Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

MTEULE THE BEST

AMANI YA BWANA IWE JUU YENU WASOMAJI NA WAFATILIAJI WA MTEULE THE BEST BLOG NA WATEJA WOTE NAOFIKA MTEULE THE BEST LIBRARY MUNGU AWABARIKI SANA NAWASHUKURU NAWALE WOTE WANAONISPORT KWANAMNA MOJA AMA INGINE  NAKUSHUKURU HATA WEWE MSOMAJI HAKIKA NIKWAMBIE KITU HAKUNA MAFANIKIO BILA CHUKI TUMUOMBE SANA MUNGU ATATUJARIA HII VITA NINGUMU

TUMSIFU YESU KRISTO

Wapendwa katika Bwana napenda kuwakumbusha anti kumi za Mungu 1:NDIMI BWANA MUNGU WAKO USIABUDU MIUUNGU WENGINE 2;USILITAJE BURE JINA BWANA MUNGU WAKO 3;SHIKA KITAKATIFU SIKU YA MUNGU 4;WAESHIMU BABA NA MIAKA MINGI NA HERI DUNIANI 5;USIUE 6;USIZINI 7;USIIBE 8;USISEME UONGO 9;USIMANI MKE WA MWEZIO 10;USTAMANI MALI YA MWENZIO JE; Kati ya hizi amri ipi ningumu kuitimiza na kuitekeleza?? ....................

MITANDAO INATUPELEKA WAPI??

                   AMANI YA BWANA IWE NANYI  Habari zenu watanzania wenzangu napenda kuwapa habari juu ya mambo yanayojiri hapa kwetu  Tanzania  kuna mambo hatukuwanayo lakini sasa tunayo kuna mambo hakujua lakini sasa tunajua kuna tabia hakuwa nazo lakini tumeziiga nakinacho sababisha na utandawazi utandawazi umetu tawala hadi tumekuwa kama vichaa  tumepoteza asili yetu yautanzania na uafrika kwa ujumla     YAFUATAYO NI MAMBO TULIYO YAIGA  YAKUTUPOTEZA 1;Mitandao ya kijamii  ndiyo imetuletea mambo yote mabaya  A; ushoga B;umalaya C;madada zetu kujiuza D; wizi  E;ubaguzi F; mmomonyoko wa maadili nk  Hayo mambo yanatupelejka kubaya maana watu tumesahau dini dunia inatupeleka itakavyo tunaenda kinyume na Amri za MUNGU na amri za kanisa   Tulioshika Dini tuna hubiri kutoa  na  tumesahau kuhubiri toba ...