P PTS   1 Manchester United 1 3   2 Liverpool 1 3   3 Chelsea 1 3   3 Hull City 1 3   3 Manchester City 1 3   6 Swansea City 1 3   6 West Bromwich Albion 1 3   8 Everton 1 1   8 Middlesbrough 1 1   8 Southampton 1 1   8 Stoke City 1 1   8 Tottenham Hotspur 1 1   8 Watford 1 1   14 Arsenal 1 0   15 Leicester City 1 0   15 Sunderland 1 0   15 West Ham United 1 0   18 Burnley 1 0   18 Crystal Palace 1 0   20 AFC Bournemouth 1 Ā© 199

Picha za ngono: Afya ya vijana yaathirika

MTEULE THE BEST Image caption Utazamaji wa picha za ngono mitandaoni Daktari mmoja wa tiba ya maungo amesema kuwa vijana wadogo wanahatarisha afya yao ya uzazi kwa kuangalia sana picha za ngono katika mitandao ya kijami. Angela Gregory kutoka hospitali ya chuo kikuu cha Nottingham amesema kuwa idadi kubwa ya vijana walio kati ya umri wa miaka 18 hadi 24 wanatafuta usaidizi kutokana na maswala tata ambayo hayajawahi kuonekana miongoni mwa wagonjwa walio na umri mdogo katika kipindi cha miaka 10. Awali watu wazima ndio waliokuwa wakitembelea vituo vya afya wakikabiliwa na matatizo kama kushindwa kusimamisha uume kutokana na magonjwa kama vile sukari ama yale ya moyo. Lakini utazamaji wa picha za ngono mitandaoni unaharibu mahusiano ya ndoa kwa kuwa vijana wengi wanavutiwa zaidi na picha za ngono katika mitandao badala ya binaadamu.