Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Manchester United vs Cska Mousco 4-1 - All Goals & Highlights UCL (27/9/2017)

MTEULE THE BEST

Commedy siyo habari sehemu ya kwanza na ya pili cheka uongeze siku

Season 1 Season 2 MTEULE THE BEST

Videos cheka uongeze siku

MTEULE THE BEST

Wanawake ruhsa kuendesha magari Saudia

MTEULE THE BEST Mshirikishe mwenzako Image caption Wanawake wa Saudi Arabia sasa kuruhusiwa kuendesha gari Mfalme Salman wa Saudi Arabia ametoa idhini ya wanawake kuendesha magari, hii ikiwa ni kwa mara ya kwanza katika historia ya taifa. Uamuzi huu umefikiwa kutokana na harakati za muda mrefu kwa makundi ya wanawake na haki za bindamu kushinikiza wanawake waruhusiwe kuendesha magari. Kwa muda mrefu Saudi Arabia imekuwa nchi pekee Duniani kuwazuia wanawake kuendesha magari. Abdallah al-Mouallimi Mwakilishi wa umoja wa mataifa kutoka Saudia ametangaza habari hizi umoja wa huko umoja mataifa. "Ndugu Mwenyekiti, Mabibi na mabwana. Najua mtapenda kujua jambo hili kwamba dakika chache zilizopita Mfalme amepitisha sharia inayowapa idhini,wanawake nchini Saudia kuendesha magari.Hii ni historia mpya leo kwa jamii ya Saudia,kwa wanaume na wanawake.Na kwa sasa tunaweza kusema kitu angalau.'' Abdallah al-Mouallimi. Image caption Wanawake wa Saudia Akizung...

Ni asubuhi nyingine tena nakukutanisha na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo September 27 2017 kuanzia ya Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa

MTEULE THE BEST Ni asubuhi nyingine tena nakukutanisha na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo September 27  2017  kuanzia ya Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametaka kuwepo jeshi la pamoja la muungano wa Ulaya

MTEULE THE BEST Haki miliki ya picha AFP Image caption Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametaka kuwepo jeshi la pamoja la Muungano wa Ulaya Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, ametoa wito wa kutaka kubuniwa kikosi cha pamoja cha jeshi kama sehemu ya maono yake ya siku za usoni kwa muungano huo. Bwana Macron alipendekeza kuwa kikosi hicho kipya kitakuwa ni sehemu ya Nato. Aliingia madarakani mwezi akiahidi kuchangia udhabiti Ulaya. Macron ataka marekebisho makubwa Ulaya Wakati wa hotuba kuu kwenye chuo cha Sorbonne mjini Paris, Bw Macron alisema anataka mungano wa Ulaya kuboresha mifumo yake ya ulinzi kwa kubuni jeshi la pamoja. Hakutoa taarifa zaidi lakini alisema kuwa kikosi hicho kitakuwa sehemu ya Nato na kinatajiwa kuanza huduma ifikapo mwaka 2020. Nchi kadha za Muungano wa ulaya sawa na kamishina wa tume ya Ulaya Jean-Claude Juncker, awali wamesema kuwa kunastahili kuwepo jeshi la pamoja na Ulaya kukabiliana na Urusi na vitisho vingine. Lakini Uingereza imeonya kuw...

Mpalestina awapiga risasi na kuwaua waIsrael watatu

MTEULE THE BEST Mshirikishe mwenzako Haki miliki ya picha EPA Image caption Mpalestina awapiga risasi na kuwaua raia watatu wa Israel Watu watatu raia wa Israel wameuawa kwa kupigwa risasi na raia wa Palestimna katika mlango wa kuingia kwenye makao ya walowezi wa kiyahudi eneo la Har Adara lililo ukingo wa magharibi. Mtu mwenye bunduki wa umri wa miaka 37 kutoka kijiji kilicho karibu pia alipigwa risasi na kufariki baadaye. Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alisema mauaji hayo yamesababishwa na uchochezi upande wa palestina. Israel yaweka kamera za ulinzi eneo takatifu mjini Jerusalem Mauaji hayo yanafanyika wakati mjumbe wa Rais Donald Trump eneo la Mashariki ya Kati Jason Greenblat, anapowasili Jerusalem kufufua mazungumzo kati ya Israeli na Palestina. Image caption Zaidi ya wayahudi 600,000 wanaishi karibu makao 140 yaliyojengwa tangu mwaka 1967 Ikulu ya Marekani inasema kuwa imejaribu kufanya mikakati wa kuyafufua mazungumzo tangu Donald Trump ai...